Kwanini CHADEMA inaongozwa na watu wa aina hii?

Kwanini CHADEMA inaongozwa na watu wa aina hii?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
salim.jpg
 
Wako njiani wanakuja huu ugomvi hutauweza! Cc. nifah
 
ndo maana wanakulegeza huko nyuma.
 
Makamandaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Mleta uzi, wajinga huongoza wajinga wenzao, mbona simple sana!
 
Chadema ukijua kuropoka unaitwa jembe
 
Kila mtu chadema ana akili..lakini hoja zao zote lazima zianzie na matusi.
 
Mods hivi na nyie ni chadema? Title ilisema wajinga, nyie mnasema wa namna hii. Hovyo kabisa.
 
sasa mwenyekiti wa chama ni prof jk
Mawaziri akina prof Tiba
Wanasheria wakuu kama wasomi wa havard akina Chenge na prof Muhongo

aiseee bora niongozwe na watu aina hii
 
Mods tenda haji ni bora ungeifuta kuliko ulivyoedit...sasa tutauliza kwanini mods wa jf ni wa namba hii?
 
Mleta mada inaonekana huna kaz ya kufanya,Mafugul ana kazi ngumu kubadilisha fikra na mitazamo ya watu wa dizain yako
 
Back
Top Bottom