Kwanini chakula Cha MSIBANI ni kitamu?

Kwanini chakula Cha MSIBANI ni kitamu?

Mk

MKuu ngoja siku tukija kwako kwenye msiba wa first born wako ndio tutajadili hili.

Tutaomba utueleze kama ubwabwa wa hapo nyumbani kwako ni mtamu
Unakosaje utamu Sasa wakati chumvi imo
 
Usiombe viwe vinakuhusu kwa asilimia 100.. Mimi siku moja nzima na nusu hamna kitu kilikuwa kinapita kooni zaidi ya maji
Acha masikhara OP 😁😁
 
Back
Top Bottom