Unataka kutuambia kwenye biblia kuna mkono wa shetani ?, what a ridiculous comment !! Kama ni hivyo hakuna maana ya kuiita biblia kuwa ni takatifu ili Hali shetani ashaichezea tayarTatizo ni tafsiri iliyofanywa. Vitabu vyote vya Agano Jipya viliandikwa kwa lugha ya Kigiriki isipokuwa tu ule Waraka kwa Waebrania.
Sasa waliotafsiri mwanzoni ndiyo walikosea au walifanya makusudi hiyo haijulikani.
Iko hivi :
Katika zile original manuscript za hivyo vitabu vya Agano Jipya hakuna neno "msalaba" kwa lugha ya Kigiriki isipokuwa lipo neno "nguzo". Waliotafsiri badala ya kuandika nguzo, wao wakaandika "msalaba".
Neno linalopatikana kwenye hizo manuscript ni "Stauros". Neno hili ni la Kigiriki likimaanisha "pole" or "stake" kwa Kiingereza au "nguzo" kwa Kiswahili.
Hata neno "kusulubishwa" lilitafsiriwa kimakosa pia. Kusulubiwa Kigiriki iliandikwa "sustauroo" na maana yake halisi ni "to impale" kwa Kiingereza au "kutundika mtini" kwa Kiswahili.
Hivyo kwa tafsiri sahihi na ya UKWELI, ni kwamba BWANA YESU alitundikwa mtini na siyo alisulubishwa msalabani.
Kuna udanganyifu mkubwa sana uliofanywa kwenye Biblia na wahuni wachache kwa lengo la kuwapotosha Wanadamu wasiojishughulisha kuitafuta KWELI ya MUNGU. Udanganyifu huo ni mbinu ya Shetani kuwafanya wanadamu waabudu "msalaba" ambao ni alama yake Ibilisi.
Wengi wenu mtanibishia sababu hamijui KWELI na hii KWELI imefichwa hata mkiambiwa hamwezi kuamini. Lakini wale wachache wanoijiua KWELI wanaelewa ninachokisema.
Kitendo cha YESU kutundikwa "mtini" kilikuwa kinaakisi kile kitendo cha Musa kumtundika "mtini" yule nyoka wa shaba. Musa hakutumia "msalaba" kumtundika yule nyoka bali alitumia "nguzo ya mti". Hebu soma hapa:
8 The Lord said to Moses, “Make a snake and put it up on a pole;(A) anyone who is bitten can look at it and live.” 9 So Moses made a bronze snake(B) and put it up on a pole. Then when anyone was bitten by a snake and looked at the bronze snake, they lived.(C)
Kwa Kiswahili:
"Bwana akamwambia Musa, jifanyie nyoka ya shaba ukaiweke juu ya mti, na itakuwa kila mtu aliyeumwa aitazamapo ataishi. Musa akafanya nyoka ya shaba, akaiweka juu ya mti, hata ikiwa nyoka amemwuma mtu, alipoitazama ile nyoka ya shaba akaishi". Hesabu 21:8-9
Sasa hapo juu utaona neno lililotumika kwa Kiingereza ni "pole" (mti au nguzo) na siyo "cross" (msalaba).
Soma Matendo ya Mitume 5:30..
"MUNGU wa baba zetu alimfufua YESU ambaye ninyi mlimwua mkimtundika katika mti".
Hapa tunaona Mtume Petro anakiri wazi kabisa kuwa YESU alitundikwa kwenye "mti". Tena ukiendelea kusoma mstari wa 32, (Matendo 5:32) utaona Petro anasema yeye na Mitume wenzake ni mashahidi wa yaliyotokea. Yaani ni mashahidi kwamba walimwona YESU akitundikwa kwenye "mti" na siyo "msalabani".
Msalaba asili yake ni "upagani". Misalaba ilianza kutumiwa na wapagani wa kale tokea enzi za Tamuz kabla hata ya Israeli kuwa taifa.
MUNGU hafungamani na kitu chochote kile cha "upagani" wala MUNGU hawezi kamwe kumuunganisha Mwanae na mambo ya kipagani. Soma 2Wakorintho 6:15-16.
[emoji1787][emoji1787]Je kama ni "Jumlisha"? Kipi kimefanya useme ni msalaba?
Tuseme amenAnaamini kwa kupigwa kwake sisi tumeokolewa
Sina muda wa kubishana na watu wasiotaka kushughulisha akili zaoNimekuuliza swali wewe moja unaniletea mashairi sijui ya gazeti gani.
Nini kinayapa ujasiri na ukweli maneno yako mpaka sisi tuyaamini?
Kwanini tuamini maneno yako?
Jibu kinagaubaga usilete viroja na maneno meeengi yaliyojaa mambo ya kutungwa tu
Amini nakwambia kilichoandikwa kwenye Biblia ile original kilikuwa sahihi kabisa, lakini waliofanya "tafsiri" (translation) ndiyo waliopotosha maana halisi.Unataka kutuambia kwenye biblia kuna mkono wa shetani ?, what a ridiculous comment !! Kama ni hivyo hakuna maana ya kuiita biblia kuwa ni takatifu ili Hali shetani ashaichezea tayar
Mkuu acha kudanganya watu.Unaelewa msalaba ni nini?
Je, unajua kuwa asili ya msalaba siyo "Ukristo??"
Je, unajua kuwa YESU KRISTO hakubeba msalaba (+) bali alibeba nguzo (I)?
Je, unajua kuwa kanisa la KWELI la MUNGU halitumii "msalaba" maana asili ya msalaba (+) ni upagani?
Ukijua hayo hutaona ajabu kwa Diamond Platinumz kuvaa msalaba.
Maneno yangu ni ukweli mtupu. Nimekwambia Agano Jipya liliandikwa kwa lugha ya Kigiriki cha kale kinachoitwa Koine Greece. Katika maandiko yale original ya Agano Jipya hakuna neno msalaba bali neno lililotafsiriwa kama msalaba ni Stauros na neno hili linamaana ya nguzo na siyo msalaba.Nini kinayapa ujasiri na ukweli maneno yako mpaka sisi tuyaamini?
Kwanini tuamini maneno yako?
Yeye si muislamuMasheikh, Masharif, Maustadh naombeni mje mtujuze, je kiutaratibu inakuaje pale muislam anapovaa msalaba? Au ni pambo tu halina ubaya?
Maana naona Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amekuwa na utaratibu wa kuvaa msalaba siku za karibuni ilhali yeye ni muislam.
View attachment 1851816
Thibitisha uongo wangu.Mkuu acha kudanganya watu.
Sasa kuna haja gani kutumia kitu ambacho kimechezewa na shetani , kama kina mkono wa shetani hakifai kuitwa kitakatifu na hakiaminiki tena, mkuu mbna umeandika ujinga Sana aisee , Biblia ni takatifu , changamoto ni tafsri basi , na anayetafsir maandiko Kwa usahihi ni roho matakatifu Kwa njia ya maombi na kujinyeyekeza , tofaut na hapo utaishia kujitafasria na kujiwekea conclusion wewe mwenyewe, Biblia inasimama Kwa ukamilifu wake na inajitosheleza Kwa mahitaj ya binadamu , hakuna ujinga wwte shetani ashawahi kuingiza kwenye maandiko matakatifu ili kupotosha na hawezi....Issue ya msalaba na mtini hzo ni tafsiri , na hyo ipo pote , maandiko ya Kwanza kabisa yalijitosheleza Kwa lugha yake , tafsir kutoa lugha original kuja kingereza kuna ufanisi fulan ulipungua, kutoka kingereza kuja Kiswahili na other local language pia kuna ufanisi ulipungua na hzo ni changamoto za lugha ya kibinadamu , ugumu ambao hata Yohana aliupata kipind anaandika kitabu cha Ufunuo , Mbali na changamoto hzo bado maandiko yanabaki kuwa matakatifu ...!!!Amini nakwambia kilichoandikwa kwenye Biblia ile original kilikuwa sahihi kabisa, lakini waliofanya "tafsiri" (translation) ndiyo waliopotosha maana halisi.
Lakini hawakuweza kupotosha kila neno na ndiyo maana leo hii wapo watu wachache wanaoujua UKWELI. Wengi wenu mpo "gizani".
Na ni kweli wala usishangae, Shetani ameweka mkono wake kwenye Biblia. Ndiyo maana kwenye Biblia kuna mstari unasema hivi:
"jaribuni mambo yote, lishikeni lililo jema na jitengeni na ubaya wa kila namna". 1Wathesalonike 5:21-22
Kama Biblia ingekuwa haijachezewa na Shetani basi Paulo asingesema, "jaribuni mambo yote, lishikeni lililo jema".
Usidanganyike, YESU KRISTO hakubeba "msalaba" bali alibeba "nguzo" na alitundikwa juu ya nguzo na siyo msalaba kama ulivyoaminishwa.
Jamaa anapotosha Sana aiseeMkuu acha kudanganya watu.
Hiyo ni point moja, ya pili ni kwamba anajua ni wapi shetani kachakachua wapi kaacha?Unataka kutuambia kwenye biblia kuna mkono wa shetani ?, what a ridiculous comment !! Kama ni hivyo hakuna maana ya kuiita biblia kuwa ni takatifu ili Hali shetani ashaichezea tayar
Huo ni uamuzi wakeMasheikh, Masharif, Maustadh naombeni mje mtujuze, je kiutaratibu inakuaje pale muislam anapovaa msalaba? Au ni pambo tu halina ubaya?
Maana naona Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amekuwa na utaratibu wa kuvaa msalaba siku za karibuni ilhali yeye ni muislam.
View attachment 1851816
Unachotuambia ni kwamba Yesu hakutundikwa msalabani? Haya hebu tutoe neno msalaba kwenye hii verse, tuweke neno mti au nguzo halafu useme inaleta maana gani..Thibitisha uongo wangu.
Unaelewa msalaba ni nini?
Je, unajua kuwa asili ya msalaba siyo "Ukristo??"
Je, unajua kuwa YESU KRISTO hakubeba msalaba (+) bali alibeba nguzo (I)?
Je, unajua kuwa kanisa la KWELI la MUNGU halitumii "msalaba" maana asili ya msalaba (+) ni upagani?
Ukijua hayo hutaona ajabu kwa Diamond Platinumz kuvaa msalaba.
Sio huna muda, ni huna uhakika na maneno unayotuletea humu.Sina muda wa kubishana na watu wasiotaka kushughulisha akili zao
Jibu mujarabu.Asante
You're so brainwashed na unashindwa kutumia commonsense, yaani yale uliyokaririshwa unadhani wote humu JF wako kama wewe.Amini nakwambia kilichoandikwa kwenye Biblia ile original kilikuwa sahihi kabisa, lakini waliofanya "tafsiri" (translation) ndiyo waliopotosha maana halisi.
Lakini hawakuweza kupotosha kila neno na ndiyo maana leo hii wapo watu wachache wanaoujua UKWELI. Wengi wenu mpo "gizani".
Na ni kweli wala usishangae, Shetani ameweka mkono wake kwenye Biblia. Ndiyo maana kwenye Biblia kuna mstari unasema hivi:
"jaribuni mambo yote, lishikeni lililo jema na jitengeni na ubaya wa kila namna". 1Wathesalonike 5:21-22
Kama Biblia ingekuwa haijachezewa na Shetani basi Paulo asingesema, "jaribuni mambo yote, lishikeni lililo jema".
Usidanganyike, YESU KRISTO hakubeba "msalaba" bali alibeba "nguzo" na alitundikwa juu ya nguzo na siyo msalaba kama ulivyoaminishwa.