Kishongo
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 932
- 64
Nimejaribu kupitia katika mitandao ya mashirika maarufu ya habari kama allafrica dot com, BBC Swahili, Reuters, AP na Xinhua lakini sikupata taarifa zozote juu ya yaliyojiri bungeni jana kuhusiana na Wabunge wa Chadema kususia hotuba ya JK.
Nimebaki najiuliza je?;
1. Jambo hili halikuwa na mvuto and so it was not worth reporting?
2. Ni jambo lililozoeleka katika demokrasia za kimataifa na hivyo hakuna jipya?
3. Lilikuwa jambo la kipuuzi?
Nimebaki najiuliza je?;
1. Jambo hili halikuwa na mvuto and so it was not worth reporting?
2. Ni jambo lililozoeleka katika demokrasia za kimataifa na hivyo hakuna jipya?
3. Lilikuwa jambo la kipuuzi?