Inabidi ushiriki maandamano yetu kuelekea NECTA ili kumshinikiza ajiuzuru, vinginevyo hausaidii lolote kukaa kwenye keyboard huko Oman na kujidai una uchungu. Njoo tuandamane wote!Kwanini Dr Ndalichako asijiuzuru?
watu wengine bana.....ajiuzuru kwa lipi labda? Matokeo ya islamic exams....? Hauko serious mkuu..
Binafsi sioni sababu ya yeye kubakia hapo. Kwano kosa kama hilo la kiutendaji ni kubwa sana kwa jamii hasa ukizingatia kuwa limefungamana na mambo ya kiimani. Ikumbukwe ni siku nyingi sana waislam hao hao wa Tanganyika wamekuwa ma msururu wa malalamiko ya kudhurumiwa haki zao na Serikali yao.
Lakin ni funzo sana kwa Serikali ya JMTz kujifunza zaidi ikiwemo pamoja na kulifanya Baraza hilo la Mitihani kuwa na SURA YA MUUNGANO. Kwa kuamua kama Katibu mtendaji atatoka upande mmoja wa muungano basi naibu wake atoke upande wa pili wa Muungano kama ilivyo kwenye taasisi na wizara zote zenye sura ya Muungano kama BOT etc.
Lakin vile vile ikumbukwe tokea kuanzishwa kwa baraza hilo viongozi wake wakuu kama katibu mtendaji mkuu na naibu wake wote wamekuwa wakristo. Hakuna muislam hata mmoja na hapo ndipo panapozidisha mashaka kwa chombo hicho.
lakin mwisho za mwizi arobaini. sasa ukweli umedhihiri. Laazima Katibu mtendaji mkuu wa Baraza hilo lazima awajibike kwa kujiuzuru ikiwemo pamoja na kuwafikisha mahakamani kutokana na kuwa athri watoto hao kisaikologia na kuwapotezea muda wao.

Kwani Dogo hilo?
Lakin msingi mkuu wa kujiuzuru kwake ni kurejesha hishma ya Barza hilo kwa wananchi hususan wale waliodhurumiwa matokeo yao.
Actually huyo sio wa kujiuzuru ni wa kusimamishwa au kufukuzwa. Aliyetakiwa kujiuzuru ni mwenye dhamana ya kisiasa, Waziri wa Elimu Dr Shukuru Kawambwa! Inashangaza hakuna anayemgusha huyu katika suala hili. Inaweza kuwa ni kwa sababu ya dini yake?..Kwa mantiki hii ilitakiwa na Dr Ndalichako ambaye ndio Mtendaji mkuu wa baraza hilo ni lazima kwa aina yoyote ile ajiuzuru kutokana na kadhia kubwa kama hiyo. Kwani athari walizopata wanafunzi hao walio athirika kisaikologia kutokana na makosa yao ni kubwa sana na vile vile gharama watakazo chukua kufanya marekebisho hayo. Huu ni uzembe mkubwa sana kwa mtu muungwana lazima kujiuzuru .
Barubaru, kabla Dr Ndalichako hajaondoka natagemea boss wake- Dr Shukuru Kawambwa atatangulia. Unaweza kuniambia kwanini Dr Kawambwa hatajwi kwenye hii issue? Tuliona TBS ambapo both Waziri na mkuu wa TBS waliondolewa, sasa kwa nini kwenye hii wizaraya elimu wananyoa katikati lakini shina linabaki?
Maandamano sawa lakini msisitizo wa kuzingatia elimu katika ujumla wake ni laazima iwe agenda kuliko kusimamia tu hilo tukio moja. Nadhani yalishafanyika maandamano tayari wakati ule juu ya Ndanda, kuna mengi ya kushinikiza watu wajiuzuru katika nyaadhifa zao, laakini nachelea kusema Tanzania hatuna utamaduni wa aina hiyo, wa kujiuzuru na ahata wa kushinikizaa, ni mahakama tu ndiyo inaweza. Vinginevyo nawatakia maandamano mema, niko Indonesia, huku mambo yanaenda kwa mbele kufaanya maendeleo ya kumkomboa mwanadamu kiuchumi na siyo kufikiria kuandamana kila siku kama hapo nchini kwetu.Inabidi ushiriki maandamano yetu kuelekea NECTA ili kumshinikiza ajiuzuru, vinginevyo hausaidii lolote kukaa kwenye keyboard huko Oman na kujidai una uchungu. Njoo tuandamane wote!