Kwanini Dkt. Slaa anaichukia amani?

chromium, kwa nini unapata kigugumizi kutaja hicho chama!? kama hukijui kinaitwa Christian Democratic Union (CDU). hicho chama ndiyo mfadhili mkuu wa chadema
So what??? Hata kama wangekuwa nyani, who cares at this point? Unatutega tuogope christians? CCM has to go...hata kwa fimbo.
 
Huyu jamaa ana Njaa kali sana.Tusimlaumu.Kwa maongezi yake ukiangalia kwa makini ndio wale waliopewa laptop za bure na air time za bure kuja hapa JF.kuongea pumba ambazo ni vichekesho.Sasa makamanda naomba mwenye kujua wapi kuna kazi apewe huyu jamaa.kwa kweli atakufa njaa.kwani anajitahidi ili mabosi wake waone kama anafanya kitu.sasa kibaya anachoandika hakina amashiko pole sana.msaada makamanda.tulianza na mungu na tunamalizia na mungu.
 
So what??? Hata kama wangekuwa nyani, who cares at this point? Unatutega tuogope christians? CCM has to go...hata kwa fimbo.

kwa hiyo unakubaliana name kuwa chdm inafadhiliwa na chama cha kikristu cha ujerumani? kama ni hivyo, wanaokifungamanisha chdm na ukristu wanakosea?
 
usizunguke mbuyu. jibu hoja dogo tafadhali!
 
Hawa vijana wa Green Guards hawajui kuchambua hoja na mitazamo tofauti, alichokisema Dr.Slaa ni kumtaka Mhe.Nchimbi asichukulie tuhuma zote zile kama jambo dogo kwa hatima ya taifa na kama hataweza kuzibeba ajiuzulu.Kutoka nje ya ukumbi siyo kwenda nje ya ukumbi kushangaa majengo bali kutangaza kujiuzulu, na kinyume chake ni kubaki ndani, kuzingatia yanayozungumzwa na kukiri udhaifu.Mhe.Nchimbi amekiri udhaifu wa serikali,chama chake na vyombo vya dola kisha ameomba msaada na ushirikiano.Kama akili yako ndogo, si ajabu hujaelewa hata mantiki ya ile hadithi ya mtego wa panya.
 
Hakuna hoja hapa.Ni moja kwa moja hakuna kitu unachoongea kuanzia kichwa cha Habari na yaliyomo ndani babu.Sitaki kuongelea kila kitu hapa.kila mtanzania anajua ni nani ana haribu amani ya hii nchi .Ndio maana nsema kuwa akili ndogo haiwezi tawala akili kubwa kamwe.mambo yapo wazi wewe unajifanya hujui.ndio maana nimekuja moja kwa moja na kukuambia una njaa upo hapa kazini ili wajukuu wako waende chooni.
 
Njia pekee ya kujitafutia umaarufu chadema ni kwa kufanya vurygu na ugaidi
 

unajua tofauti kati ya kongamano la amani na jukwaa la siasa kwenye kampeni? unajua maneno ambayo huzungumzwa kwenye kongamano la amani? kama hujui kawaulize wanaojua watakueleza. kuhusu mtego wa panya, nchimbi alimaanisha kuwa tatizo likianza kila mtu ataathirika. kwa mafumbo alikua akiisema chdm kuwa iache vitendo vya kigaidi. iache mpango wa kuanzisha vikosi vya kijeshi kwa mfano red brgd
 

kauli za nchi haitotawalika umewahi zisikia? tutaunda vikosi vitakavyo tulinda hatuhitaji jeshi la polisi umewahi zisikia? mambo ya kujilipua arusha kwa lengo la kutafuta huruma ya wananchi hujayasikia? TAFAKARI!
 
BABU Sikia umezeeka nini wewe?wewe ulisoma darasa moja na Teendwa nini?kwani nakuona Babu una akili ya miaka 47 iliyopita.Sasa nashindwa kukusaidia sikielewi ulichoandika hapo Babu.nitakupa ushauri baadae.Tuongee kwanza hapa.nipo na wewe Babu yangu leo.utaelimika tu ile elimu yenu ya mkoloni haiwezi kukizi au kwenda na wakati huu.
 
Jeshi la polisi linapiga na kuua raia makusudi. Mfano jana hapa Mpanda kuna kijana kapigwa na polisi kama 6 hv huku wamempakiza kwenye landcruser mkonga. Kisa kijana alikatazwa asiwekee taksi iliyokuwa inafukuzwa na polisi, hafu cha kushangaza taksi na dereva wanamfahamu na leo alikuwa anazunguka mtaani wahajamkamata. Nilivyododosa wananchi wakasema hiyo taksi huwa inabeba vitu vya magendo na huwa haikamatwi.
 
kama unataka amani mwambie mkuu wako hatutaki vita.Mmeweka bajeti ya vita tayari sasa hivi.wakati wanafunzi hawana madarasa,hakuna kalamu,madaftari,vifaa vyote muhimu vya shule.walimu kulipya pesa nzuri.Nakutetea wewe kwani najua wewe babu ni mwalimu.Unalipya sh ngapi.kwanini Rais wako aongeee kuwa mtu akituchokosa atakiona cha mtema kuni.mbona ajasema tutaongea naye kwanza.wewe sio mwana amani?.Aibu tupo kwa mkuu wako wa nchi.yeye aliongea Rwanda wakae meza moja na wagomvi wake.sasa mkuu wako ndio kaenda moja kwa moja bila hata kuongea kama alivyowashauri Rwanda.yeye anasema mtu yeyote akichokoza atakiona cha mtema kuni.hahahahahahaahahahahah.Kweli hatuna viongozi smart.
 
Na mimi nasema azomewe tu maana sasa TUMECHOKA.
 
Slaa ndipo anapatia ulaji panapo kosekana amani, ni karata pekee anayoitumia kwenda kuombea pesa kwa Wakristo wa Ujerumani na Italia, kuwa wenzao wananyanyaswa na Rais Muislaam. Hiyo ndio turufu yake, ana kipi kingine?
Haya haya ndo yaliyomfanya LUPUMBA apige kampeni MSIKITINI ili tu Mwislamu mwenzangu apite kwa kuendekeza Udini tutapotea simamieni haki si kuchafua watu kwa maneno ambayo hayana Mshiko.
 


 
Haya haya ndo yaliyomfanya LUPUMBA apige kampeni MSIKITINI ili tu Mwislamu mwenzangu apite kwa kuendekeza Udini tutapotea simamieni haki si kuchafua watu kwa maneno ambayo hayana Mshiko.

Lipumba Msikitini ndio kwao, hilo wala lisikutishe. Hujawaona wanasiasa wakiwa makanisani? mbona haiwi nongwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…