A
Anonymous
Guest
Diwani kata ya Makumbusho, Wananchi wa Mwananyamala, Makumbusho wanateseka sana na hii njia. Haipiti Pikipiki, gari, Bajaj hata watembea kwa miguu
Hii barabara ipo karibu na kituo cha Makaburi ya Kwa Kopa na barabara ya lami inayotoka Mwananyamala Hospital ni mita chache sana.
Usumbufu mwingi hata kupita kwa miguu ni shida tupu, kwanini ilichimbwa na imetengeneza dimbwi? Wananchi wanateseka, una taarifa kuhusu hii barabara?
Tatua hii kero ndugu Diwani