Hivi kwanini gari aina ya Nissan Murano zinauzwa bei ya kutupwa?

mahenda255

JF-Expert Member
Jul 29, 2018
510
674
Habari za asubuhi wakuu!

Nimejaribu kupitapita kwenye mitandao ya kijamii nikitafuta gari used kwa mtu angalau na mie nipate usafiri hapa mjini.

Nimeona madalali wanapost gari hizi kwa bei ya kutupa, ukizingatia ni SUV na specific sawa na gari kama harrier na Kruger lakini nashangaa kukuta no.D iliyosimama inauzwa mil.6

Au shida ni upatikanaji wa spare?
 
Watu wengi Africa wanamiliki Toyota na sio Nissan kwa sababu ya maintenance costs. Spares za Nissan ni aghali sana ukilinganisha na Toyota.
 
Watanzania washamba sana ukiwa huna pesa kelele mingi sana, gari ni pesa mara muonekano mara nyoko, Nunua gari tumia pesa Murano hazina shida miaka ya 2012-13-14 watu wakiongea shit sana kuhusu Raum Leo Yako wapi, tumieni pesa, Kila siku mnashinda bar na lodge na mademu uoga wa kishamba
 
Back
Top Bottom