Kwanini Christiano Ronaldo hashtakiwi kwa Sheria za kiislamu huko Saudi Arabia?

Kwanini Christiano Ronaldo hashtakiwi kwa Sheria za kiislamu huko Saudi Arabia?

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,434
Reaction score
17,861
Saudi Arabia ni nchi ambayo inaongozwa kwa sheria ya dini ya Kiislamu yaani Sharia.

Tena ukiwa Saudi Arabia ni kosa kubwa kuishi na mwanamke ambaye haujamuoa.

Lakini Cristiano Ronaldo anaishi na Georgina ambaye hajamuoa na hakamatwi wala kushitakiwa.

Contradiction...
FB_IMG_1738763921032.jpg
 
Uislam labda umebaki bongo tu labda na kwa wataleban. Huko kwingine wanaishi kama ulaya tu. Huu mpira ndio unatumika kuumaliza uislam hasa huko ulikotokea. Wanapelekewa world cup, olimpiki, kriketi na michezo mingine waachane na uislam. Nashangaa mbongo anang'ang'ana kukumbatia utamaduni wa kigeni ambao wenyewe wanautupilia mbali. Kama ni maadili hata bongo kuna maadili tangu zama za kale hakuna haja ya kukumbatia tamaduni za kiislam wakati wenye uislam wanaachana nao
 
Saudi Arabia ni nchi ambayo inaongozwa kwa sheria ya dini ya Kiislamu yaani Sharia.

Tena ukiwa Saudi Arabia ni kosa kubwa kuishi na mwanamke ambaye haujamuoa.

Lakini Cristiano Ronaldo anaishi na Georgina ambaye hajamuoa na hakamatwi wala kushitakiwa.

Contradiction...
View attachment 3226175
We unajuaje Kama anaishinae
 
Tunasubiri wanzishe ligi ya mpira wa wanawake:
Tuone kama watacheza na Majuba:
 
unadhani wenye hela hizo sharia uchwara zinawahusu, yaani umevimbiwa magimbi yako ya handeni huko unataka watu wenye hela waishi kama wewe thubutuuuuuuuuuuuuuuuu hata bongo hapo wenye hela sio wenzio anamzaba makofi polisi na anasepa vile vile bila kesi. we siuliona ile clip polisi anajipendekeza kusimamisha gari ya maana jamaa kasepa sasa ingekua wewe na ki ist chake.
 
Back
Top Bottom