Hizi ni baadhi ya SABABU ila inayoshinda na isiyo na shaka ni MOJA.
SABABU.
unakuwa na njaa sana kabla ya kula ukizingatia chakula Cha MSIBANI uchelewa kuliwa, mnaweza kula saa 9, 10, WENGINE ni BAADA au kabla ya mazishi.
Chakula cha msibani huandaliwa kwa juhudi kubwa na wapishi wengi japo Huwa halina vionjo vingi mafuta mengi KWENYE wali ufanya KUWA na wali mkavu YAANI unakaba Koo na unatakiwa KUWA na maji pembeni hii inaongeza hamu.
Watu hula kwa pamoja hivyo mazingira yanaweza kufanya chakula kionekane kitamu zaidi.
Misiba mingin tunakula Kwa mikono, Kula kwa mkono pia kunaweza kuongeza hisia ya ladha kwa baadhi ya watu kuliko kutumia kijiko
SABABU KUBWA INAYOUPA PROMO WALI WA MSIBANI NI NJAA INAYOTUKUMBA HASA WENGI TUKIWA KATIKA PURUKUSHANI ZA HAPA NA PALE MARA FATA HIKI MARA NENDA HOSPITALI MARA SIMAMA JUANI MPAKA BAS