ufalme syste. Hata huko ulaya ilikuwa hivyo, wakajkomboa...nao muda utafika wataona kuwa jitu moja haliwezi kuwamiliki as personal objectsKwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?
Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu?
Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
Wao wanatumia sana sheria ya udiniKwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?
Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu?
Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
😁😁😂😂😂 Kazi ipo kwa kweli, ahsante mkuu 🙌Canada
Hizo ni porojo tu za masjid, unataka kutuambia kwamba nchi kama Yemen, Lebanon, Syria, Iraq, Misri, Libya kuna huduma hizo unazoziongelea hapa..!!!Democracy ipi yakuwauwa watoto Gaza. Sa we mtoa mada nipe nchi gani ya kikristo ina Democracy.
Si bora hata hao warabu hawana Democracy lakini. Hospital bure, masomo bure, na wengi wao wanaishi kwenye majumba serekali zimewajengea, wengine hawalipi umeme, maji na wakichukua mikopo ya bank wanalipiwa sometimes. Nipe nchi ya kikristo yenye kufanya hayo.
Mkuu itakuwa una stress sana ya maisha.😂😂😂😂 Kunywa maji mengi muraDemocracy ipi yakuwauwa watoto Gaza. Sa we mtoa mada nipe nchi gani ya kikristo ina Democracy.
Si bora hata hao warabu hawana Democracy lakini. Hospital bure, masomo bure, na wengi wao wanaishi kwenye majumba serekali zimewajengea, wengine hawalipi umeme, maji na wakichukua mikopo ya bank wanalipiwa sometimes. Nipe nchi ya kikristo yenye kufanya hayo.
Watu pia wanahitaji kuwa huru kutoa mawazo yao kisiasa, kidini, uchumi, geopolitics n.k sio kushiba ugali na matembele tu.Demokrasia ni mchakato tu
Watu hawahitaji mchakato wanahitaji matokeo kama huduma za kijamii, usalama, unafuu wa maisha, ajira n.k
Nchi kama China ambayo haina demokrasia ya Magharibi inafanya vizuri kuliko nchi za Magharibi zenye demokrasia.
Nchi za Kiarabu hazihitaji demokrasia wanaweza kutoboa kwa mifumo yao wenyewe ya kiutawala kama China walivyojipata na mfumo wa Socialism with Chinese Characteristics
Utajifananisha wewe mdemokrasia unayekula ugali na tembele lililokolea ndimu nyingi na mwarabu wa Qatar au UAE?Watu pia wanahitaji kuwa huru kutoa mawazo yao kisiasa, kidini, uchumi, geopolitics n.k sio kushiba ugali na matembele tu.
Nilipo ongelea nimeongelea hizo nchi nimesema si bora si wote wako mfano Qatar, UAE, na Kuwait.Hizo ni porojo tu za masjid, unataka kutuambia kwamba nchi kama Yemen, Lebanon, Syria, Iraq, Misri, Libya kuna huduma hizo unazoziongelea hapa..!!!
Uzi ufungweMimi hoja yangu huwa hivi Democracy sio kwamba ni benchmark ya utawala wa dunia nzima kwamba ndio mataifa yote yaufuate.
Kuja kwa Democacy ni katika harakati tu za wanadamu kujaribu jaribu aina ya political ideologies au utawala. Usishangae miaka ya mbele kukaja na mfumo mwingine kabisa
Democracy ni ideology tu ambayo mataifa ya Magharibi waliadopt kutoka kwa wahasisi ambao ni Greece
Walichofanya nchi za Magharibi ni kuforce mataifa mengine duniani yatumie mfumo huo wakati wa vita ya ideology (Cold War) kati ya Democracy na Socialism
Nchi za Magharibi zimeingiza chaka mataifa mengi duniani ku-adopt Democracy wakiamini ndio msingi wa maendeleo lakini mwisho wa siku hakuna maendeleo yoyote, fujo tu kama Kenya na siasa za kipumbavu kama Tanzania
Mataifa yenyewe ya Magharibi yalijipata kupitia political ideology ya Monarchy walipokuwa wanapora mali za mataifa mengine kipindi cha Feudalism.
Halafu leo wanakuja kuhubiri Democracy inaleta maendeleo WTF! Wameleta Democracy ili waweze kuwatawala kupitia ukoloni mambo leo.
Cha ajabu taifa kama Uingereza kipindi cha Monarchy lilijipata sana ilikuwa taifa kubwa duniani lilikuwa WORKSHOP OF THE WORLD kama tunavyosema leo China ni The World's factory
Uingereza walifanya INVENTIONS kubwa sana kwenye kipindi hicho ila kwenye Democracy taifa hilo limekuwa kituko
Mataifa mengi ya Magharibi yameanza kuwa na democratic election iliyo kamili miaka ya 1960s na 1970s
Miaka ya nyuma ya hapo hakukuwa na democratic election kamili ilikuwa na kasoro nyingi kwa mfano wenye mali na vipato ndio waliruhusiwa kupiga kura, ubaguzi wa jinsia na rangi n.k
My take: ilitakiwa kila taifa lijiamulie mfumo wake wa utawala mbona kabla ya Democracy maisha yaliendelea kama kawaida
Wachina hawajatetereka kwenye kukubali mfumo wa Democracy wao wamejipata kwenye mfumo wao wa Socialism with Chinese characteristics
Na Waarabu nao waendelee na mifumo yao. Utafananisha life la UAE, Qatar, Saudi Arabia na taifa lolote la kidemokrasia la Africa, Latin America na nchi nyingi za Ulaya?