Kweli mkuu,,, nakumbuka hata kupiga nyungu (kujifukiza wakati wa covid - 19) watu walidai kuwa ni ushirikina?! Wakati ulaya na marekani kuna rooms za mvuke !Mzungu ukristo
Muarabu uislamu
Mu asia buddha
Kuna jews ajili ya mataifa flan flan
Muafrica ni kama hastahili kuwa na dini yaani africa ni soko huria kutangaza dini zao.Sijui imekuaje kuaje mpk imani zetu zimekuwa ushetani na nguvu za giza. Ina maana sisi wazee wetu hawana jema,mizimu yetu tu ndo mashetani?mbona wahindi wanaabudu hadi ng’ombe!nyoka!watu!
Nadhani kuwa watu flani flani walijua dini zetu zinanguvu sasa wakataka kuzibadili lkn swali ni je tunawabadilishia tunawapa dini gani?????Pili,hawa wapuuzi walijua wakitufanya tuchukie utamaduni wetu na imani zetu halfu tukapenda za kwao ni rahisi sana kututawala.
Dini zinakuja ili tutawalike kirahisi na kimsingi Dini zote zinafundisha basics priniciple ambazo ni imani,msamaha,maombi,ibada,matendo mema yaani kifupi mpagani akifanya hayo ana nguvu sawa na mshika dini...
usizini inayozungumzia kwenye biblia ndo ile ile ya kwenye quaran sema tu lugha tofauti uwasilishaji tofauti.Ukweli huu unahitaji uwe na akili huru sana..
Leo hii hata kunywa dawa ya asili unaonekana mshirikina!!!unaonekana mshamba!
Hakika umenena mkuuMzungu ukristo

Mkuu sio uhuni, ni kwamba Tanzania ni secular country! Hatuna dini rasmini ya taifa mkuu,Acha uhuni mkuu, tunataka dini inayomwabudu Mungu aliyejuu aliyeviumba viumbe vyote vilivyomo na visivyo onekana. Mungu aliyeumba mito, jua, nyota, mbingu, dunia.
Hizo dini zingine zinawaabudu watu, zinawaabudu mizimu ya mababu ambao wote hao waliumbwa na Mungu aliyeziumba mbingu na nchi
Mkuu Sijui kama umenielewa vizuri ndugu yangu?!swali lako nimekujibu tayari lakini, hizo dini za asili ni za kichawi chawi tu.
Kwakiasi Fulani naweza kukubaliana na wewe mkuu, japo sio moja kwa moja boss wangu,Nimeshawahi kuleta mada inafanana hivi kuwa hapa nchini kuna watanzania wenzetu ambao wana asili ya Asia.Wana dini yao inaitwa Hindu pia wapo Sikh na pia Buddha.Kwanini wako nyuma ya pazia kwenye kuliombea taifa au hafla za kitaifa nao hawajitokezi ilhali ni watanzania wenzetu?
JIBU NI RAHISI MTOA MADA NAOMBA NILIANDIKE INFERIORITY COMPLEX
Ni nyerere tu alivyofariki mkuu wa dini ya Hindi Nyerere alipokuwa anaombewa naye alijitokeza akamuombea.
Acha uhuni mkuu, tunataka dini inayomwabudu Mungu aliyejuu aliyeviumba viumbe vyote vilivyomo na visivyo onekana. Mungu aliyeumba mito, jua, nyota, mbingu, dunia.
Hizo dini zingine zinawaabudu watu, zinawaabudu mizimu ya mababu ambao wote hao waliumbwa na Mungu aliyeziumba mbingu na nchi
din zinanguvu ya kimwili au kiroho?Dini za asili zina nguvu ya kimwili na maendeleo
exactlyMzungu ukristo
Muarabu uislamu
Mu asia buddha
Kuna jews ajili ya mataifa flan flan
Muafrica ni kama hastahili kuwa na dini yaani africa ni soko huria kutangaza dini zao.Sijui imekuaje kuaje mpk imani zetu zimekuwa ushetani na nguvu za giza. Ina maana sisi wazee wetu hawana jema,mizimu yetu tu ndo mashetani?mbona wahindi wanaabudu hadi ng’ombe!nyoka!watu!
Nadhani kuwa watu flani flani walijua dini zetu zinanguvu sasa wakataka kuzibadili lkn swali ni je tunawabadilishia tunawapa dini gani?????Pili,hawa wapuuzi walijua wakitufanya tuchukie utamaduni wetu na imani zetu halfu tukapenda za kwao ni rahisi sana kututawala.
Dini zinakuja ili tutawalike kirahisi na kimsingi Dini zote zinafundisha basics priniciple ambazo ni imani,msamaha,maombi,ibada,matendo mema yaani kifupi mpagani akifanya hayo ana nguvu sawa na mshika dini...
usizini inayozungumzia kwenye biblia ndo ile ile ya kwenye quaran sema tu lugha tofauti uwasilishaji tofauti.Ukweli huu unahitaji uwe na akili huru sana..
Leo hii hata kunywa dawa ya asili unaonekana mshirikina!!!unaonekana mshamba!
Mnaabudu mizimu ya kiyahudi, kina marehemu Yesu na wengineAcha uhuni mkuu, tunataka dini inayomwabudu Mungu aliyejuu aliyeviumba viumbe vyote vilivyomo na visivyo onekana. Mungu aliyeumba mito, jua, nyota, mbingu, dunia.
Hizo dini zingine zinawaabudu watu, zinawaabudu mizimu ya mababu ambao wote hao waliumbwa na Mungu aliyeziumba mbingu na nchi
Hana lolote. Mtu alishakufa miaka mingi nyuma huko kwao akusikie wewe mmatumbiKwa jina la Yesu, nakufungua katika vifungo vya kuto jitambua na kutomtambua Mungu wa kweli. Ndugu zako walikufunga ili usiweze kutafakari lakini Leo anakwenda kubadirisha ufahamu wako kwa jina la Yesu nafungua ufahamu wako ili umjue Yesu Kristo Mungu alive hai. Katika jina la Yesu Kristo Mungu aliyehai amen.
din zinanguvu ya kimwili au kiroho?