Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,010
kwanini hawa mabingwa wa burudani hawana kipindi cha rock? ukizingatia rock unaweza kuwa mziki unaoongoza kwa kupendwa duniani. ukiangalia mauzo na grammy awards huu mziki unaongoza. najua watanzania wengi hawapendi basi wawe hata na saa moja kwwa wiki.
tunategemea nyie kama waandishi wa habari mtujuze na yanayoendelea na nje ya nchi sio kila siku wakina mavoko. mbona sport extra hutangaza habari NBA japo ni watanzania wachache wanapenda kikapu. kuweni internationa walau kidogo.