radio zipo mkuu ambacho hakipo ni fm radio tu. Iphone hazijatengenezwa kwa mtanzania thats why unaona cha ajabu hebu imagine situation hii.
Redio zote za tanzania unaweza zistream online, simu zetu zinauzwa na mitandao kama tigo na voda na wakikuuzia wanakupa bundle ya kutosha tu yenye speed ya ukweli. Then unaweza zistream redio bila matatizo sababu network ipo fast.
Kama situation ya hapo juu ingekuepo hamna haja ya fm redio. Ngoja nikupe advantage za internet redio over fm radio.
1)haina cha frequency sjui ukiwa dodoma inachange ukija dar inachange link moja itastream maeneo yote.
2)hamna cha sjui redio hii inashika mkoa huu na mkoa huu haishiki (mfano ukienda maeneo ya vijijin unapata redio tanzania tu). Internet radio ipo world wide
kwa hio mkuu iphone ina radio sema tu sio fm