Kwanini CHADEMA wanashikwa na Askari, wanamlaumu Rais?

Kwanini CHADEMA wanashikwa na Askari, wanamlaumu Rais?

Kwani hukuwahi kumsikia Mkulu alipomsifu Spika Ndugai kwa kazi 'nzuri' anayofanya ya kuwatimua wabunge wa upinzani Bungeni na kumwambia kuwa atakapomaliza 'assignment' ya kuwatimua Bungeni naye atawashughulikia huku uraiani?

Baada ya siku chache baada ya kauli hiyo si ndiyo tukasikia kukamatwa kwa Halima Mdee na kuwekwa korokoloni?

Katika mazingira hayo kwanini tusiamini kuwa DC wa Kinondoni alitoa kauli ya kukamatwa kwa Halima Mdee kwa 'agizo' toka kwa Mkuu wa nchi mwenyewe?
 
Kichwa cha serikali ni huyo unayempenda sana. Maelekezo yote ya nchi iendeje hutegemea na yeye.

Akina Bokassa, Mobutu, Dada Amin, Smith, Hitler etc waliwahi kuishi na wakafikiri wao ndiyo mwisho wa kila kitu. Lakini leo hawapo na history inawahukumu. Kadhalika na huyu mtesi wa Chadema hatasalimika kwa njia anayoipita. Safari moja huanzisha nyingine

Cairo's
Endelea kijidanganya

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Inakuwaje wanawavuka woote kuanzia Mkuu wa Polisi (Wilaya, Mkoa, Taifa) , Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri na kumlaumu Raisi wa nchi?

Chadema hata akishikwa na Trafiki na kupigwa faini, anamlaumu Raisi wa nchi!

Mbona Mbowe halaumiwi kwa matendo ya Tundu Lisu, Lema, Sugu &Co.? , ...
Kwa sababu Rais aka Mwenyekiti wako ndoye anayewatuma Wakuu wa Wilaya,Mikoa na Polisi aka Amri kutoka juu.

Pole kamlaumu Mwenyekiti wako wa Chama Cha Makinikia.Aibu tupu.Mlidhani uongozi ni sawa na kunywa?
 
Kwani hujui Hao polis wanatumwa na nani? Usiwe masikini wa kufikiri

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Inakuwaje wanawavuka woote kuanzia Mkuu wa Polisi (Wilaya, Mkoa, Taifa) , Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri na kumlaumu Raisi wa nchi?

Chadema hata akishikwa na Trafiki na kupigwa faini, anamlaumu Raisi wa nchi!

Mbona Mbowe halaumiwi kwa matendo ya Tundu Lisu, Lema, Sugu &Co.? , ...
Unauliza maswali ya kipuuzi kama mlevi. Kwani hao wakamataji wameajiriwa na nani? Wanafuata maelekezo ya nani?

Sent from Kolomoje
 
Inakuwaje wanawavuka woote kuanzia Mkuu wa Polisi (Wilaya, Mkoa, Taifa) , Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri na kumlaumu Raisi wa nchi?

Chadema hata akishikwa na Trafiki na kupigwa faini, anamlaumu Raisi wa nchi!

Mbona Mbowe halaumiwi kwa matendo ya Tundu Lisu, Lema, Sugu &Co.? , ...

kwa sababu Rais ndiye amiri jeshi Mkuu, lakini pia ni dikteta uchwara. jibu lake ni fupi kama hivyo
 
Inakuwaje wanawavuka woote kuanzia Mkuu wa Polisi (Wilaya, Mkoa, Taifa) , Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri na kumlaumu Raisi wa nchi?

Chadema hata akishikwa na Trafiki na kupigwa faini, anamlaumu Raisi wa nchi!

Mbona Mbowe halaumiwi kwa matendo ya Wafanyakazi wake akinaTundu Lisu, Lema, Sugu &Co.? , ...
Hujui hata nani amiri jeshi mkuu,ndio maana mkapa akawaita malofa,uwe unauliza kabla hujapost.
 
Ana roho mbaya anaumwa nchi vipande na majibu yake atayaona
 
Hivi ni kwa nini mtu anakuwa anaharisha halafu anaanzisha uzi? Pathetic!

Sent from my Siemens c35 dole-gumba using JamiiForums app.
 
Inakuwaje wanawavuka woote kuanzia Mkuu wa Polisi (Wilaya, Mkoa, Taifa) , Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri na kumlaumu Raisi wa nchi?

Chadema hata akishikwa na Trafiki na kupigwa faini, anamlaumu Raisi wa nchi!

Mbona Mbowe halaumiwi kwa matendo ya Wafanyakazi wake akinaTundu Lisu, Lema, Sugu &Co.? , ...
waaposa maagizo kutoka juu, wanamaanisha nini

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
Inakuwaje wanawavuka woote kuanzia Mkuu wa Polisi (Wilaya, Mkoa, Taifa) , Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri na kumlaumu Raisi wa nchi?

Chadema hata akishikwa na Trafiki na kupigwa faini, anamlaumu Raisi wa nchi!

Mbona Mbowe halaumiwi kwa matendo ya Wafanyakazi wake akinaTundu Lisu, Lema, Sugu &Co.? , ...
ni kutokana na kauli za rais mwenyewe kuwatuma polisi wawashughulikie

Post sent using JamiiForums mobile app
 
John Magu Dada....Dikteta wa awamu hii!! Anaua uchumi na demokrasia!! Amefanya wateuliwa wake kutofikiri nje ya boz zaidi kutoa matamko wasiyoweza kutekekeza kila kukicha!!
 
Ni vile huyo dikteta alisha sema ndugai awashughurikie bungeni yeye atashughulika nao mtaani. Nchi imekua Mali ya familia kadhaa ivi
Hata CHADEMA ni Mali ya familia kwa sababu kuna mtu amesema atakuwa mgombea wa uraisi 2020 kupitia chama hicho. Tunajiuliza ni mchakato upi umetumika kumpata mgombea huyo ? Halafu mijitu ibadai demokrasia !!!! Hovyo kabisa.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
"Mimi ndie raisi sipangiwi napanga nani awe wapi nani afanye nini najiamini huu utawala wangu sio wakujaribiwi ukinijaribu oohh wai utapoteza kabisa, kamata mpk na gari lake likake lock up" baadhi ya nukuu za anaelaumiwa au huelewi bado
Mkuu akiliccm huwa wameshikiwa akili hawawezi kuyaona wala kukumbuka hayo maneno ya mkuu wetu. Hawajui nini maana ya Amri ya Amirijeshi Mkuu.
 
Maagizo kutoka juu. Sasa jiulize huko juu ni wapi
 
Tatizo linapotokea ktk familia wa kulaumiwa ni baba au mama?.Barbarosa tumia akili tu hata ufahamu wakuzaliwa.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
I wish I could be igp.
Mkuu, watu wanajisahaulisha na kujitia ubahau.
Ndio maana wakati Vyama vya Upinzani vimezuiwa siasa huku slowslow anapiga siasa na kualika wanaotoka upinzani kwenda fisiem wakiahidiwa neema na vyeo! Ninachoshangaa wengi ni wale walioitwa.... wakati wanatoka fisiem kwenda vyama vingine sijui wanapokaribishwa na kurudi wanawaitaje?!!! Maana wanawapokea kwa nderemo na vifijo majukwaani kulikokatazwa siasa!!!
TANZANIA BILA UNAFIKI INAWEZEKANA
 
Inakuwaje wanawavuka woote kuanzia Mkuu wa Polisi (Wilaya, Mkoa, Taifa) , Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri na kumlaumu Raisi wa nchi?

Chadema hata akishikwa na Trafiki na kupigwa faini, anamlaumu Raisi wa nchi!

Mbona Mbowe halaumiwi kwa matendo ya Wafanyakazi wake akinaTundu Lisu, Lema, Sugu &Co.? , ...

Rudi darasani kwanza
 
Back
Top Bottom