Vyovyote vileHuo msiba unakuwa umefiwa wewe au wa kwa jirani?
Hatakama unakuhusu ni mtamu tuWali wa msiba mtamu balaa kama msiba haukuhusu
Nikitamu wa walozi tu asa msiba ukiwa unakuhusu uo muda wa kuhisi radha ya chakula unaipata wapiHizi ni baadhi ya SABABU ila inayoshinda na isiyo na shaka ni MOJA.
SABABU.
unakuwa na njaa sana kabla ya kula ukizingatia chakula Cha MSIBANI uchelewa kuliwa, mnaweza kula saa 9, 10, WENGINE ni BAADA au kabla ya mazishi.
Chakula cha msibani huandaliwa kwa juhudi kubwa na wapishi wengi japo Huwa halina vionjo vingi mafuta mengi KWENYE wali ufanya KUWA na wali mkavu YAANI unakaba Koo na unatakiwa KUWA na maji pembeni hii inaongeza hamu.
Watu hula kwa pamoja hivyo mazingira yanaweza kufanya chakula kionekane kitamu zaidi.
Misiba mingin tunakula Kwa mikono, Kula kwa mkono pia kunaweza kuongeza hisia ya ladha kwa baadhi ya watu kuliko kutumia kijiko
SABABU KUBWA INAYOUPA PROMO WALI WA MSIBANI NI NJAA INAYOTUKUMBA HASA WENGI TUKIWA KATIKA PURUKUSHANI ZA HAPA NA PALE MARA FATA HIKI MARA NENDA HOSPITALI MARA SIMAMA JUANI MPAKA BAS
Ila waja...Huwa wanapikia/kuchanganya na maji ya maiti.. Hii ni mjawapo ya kutoa nuksi ili msiba mwingine usitokee siku za karibuni katika nyumba moja
HehHuwa wanapikia/kuchanganya na maji ya maiti.. Hii ni mjawapo ya kutoa nuksi ili msiba mwingine usitokee siku za karibuni katika nyumba moja
Hapana chakula ni kitamu TU SABABU HATA ukiona kichungu UNAKUWA unajidanganyaKama umefiwa wewe na mtu wako wa karibu huwezi kuona chakula kitamu,utakula kwa kujilazimisha tu.
Ndio maana wakiitwa wageni kutoka dasilamu nami naungaš«”Kwetu wanakula wageni kutoka mbali tu, nyie wengine mje mmekula makwenu, hamtaki mnaweza msije tu hakuna kitakacho haribika
Wageni wa daslamu wanajulikana shindii , nikikuona nakugombeza kwa nguvušNdio maana wakiitwa wageni kutoka dasilamu nami naungaš«”