Kwanini Dhamana zinakua kubwa sana?

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,495
2,251
Jamani najua watanzania tuna hasira, lakini je kumwekea mtu dhamana ya 50 Billion ni haki kweli?
Tukumbuke kuwa kisheria mtu yuko innocent until proven guilty.
Sasa ukimwekea mtu bail ya 50 Billion si unakua umemnyima haki au?

Hawa watuhumiwa hawasababishi hatari yoyote kwa jamii, na kukimbia sio rahisi kwa vile wanaikabidhi mahakama vitambulisho, sasa kuna motivation gani ya kujaribu kuwabana watu hao wabaki jela ambao kisheria hawajakutwa na hatia?

Angalieni hata Bernard Madoff anayetuhumiwa kuiba zaidi ya 50 Billion dollars, bail yake ni $10 million Only! Tena ukitumia bailbondsman unalipa just 10% of your bail! Meaning that Madoff could be out on as little as $1 Million dollars.
 
Back
Top Bottom