tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,307
- 4,585
Nimekuwa nikitumia usafiri wa taksi kwa kipindi kirefu sasa.
Jambo nililojifunza ni madereva taksi wengi wazee ni wasumbufu. Wana tabia ya kutaja bei kubwa zaidi. Hawapendi kurudisha chenji. Ni rahisi sana kubadirisha bei kwa sababu za kipuuzi kama wakiona wamebanwa kwenye foleni kubwa n.k.
Siku hizi huwa sichukui taksi inayoendeshwa na mzee.