macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,221
- 60,275
Tuwe Wakweli Bwana Dstv Ni Level Zingine, Hasa Channel Zile Za KENYA.
Hakuna cha Dstv wala zuku Mambo yote bein sport chanel zaid ya 10 za hd ligi zote kubwa duniani... dola 300 kwa mwaka
.......and then GTV died.
DSTV ni level nyingine kabisa huwezi fananisha na vinga'muzi vingine aisee. Mfano Ukiwa na PVR EXPLORA aisee mkuu utajua nini nakwambia japo ndio hivyo kununua hiyo decoder na kufugiwa ni 1,000,0000 tsh na malipo ya mwezi kwa premium ni 159,000 tsh but uta enjoy sana na features zilizopo humo.
cha ajabu channel nyingi za dstv,hawa star times wanazo. Labda ni hiyo hakimiliki ya kuonyesha world cup tu!
Huku kwetu asilimia kubwa ya watu tunatumia cable, kombe la dunia tunaliona vvizuri tu, unakuta kuna channel zaidi ya tatu zinaonesha kombe la dunia, unajichagulia tu angalie channel ipi, nie wa dstv endeleeni na dstv yenu
Mheshimiwa, anachozungumzia mtoa mada ni ughali wa huduma za Dstv ikiwa ni pamoja na malipo ya kila mwezi na ndio maana akapendekeza angalau iwe 50,000/= flat rate na amelenga kwenye mipira na mimi nimekubaliana naye ila nimejaribu kuonesha kuwa unaweza kuwa na Dstv kwa vifurushi unavyoweza kumudu. Mtoa mada pia ametahadharisha kuwa wasipokuwa makini watakosa wateja hasa wadau wengine wa huduma kama zao wakiingia sokoni kama ilivyo kwenye mabenki na mitandao ya simu kwa upande wa pesa ambapo wateja watakuwa na uwanja mpana kujichagulia hasa ving'amuzi vitakavyokuwa na huduma za mipira kama Dstv. Sasa hiyo mada B unayoizungumzia wewe mkuu wangu ni ipi? Mimi naona nipo ndani ya mada na ndio maana baadhi ya wachangiaji wamekubaliana na maoni yangu. Hebu mheshimiwa nitofautishie hiyo mada A na B huenda nikaelewa zaidi ni nini unachopingana na mimi. Elimu kwanza!Tunazungumzia mada A wewe unageuza kuwa mada B! Sishangai kwani wabongo wengi ndio tulivyo tunapokosa hoja! Hujaona kinacholalamikiwa kwenye hii post wewe? Soma tena!
Mkuu kama uliuziwa EXPLORA shilingi milioni 1 basi ulipigwa sana mimi nimenunua hiyo kitu mwezi mmoja uliopita ni kama USD 350 hivi (Tsh 580,000) ukiweka na monthly subscription ya premium inakuja total kama 730,000 net..waambie wakurudishie "chenchi"
Hivi wewe unataka kila mtu atangaze exposure yake ili iweje? Yani tukipingana na mawazo yako tu basi kosa tunakuwa hatuna exposure? Usituchoshe na exposure yako haitusaidii sisi kama huna hata huo uwezo wa kugharimia package unayoitamani hiyo exposure faida yake nini kwako? Ok,hatuna exposure lkn tunafaidi huduma za Dstv tena bila kulalamika kila mtu kwa uwezo wake,wewe kaa na hiyo "exposure" yako na ununue king'amuzi cha Continental ndio kinakufaa!Utumwa kwako ni nini? Ni channels za TV kutoka nje? Pole sana! Back to the topic! DSTV wanawakamua makusudi watanzania. Nchi nyingi sana gharama za TV za kulipia ziko chini sana sana kulinganisha na Tanzania. Wewe pengine unapata fedha zako kwa njia ya mkato. Na inaonekana huna exposure ya kujua ni nini huduma za nchi nyingine kama hii hii ya DSTV zilivyo! Ndio maana umebaki kusifia DSTV. Kweli kipofu kaona mwezi. Jaribu kutembea uone ndugu yangu!
Mkuu achana na huyo,naona mapovu yanamtoka tu,point kaishiwa kabaki kutishia watu "Exposure" my foot! Point uliyotoa ni clear kabisa,kila mtu ajipange kulingana na uwezo wake,period.Mheshimiwa, anachozungumzia mtoa mada ni ughali wa huduma za Dstv ikiwa ni pamoja na malipo ya kila mwezi na ndio maana akapendekeza angalau iwe 50,000/= flat rate na amelenga kwenye mipira na mimi nimekubaliana naye ila nimejaribu kuonesha kuwa unaweza kuwa na Dstv kwa vifurushi unavyoweza kumudu. Mtoa mada pia ametahadharisha kuwa wasipokuwa makini watakosa wateja hasa wadau wengine wa huduma kama zao wakiingia sokoni kama ilivyo kwenye mabenki na mitandao ya simu kwa upande wa pesa ambapo wateja watakuwa na uwanja mpana kujichagulia hasa ving'amuzi vitakavyokuwa na huduma za mipira kama Dstv. Sasa hiyo mada B unayoizungumzia wewe mkuu wangu ni ipi? Mimi naona nipo ndani ya mada na ndio maana baadhi ya wachangiaji wamekubaliana na maoni yangu. Hebu mheshimiwa nitofautishie hiyo mada A na B huenda nikaelewa zaidi ni nini unachopingana na mimi. Elimu kwanza!
Utumwa kwako ni nini? Ni channels za TV kutoka nje? Pole sana! Back to the topic! DSTV wanawakamua makusudi watanzania. Nchi nyingi sana gharama za TV za kulipia ziko chini sana sana kulinganisha na Tanzania. Wewe pengine unapata fedha zako kwa njia ya mkato. Na inaonekana huna exposure ya kujua ni nini huduma za nchi nyingine kama hii hii ya DSTV zilivyo! Ndio maana umebaki kusifia DSTV. Kweli kipofu kaona mwezi. Jaribu kutembea uone ndugu yangu!
Mkuu is kweli Kwamba channel nyingi za dstv zipo startimes. Mfano dstv wana discovery ch Kama nne hivi tofauti. Which is not the case kwa startimes. Superort zote ni dstv MNet ch na nyingine nyingi over 100. Dstv is the best sema tu ni ghali. Lakini hata decoder zao ni tofauti na zingine zote. Mfano hizi HD PVR EXPLORA ni safi sana mkuu with a lot of features.
Sent from my iPad using JamiiForums
Sipendi kuwaibia lakini kwa bei hiyo acha tu niendelee kuwaibiaMay be but mpaka kuwa full functional 1 million just vanished decoder peke yake na dish ilikuwa 415 USD, premium package for PVR 94 USD and installation fee 89 USD so total 598 USD.
Ni full starehe,HD channels za Super Sport ni balaa,tena uwe na Screen kubwa,unaona mpaka nyasi zinavyong,oka shuti likipigwa.DSTV ni wakongwe wa Digital.
Haa haa. Bado unaendelea kusema vitu vya kuhisi. Pingana na mimi lakini kwa point na sio kutetea wezi eti kwasababu ''wamekuduwaza'' na channels zao. Hapo ndio linapokuja suala la exposure. Wewe wakati unazubaa zubaa kwa kushangaa kuona channels za DSTV peleka bongo yako mbali.... Ona na nchi nyingine wanalipa nini na huduma zao zikoje. Bado swali liko pale pale: Kwanini DSTV wanachaji gharama kubwa (tena kwa kutumia dola) wakati South Africa channels hizo hizo zinalipiwa fedha kidogo na tena kwa kutumia fedha ya rand ya huko? Usilete umbulula wako wa kushangaa ''eti channels za DSTV ni kibongo'' hapa.Hivi wewe unataka kila mtu atangaze exposure yake ili iweje? Yani tukipingana na mawazo yako tu basi kosa tunakuwa hatuna exposure? Usituchoshe na exposure yako haitusaidii sisi kama huna hata huo uwezo wa kugharimia package unayoitamani hiyo exposure faida yake nini kwako? Ok,hatuna exposure lkn tunafaidi huduma za Dstv tena bila kulalamika kila mtu kwa uwezo wake,wewe kaa na hiyo "exposure" yako na ununue king'amuzi cha Continental ndio kinakufaa!
Sipendi kuwaibia lakini kwa bei hiyo acha tu niendelee kuwaibia
Umbulula unao mwenyewew unaetaka kila mtu akubaliane na mawazo yako,unasema nashangaa na channel za Dstv,yes acha nizishangae huku nazifaidi,na wewe endelea na kulalamika na utazisikia kwa wenzio tu kama sio kwenda kuzionea baa! Mfyuuuu!!!!!Haa haa. Bado unaendelea kusema vitu vya kuhisi. Pingana na mimi lakini kwa point na sio kutetea wezi eti kwasababu ''wamekuduwaza'' na channels zao. Hapo ndio linapokuja suala la exposure. Wewe wakati unazubaa zubaa kwa kushangaa kuona channels za DSTV peleka bongo yako mbali.... Ona na nchi nyingine wanalipa nini na huduma zao zikoje. Bado swali liko pale pale: Kwanini DSTV wanachaji gharama kubwa (tena kwa kutumia dola) wakati South Africa channels hizo hizo zinalipiwa fedha kidogo na tena kwa kutumia fedha ya rand ya huko? Usilete umbulula wako wa kushangaa ''eti channels za DSTV ni kibongo'' hapa.
Sina maslahi binafsi mkuu wangu,anabore huyu anaetaka kujifanya na "exposure" zake za uchochoroni huku hawezi kuafford hat package ya access! Ha!ha!ha!Ha ha ha ha mkuu umenifurahisha eti hadi Nyasi zinavyong'oka,,,sema mkuu huna maslahi binafsi kweli maana hata kama kuwatetea sio hivyo!
Umbulula unao mwenyewew unaetaka kila mtu akubaliane na mawazo yako,unasema nashangaa na channel za Dstv,yes acha nizishangae huku nazifaidi,na wewe endelea na kulalamika na utazisikia kwa wenzio tu kama sio kwenda kuzionea baa! Mfyuuuu!!!!!