Mramba mission yake alishaikamilisha ya maisha bora kwa warombo! Barabara nzuri, maji na shule za maana! Wakaona wampumzishe kwanzakwa hiyo kule rombo fisadi mramba sio mkristo wala mkaskazini????????
Mkuu umenena vema. Cdm haimwogopi EL hata punje, hatakiwi na watanzania wengi mimi mmoja wapo wa siomtaka kabisa. Kwanza ni mdini, atafanya ndugu zetu waislam waishi kwa shida sana kwenye nchi yetu sote. Hatutaki mdini aongoze hii nchiTumuogope kwani aliowapa sumu ni CHADEMA au magamaba menziye?......Huko ugambani kwenyewe hawamtaki sisi tumpendee nini?
barara ni makubaliano ya EAC na sio ujanja wa mrambaMramba mission yake alishaikamilisha ya maisha bora kwa warombo! Barabara nzuri, maji na shule za maana! Wakaona wampumzishe kwanza
lowassa ana ubora na mapungufu mengi ila hana hata chembe ya udini.Mkuu umenena vema. Cdm haimwogopi EL hata punje, hatakiwi na watanzania wengi mimi mmoja wapo wa siomtaka kabisa. Kwanza ni mdini, atafanya ndugu zetu waislam waishi kwa shida sana kwenye nchi yetu sote. Hatutaki mdini aongoze hii nchi
Mzito K, heshima kwako. EL si mdini, ni propaganda za JK/Misikit
Wewe unaemfahamu EL kwa kumwona kwenye tv na magazetini ndo unaweza kuongea utapia mlo kama huo, tunaomfahamu kwa kufanya nae kazi na kusiriki nae propaganda tunamwelewa. Naelewa filosofia yake na anachoamini. Nakuhakikishia Lowassa ni Mdini wa kutisha. Mimi ni Mkristo lakini simtaki huyu kwa sababu hatajenga mwafaka wa kitaifalowassa ana ubora na mapungufu mengi ila hana hata chembe ya udini.
tumuhukumu lowassa kwa makosa mengine ila hamna kosa la udini.
wewe ni kingeza wa ubongo kumhusisha lowassa na udini.
Umaarufu wa lowassa umebaki jamii forum tu ndiko angalau hata some folks wanamuongelea ongelea otherwise the guy is a dead person politicallykwanza na pia kiafya...
kumbe ndio mana watu wanasema chadema ni chama cha watu wa kaskazini,kumbe hata lowassa na yumo asante sana kwa taarifa kijana,leo umefanya kazi nzuri sana ya kuturahisishia hata sisi wachache tuliokuwa tunabisha kwamba chadema ni chama cha watu wa kaskazini tu.
Mkuu, unaweza kuuthibitisha huo udini wa Lowassa kwa sababu UDINI NI UBAGUZI. Pia mkuu, JK anampiga vita Lowassa kwa sababu JK anataka CCM wamsimamishe Mzanzibar 2015 kumbe lengo lake anataka mwislam aingie ikulu 2015! Ok, tuyaache coz hayo ni mambo ya magambani.Mkuu Mnyisansu tunakubaliana na kwenda sawa kwenye mengi ila hili la EL mkuu utanisamehe. Mimi wala sijali wizi wake kwa kuwa hakuna mwanasiasa asiye Mwizi. Mimi simtaki Lowassa kwasababu akili yake yote tangu kipindi kile anampigia chapuo Mkuwere alitumia jukwaa la dini na hata sasa ameanza kujiimarisha kupitia mlango wa dini na mbaya zaidi anaeleweka huyu bwana kuwa ni bora umsulubishe kuliko kuwasaidia waislam, ana chuki na uislam huyu mi nakwambia hafai. Tunamtaka Rais atakae balance kotekote kwa waislam na kwa wakristo
Washabiki na wanachama wengi wa CHADEMA hupata homa endapo watasikia Lowasa atashiriki kikamilifu katika ushindani wa kisiasa dhidi yao akiisimamia CCM. Hofu na homa hii ya CHADEMA dhidi ya Lowasa ya nini na inatoka wapi?
Dr Slaa aliwahi kusema EL si fisadi na hahusiki na Richmond.
Washabiki na wanachama wengi wa CHADEMA hupata homa endapo watasikia Lowasa atashiriki kikamilifu katika ushindani wa kisiasa dhidi yao akiisimamia CCM. Hofu na homa hii ya CHADEMA dhidi ya Lowasa ya nini na inatoka wapi?
Kati ya watu wanaomkubali sana Lowassa ni Dr Slaa na F.Mbowe.
Sio kama wanamuopa Lowassa, ndani ya Chadema kwenyewe kuna mapandikizi wa Lowassa.
Kisu kimegusa mfupa, mtu amehamakiWapi Lowassa aliposhiriki kikamilifu akiisimamia ccm dhidi ya cdm na cdm wakamuogopa Lowassa?me najua mfano mmoja tu Lowassa aliisimamia c.c.m dhidi ya cdm,napo ni Arusha mjini,aibu aliyoipata yeye na chama chake na mtu wake wanaijua wenyewe!toa mifano hai minne tu kusupport kauli yako,otherwise utakua empty brain,domokaya mropokaji bila kufikiri!
Kama kuna mtu hapa duniani anamuogopa Lowasa basi ni Jakaya Mrisho Kikwete, mpaka kamuundia zengwe la kutaka rais kijana.Ila nitafurahi sana siku moja nikiwaona hawa watu watu wawili JK na EL wote wakiwa wamevaa zile sare za rangi ya chungwa na vichwani wamebeba makarai ya kokoto kule gereza la maweni. Nawachukuia sana mafisadi pacha hawa,