Kwanini China inapendwa na Marais wa Afrika?

Kwanini China inapendwa na Marais wa Afrika?

Mikopo ya China haina ufuatiliaji kwani wao wanajua pa kuja kuwashikia (mrejesho na riba) hata mkigawana haiwahusu.
Mikopo ya wazungu hupenda pia kujua inatumikaje (kitu ambacho hakipendwi sana na 'wakopaji')
Mchina hata usipomlipa anajilipa kupitia kuuza bidhaa zake Afrika mfano check pikipiki,malori na mabus ya kichina yanavyouzika afrika unaijua ngapi wanaingiza.
Pia machinga wote, bodaboda wote afrika nzima Hawa ni madalali wa viwanda vya china kwa maana utumika kuuza bidhaa zote utoka china sababu mchina katengeneza bidhaa kulingana na kipato cha mwafrika,KILA nyumba afrika Ina kifaa cha mchina si tv, sabwoofer,simu,torch,radio,solar,vikombe,sahani,nk
 
China ndie mkoloni mpya wa Afrika,
Tungekuwa na watawala wanaojali maisha yetu wangewatumia wachina kuindeleza afrika kupitia technology
 
Mchina ni selfish sana; nina jirani yangu mchina hapa najuta ana sifa zote mbaya..hawa ni watu wa hovyo mno!!
 
Mnapozungumzia kitu kama hiki muwe kidogo mnajuwa nawaya za kichina. Wachina katika mikataba yao hawana weaknesses ya lugha.

Wanaandika simple language na vizingiti waziwazi muhimu wao ikiwa project yako billion moja wanakula 2 halafu sasa angalia balaa inayokuja utalipa mpaka akhera.
 
Pamoja na nchi za Afrika kutaka kujitegemea ila viongozi wake wamekuwa wepesi sana kutaka sifa za kijinga kwa kununua au kukopeshwa fedha kupitia miradi ambayo hugeuka mzigo kwa wananchi.

Mikataba ya China hufanywa siri kubwa wakati miradi inaanza ila unapofika muda wakuilipa ndipo mijadala uibuka kutoka kona mbalimbali kuhusu kitanzi watawala walivyotuvisha.

Je, nani anawadanganya viongozi wa Afrika kwamba kutengeneza madeni yasiyo na tija kutainufaisha nchi siku za mbeleni?

Natamani viongozi wetu wawe na:

1. Vipaumbele
2. Wawazi kwa wananchi
3. Hofu ya Mungu hasa kuhusu kudanganya waliowapa kura
4. Waadilifu
5. Wakubali kushtakiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi
Kwanini America anaichukia China mpaka wanafungia kampuni zao na kuzuia tecnolojia zao wasiuze kwenye mataifa mengine huku wakinishinikiza nchi zitakazo nunua 5g ya china wataiwekea vikwazo vya kiuchumi?
 
Wanaipenda China kwasababu haihoji ushenzi wa kiutawala wanaoufanya katika nchi zao kuua wapinzani, kuwafunga jela na kuiba kura haina noma kwa mchina. Jambo la muhimu ni rasilimali zenu, full stop!
Nyie wananchi ambao ndio wahusika mpo wapo hadi wao ndio wawahojie?
 
Mikopo ya China haina ufuatiliaji kwani wao wanajua pa kuja kuwashikia (mrejesho na riba) hata mkigawana haiwahusu.
Mikopo ya wazungu hupenda pia kujua inatumikaje (kitu ambacho hakipendwi sana na 'wakopaji')
Sasa kipi bora?
 
Pamoja na nchi za Afrika kutaka kujitegemea ila viongozi wake wamekuwa wepesi sana kutaka sifa za kijinga kwa kununua au kukopeshwa fedha kupitia miradi ambayo hugeuka mzigo kwa wananchi.

Mikataba ya China hufanywa siri kubwa wakati miradi inaanza ila unapofika muda wakuilipa ndipo mijadala uibuka kutoka kona mbalimbali kuhusu kitanzi watawala walivyotuvisha.

Je, nani anawadanganya viongozi wa Afrika kwamba kutengeneza madeni yasiyo na tija kutainufaisha nchi siku za mbeleni?

Natamani viongozi wetu wawe na:

1. Vipaumbele
2. Wawazi kwa wananchi
3. Hofu ya Mungu hasa kuhusu kudanganya waliowapa kura
4. Waadilifu
5. Wakubali kushtakiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi
Pamoja na kichwa cha habari ni tofauti kidogo na maudhui uliyotoa, viongozi wa Afrika wanawapenda wa-China kwa sababu ukoministi ni udictator. Na viongozi wengi wa Afrika wanaendana na sifa hiyo - madictator.
 
Back
Top Bottom