The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,231
- 11,528
Wanafiki kweli nyie..Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi.
Absolutely, Yes...Je, Lisu ana thamani hiyo?
Mpaka hapa uko sahihi kabisa...Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?
Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.
Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?
Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
kwa upende mmoja ni sawa .kwa upande mwingine siyo kweli .sema hatuna uhuru wa kuongea.kuna mambo ukiyasikia unasikia hasira .Ccm Ni chama changu lakini kuziba masikio kutaigharimu sana labda tukatae katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.lakini niwape tahadhari tu tukiendelea kutetea uovu ,uovu huo hautatusaidia.Hakuna mwenye uwezo juu ya roho aizuie roho; Wala hana mamlaka juu ya siku ya kufa; Wala hakuna kuponyoka katika vita vile; Wala uovu hautamwokoa yule aliyeuzoea. Mambo hayo yote nimeyaona, nikatia moyo wangu katika kila kazi iliyofanyika chini ya jua(mithali 8:8-14)Kunyimwa misaada hakuwaumizi wananchi kwa sababu haiwasaidii. Ingekuwa inawasaidia wasingekuwa wanapiga kelele za kukosa maji safi ya kunywa au dawa hospitalini. Inawaumiza viongozi kwasababu hela za kuiba zinapungua.
Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?
Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.
Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?
Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?
Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.
Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?
Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
Wauaji watambue Tz nisehemu ya dunia na sii pori wanaloishi mafisi pekeeTanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?
Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.
Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?
Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
Madilu kasema ni uzamaniTanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?
Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.
Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?
Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
Kwa sababu inatumika kupoteza wapendwa waoTanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?
Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.
Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?
Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
CCM -DOLA NA CHADEMA- WANANCHI VINAPAMBANA NA KUIPASUA NCHI
wanalipa watu wakaandamane.Chadema hakuna chawa kwa sababu Chadema hailipi watu hela bali wanachadema ndiyo wanaichangia Chadema yao. CCM kuna hela ya bure bure ndiyo maana kuna chawa.
Nani chadema ana hadhi ya kuwa Rais wa nchi, Lissu, Heche, Mnyika< Nshala au wanasubiri atoke CCM kama wanavyofanyaga?Heche piga Hawa nguruwe wa kizimkazi bado wanatoa vichwa mapangoni.
Huna data hata kidogo. Misaada ndiyo ilifanikisha kupatikana dawa za ukimwi, chanjo, reli, baadhi ya vifaa tiba, majengo ya shule, zahanati, mafunzo ya wataalam mbalimbali na hata vifaa yva ulinzi. Wewe unaposhadidia nchi kunyimwa misaada maana yake hupaswi kuwa miongoni mwetu hata kidogo. Misaada hii mingi inatokana na rasilimali zetu walizotuibia na wanazotuibia na wanazotudhulumu hata sasa, kupiga debe isiletwe ni kutokosea watanzania wote.Unajua ni kiasi gani cha misaada huwa kinapotea kwenye mianya ya rushwa na miradi isiyo na tija?
Mnataka misaada tena kwa hao wazungu wakati mnahadaa umma kila siku kuwa tuna raslimali kibao hado hao wazungu wanatuonea wivu? Au mnajicontradict na kila mnachosema kila siku majukwaani? Mnpora uchaguzi hadi kufanya mauaji, kumbe uwezo wa kuongoza hamna ila mnategemea misaada ya wanaotuonea wivu kwa raslimali tulizo nazo.Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?
Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.
Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?
Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
Hicho kilevi unachotumia kiache mkuu, unapwaya, andiko lako hili siyo mikato yako kabisa.wanalipa watu wakaandamane.
Eti tuandamane sisi Tundu Lissu atoke jela!! wanatuona sisi maboya. Yaani tumtoe Lissu tu wakati huko jela kuna watu wengine pia ambao walisingiziwa kesi, mbona hawasemi lolote kuhusu wafungwa wengine wa aina hiyo watoke pia?
IWatoto wao wako Ulaya wanakula bata eti sisi ndio tukaandamane tumtoe Lisu bila watoto wao kuweko mstari wa mbele kwenye maandamano, nyeti zao hazina akili.
Hawa jamaa wanatoa mifano ya serikali zilizoangushwa kama Somalia, Sudani, Iraq, Libya... lakini hawasemi baada ya serikali hizo kuangushwa nini kilitokea maisha ya wananchi yaliboreka au yalididimia. Wanadhani sisi hatujui dunia anakwendaje.
Haujui kusoma kwa ufahamu? Au haujaelewa swali?Huna data hata kidogo. Misaada ndiyo ilifanikisha kupatikana dawa za ukimwi, chanjo, reli, baadhi ya vifaa tiba, majengo ya shule, zahanati, mafunzo ya wataalam mbalimbali na hata vifaa yva ulinzi. Wewe unaposhadidia nchi kunyimwa misaada maana yake hupaswi kuwa miongoni mwetu hata kidogo. Misaada hii mingi inatokana na rasilimali zetu walizotuibia na wanazotuibia na wanazotudhulumu hata sasa, kupiga debe isiletwe ni kutokosea watanzania wote.