Kwanini CHADEMA wanashikwa na Askari, wanamlaumu Rais?

Inakuwaje wanawavuka woote kuanzia Mkuu wa Polisi (Wilaya, Mkoa, Taifa) , Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri na kumlaumu Raisi wa nchi?

Chadema hata akishikwa na Trafiki na kupigwa faini, anamlaumu Raisi wa nchi!

Mbona Mbowe halaumiwi kwa matendo ya Wafanyakazi wake akinaTundu Lisu, Lema, Sugu &Co.? , ...
Kwani kauli ya " wewe washughurikie huko bungeni mimi nitashughurika nao huku nje" unaielewaje mkuu?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Inakuwaje wanawavuka woote kuanzia Mkuu wa Polisi (Wilaya, Mkoa, Taifa) , Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri na kumlaumu Raisi wa nchi?

Chadema hata akishikwa na Trafiki na kupigwa faini, anamlaumu Raisi wa nchi!

Mbona Mbowe halaumiwi kwa matendo ya Wafanyakazi wake akinaTundu Lisu, Lema, Sugu &Co.? , ...
kwani askari ni nani sio tawi la CCM?
 
TII SHERIA BILA SHURTI. HUWEZI KUIWEKA NCHI REHANI ETI UNAGANYA SIASA, KILA KITU NA WAKATI WAKE. Mbona hatumuoni Mama Clinton akiendelea na siasa? Mbona hatumuoni Marie le Pen akitembea nchi nzima kunadi sera zake xilizoshindwa? Mbona hatuwaoni makaburu kuuza sera zao? UCHAGUZU ULISHAISHA SASA NI KAZI.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hivi hili swali limetoka kwa mtu anayefikiri sawasawa? Mkuu naomba jibu kama kweli hili kwako ni swali na huna jibu
 
Inakuwaje wanawavuka woote kuanzia Mkuu wa Polisi (Wilaya, Mkoa, Taifa) , Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri na kumlaumu Raisi wa nchi?

Chadema hata akishikwa na Trafiki na kupigwa faini, anamlaumu Raisi wa nchi!

Mbona Mbowe halaumiwi kwa matendo ya Wafanyakazi wake akinaTundu Lisu, Lema, Sugu &Co.? , ...
Mazee looks like you know nothing about what you're talking men!!!!!
Rais anatuumia VYOMBO VYA DOLA kunyanyasa Wapinzani kama hujuii! IGP na Policcm, TISS, TPDF, WAKUU Wilaya na Mikoa wote wanapokea amri toka kwa Magufuli!!
Subiri CHADEMA wachukue nchi ili na wewe uanze kulaumu!!Kutesa ni kwa zamu babuuuu!!
 
Mijitu mingne inauliza maswali Kama ipo ugaibuni.Kuvimbiwa ni kubaya sana
 
Back
Top Bottom