Hii pekee ni sababu tosha ya ndalichako amepasisha watu wasiojua kusoma na kuandika...haya ndio yanayo lalamikiwa..baraza lime feli..vipi utapasi wakati hujui kusoma na kuandika..vp hio mitahani ya darasa la saba 7 alipita vipi ? vip mitahani ya kidato cha pili 2 ? vipi amepita? sasa it is reasanable dobt ndalichako atoke...Hawajui kusoma na kuandika??? Zaidi ya elfu 5!!!! Du... Hii ni idadi kubwa sana. Yawezekana wote hao ni waislamu.........
Watanzania tumefikishwa sehemu mbaya sana na watawala wetu,ata inapotokea fursa ya kujadili jambo la maana kwa mustakabali wetu tunakimbilia kulumbana kidini, tumeingizwa kwenye divide and rule bila kujitambua nasi tumeingia tena kwa kutanguliza kichwa. Kimsingi Ndalichako kama mtendaji mkuu anapaswa kuwajibika kwa kutangaza matokeo yanayohusu maisha ya watu bila kuyachunguza usahihi wake pasipo kujali dini yake. Nchimbi, Kamuhanda na Mwema nao wawajibike kwa makosa ya mauaji yanayofanywa na polisi walio chini yao,tukumbuke yule mmiliki wa kiwanda cha maziwa kule China alihukumiwa kunyongwa kama mtendaji mkuu lakini aliyeongeza kemikali kwenye maziwa yakadhulu watoto hakuwa yeye bali wafanya kazi wake. Ndio maana uchumi wao unapaa sana maana hawacheki na nyani.Wakati Dr.Ndalichako aliposhika madaraka pale NECTA alimteua naibu wake ambaye alikuwa Muislam jina lake Ahmed Ally lakini aliacha kazi kwa hiari yake mweyewe na kurudi UDSM kufundisha.
Lakin ni funzo sana kwa Serikali ya JMTz kujifunza zaidi ikiwemo pamoja na kulifanya Baraza hilo la Mitihani kuwa na SURA YA MUUNGANO. Kwa kuamua kama Katibu mtendaji atatoka upande mmoja wa muungano basi naibu wake atoke upande wa pili wa Muungano kama ilivyo kwenye taasisi na wizara zote zenye sura ya Muungano kama BOT etc.
Lakin vile vile ikumbukwe tokea kuanzishwa kwa baraza hilo viongozi wake wakuu kama katibu mtendaji mkuu na naibu wake wote wamekuwa wakristo. Hakuna muislam hata mmoja na hapo ndipo panapozidisha mashaka kwa chombo hicho.
lakin mwisho za mwizi arobaini. sasa ukweli umedhihiri. Laazima Katibu mtendaji mkuu wa Baraza hilo lazima awajibike kwa kujiuzuru ikiwemo pamoja na kuwafikisha mahakamani kutokana na kuwa athri watoto hao kisaikologia na kuwapotezea muda wao.
nachelea kidogo kunasibisha chama cha CUF na dini, ila sikatai chama hicho kuwa na wafuasi wangi wa kiisilamu, ndio maana nawashangaa wengine wanao dai CDM ni cha wa Kristo, au wengine wanadai ni cha wa KASKAZINI, propaganda ambazo UTAZIKATAA, Lakini haiyumkiniki kuwa washabiki wengi wa CDB ni wa KRISTO na watu wa Kaskazini. NAOMBA TUACHA PROPAGANDA ZA KISHENZI, WE ARE FIGHTITNG COMMON ENEMY, ..... CCM!
Mi napendekeza hii mitihani ya Dini ifutwe kabisa, kama ni Kipaimara, Ikaristi ushindani wa kusoma Koroani n.k vifanywe kwenye nyumba za Ibada, leongo langu ni hili, tunaweza ku include matokeo ya dini then ikampandishia mtu division yake, say alistahili kupata Division 4 lakini labda kwenye Bible knowledge au hiyo ya Madrasa akawa mtu ana A, so atavushwa hadi Division 2, hapa huoni tutapeleka watu vyuo vikuu wakiwa kichwani watupu? kwasababu huko hawaendi kujifunza mambo ya dini but Elim dunia.
acha matusi mkuu, jiheshimu.
Kama huna hoja kaa kimya.
Ni kweli serekali haina dini lakini haina haki ya kuwadhulumu wenye dini.
Serekali ndo inatunga, kusimamia kusahihisha na kutoa matokeo ya hiyo mitihani ya dini, iweje ktk masomo zaidi ya 20 likosewe somo moja tu, tena la waislamu?
Mkuu yaani tangu post ya kwanza mpaka umefika kwa Nsiande hujagundua kama kuna element za udini? Hujui kwamba Ndalichako anaandamwa kwa sababu ya jina lake Joyce?
ndiyo maana tunataka serikali ifute mitihani ya dini. Isiwekwe km mitihani ya taifa wkt serikali haina dini. Kusema serikali haina dini ni tusi? Au dini yako haina hela za kutunda na kusahisha mitihani mpaka zitoke oic?
Sasa hapo uchemfu wangu uko wapi? Kama sio dini yake kwanini asijiuzuru Kawambwa Waziri. Hivi huko miskitini hamjafundishwa kwamba Katibu wa NECTA ni mtaalamu na sio Mwanasiasa? Anajiuzuru Mwanasiasa sio Mtumishi wa Umma ebo! Mnakuwa kama Luddites waliokuwa wanabomoa mashine badala ya mmiliki wa mashine? Mtoeni Kawambwa na JK ndio Ndalichako atatoka....nawe naye mchemfu, hakuna anayemuandama ndalichako kwa sababu ya jina lake huo ni upogo. sie tunataka mabadiriko na si vinginevyo. na atakayeingia pale hatutaki apendelee, tunataka usawa. wazanzibari walifelishwa makusudi akaona hiyo haitoshi akashirikiana na mbowe wakaona lazima waislam wawakome wakawafelisha f6 makusudi wakidhani waislam bado wamelala, walipoona wamepelekewa memo wakajifanya wanayatoa matokeo upya tena kimya kimya. Its too late
hoja sio nani ni nani au nani ameolewa au kumuoa nani, hoja ni awajibikaji kwa kila mmoja bila kujali dini, jinsia au rangi.
Necta wanatakiwa wajichunguze kwani haya yasingetokea kama si waislamu kushinikiza.
Mwanzoni necta walikataa na wakapinga kuwa si kweli kabla hata hawajafanya uchunguzi, leo imethibitika.
Ni nabii gani au mtume gani kati ya wote alikuwa mfanya biashara mwenye wake wengi?
Nijuavyo mimi ni mmoja 2 na mnamjua! Haihitaji elimu ya chuo kikuu kujua aliwapandikiza nini wafuasi wake! Chuki, uuaji ili uende peponi, kumuua asiye wa dini yake!, kumfundisha mtoto mapema ili asibadilike nk.
Amkeni chukueni hatua
Eti wengine wanasema elimu ya dunia haina isue kwao!!