Kwanini hakuna Zoo ya kufuga Nyati?

Huyu kumfuga labda awe kwenye kundi ambapo nadhani ni gharama sana na ukisema umfuge peke yake ni hatari maana nyati anapokuwa peke yake anahisi kuwa kwenye hatari so anakinukisha mda wowote. Ni hatari sana kukumbana na nyati akiwa mwenyewe kachengana na kundi lake ndo maana akiwa mmoja anaitwa mbogo. Labda mumfuge ila kila siku awe anapigwa tranquilizer
 
Ni mchoyo na anajua msosi ukikaa chini fisi au simba watampora tu
 
Kuna siku niliona ugomvi wa nyati na faru ni hatari, hebu fikiria lile pembe la faru lilivochongoka ila nyati ni chizi anaenda kujigongesha pale mwisho wa siku nyati alikimbizwa baada ya kuchotwa na lile la faru akangua chini faru akataka kwenda kummalizia chini pale nyati akasepa
 
Umeshasema Tembo na Nyati wa India,sasa wadanganye waje wajichanganye kutaka kufuga hawa wa huku kwetu...
 
Chui anachoka haraka. Niliona jana kwenye documentary, kuwa ana kasi ila inabidi awahi kukamata kwasababu anachoka haraka
 
Pale moshi kuna chuo cha kilimo wanafuga nyati mule na huwa wanatumika kulima sometimes
Pia kuna wakati huchinjwa na nyama huuzwa kwa wanakijiji,nyama ni tamu sana na ina mafuta kiasi fulani japo siyo kama kiti

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Huyu mungu alijua kumkomesha hizo pembe zingikuwa zimechongeka kuangalia mbele yaani simba wangekuwa wanakufa sana.
Acha kabisa, hujakuta kakojea mkia wake akauvuruga chini akakurushia tope lenye mkojo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata kama umekumbatia tawi utashuka tu[emoji1787][emoji1787] huyu hana adabu kabisa
 
ni kisarani kwelikweli huo mkojo hamna cha baunsa wanamwelewa ndo maana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui anakunywaga nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
yule mwamba hata simba huwa wanajipanga haswa sio mmoja na wakija kundi simba anachezwa danadana kaa mpira.
 
Ni kweli kabisa
 
yule mwamba hata simba huwa wanajipanga haswa sio mmoja na wakija kundi simba anachezwa danadana kaa mpira.
Yule hua hanogi mpaka wamuangushe chini, mmoja adande na koromeo, mwngine adande na uti wa mgongo, mwengine wadhibiti miguu ndio akae[emoji233][emoji233][emoji233][emoji233][emoji233]
 
Tatizo lipo kwenye majani wanayo kula[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyati wa india wakila majani magumu saaaana ni ukoka[emoji16][emoji16] ila hawa wa Tz wanaotega mpaka bhangi zilizopandwa porini kinyemwela
 
Yule hua hanogi mpaka wamuangushe chini, mmoja adande na koromeo, mwngine adande na uti wa mgongo, mwengine wadhibiti miguu ndio akae[emoji233][emoji233][emoji233][emoji233][emoji233]
kabisa mkuu na wakiwa simba wawili nanaweza tembea nao haaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…