Kwanini CHADEMA inamuogopa Lowassa?

Ili kuthibisha kuwa wewe sio mdaku, mwana mipasho, na duni wa kufikiri hebu tuwekee hapa list ya mapandikizi wa lowasa ndani ya CDM ili tuweze kuchambua profile zao na utuonyeshe matendo yao yanayowafunganisha na lowassa,otherwise as normal you remain a tabula rasa

Kwani wewe ni nani unataka nilete uthibitisho? Ulikuwa wapi kumwambia Slaa alete uthibitisho wa kontena la kura aliosema limekamatwa Tunduma.

Pro-Chadema JF 90% ni vijana wa Lowassa, pamoja na wewe ili lipo wazi wala haliitaji PhD kujua.
 
Umaarufu wa lowassa umebaki jamii forum tu ndiko angalau hata some folks wanamuongelea ongelea otherwise the guy is a dead person politicallykwanza na pia kiafya...
 
Kwani wewe ni nani unataka nilete uthibitisho? Ulikuwa wapi kumwambia Slaa alete uthibitisho wa kontena la kura aliosema limekamatwa Tunduma.

Pro-Chadema JF 90% ni vijana wa Lowassa, pamoja na wewe ili lipo wazi wala haliitaji PhD kujua.

umesema vizuri sana,vinega wengi ni watu wa lowassa kutokana na njaa ya "maendeleo" ya haraka haraka
 
Nyani haoni kundule. Ndani ya CCM je? Mbona mmeshindwa kumvua gamba?

Mnataka tumvue gamba kama nyie vinega mlivyomvua gamba CHACHA WANGWE au?sisi tuna njia zetsi lazima sana tuitumie njia yenu mliyoitumia kumvua gamba mpiganaji chacha..!
 
Kati ya watu wanaomkubali sana Lowassa ni Dr Slaa na F.Mbowe.

kumbe ndio mana watu wanasema chadema ni chama cha watu wa kaskazini,kumbe hata lowassa na yumo asante sana kwa taarifa kijana,leo umefanya kazi nzuri sana ya kuturahisishia hata sisi wachache tuliokuwa tunabisha kwamba chadema ni chama cha watu wa kaskazini tu.
 
Washabiki na wanachama wengi wa CHADEMA hupata homa endapo watasikia Lowasa atashiriki kikamilifu katika ushindani wa kisiasa dhidi yao akiisimamia CCM. Hofu na homa hii ya CHADEMA dhidi ya Lowasa ya nini na inatoka wapi?

Wewe kweli domokaya ni pumba.., Chadema hakiwezi kumogopa huyo mwizi kama CCM inavyomgwaya na kumnyenyekea (muulize Nape atakwambia).
CHADEMA ndio waliomwanika Lowasa in his true colours (refer to the list od shame), na inavyoonyesha hata wewe utakuwa either unalamba makoko au unajipendekeza kwa Freddy.
Your words are full of bull waste.
 
kumbe ndio mana watu wanasema chadema ni chama cha watu wa kaskazini,kumbe hata lowassa na yumo asante sana kwa taarifa kijana,leo umefanya kazi nzuri sana ya kuturahisishia hata sisi wachache tuliokuwa tunabisha kwamba chadema ni chama cha watu wa kaskazini tu.

Dogo unatapatapa sana. ila huoni aibu kutumia jina la kike?
bahati mbaya huna effects ila ningekuvua nguo humu jukwaani
 
Mnataka tumvue gamba kama nyie vinega mlivyomvua gamba CHACHA WANGWE au?sisi tuna njia zetsi lazima sana tuitumie njia yenu mliyoitumia kumvua gamba mpiganaji chacha..!
teh teh teh Huu utapia mlo umeuleta hapa sababu ya kukosa uongozi BAVICHA?
 
Washabiki na wanachama wengi wa CHADEMA hupata homa endapo watasikia Lowasa atashiriki kikamilifu katika ushindani wa kisiasa dhidi yao akiisimamia CCM. Hofu na homa hii ya CHADEMA dhidi ya Lowasa ya nini na inatoka wapi?

Yote dugu moja - - - CHURCH
 
Washabiki na wanachama wengi wa CHADEMA hupata homa endapo watasikia Lowasa atashiriki kikamilifu katika ushindani wa kisiasa dhidi yao akiisimamia CCM. Hofu na homa hii ya CHADEMA dhidi ya Lowasa ya nini na inatoka wapi?

NIMETAFAKARI SANA AKILI ZA WANACCM WENGI HUMU NIMEGUNDUA WENGI NI WAGONJWA WA AFYA YA AKILI............

424292_315304031852440_100001185365487_797072_171167907_n.jpg
 
Toka lini wakristo, wakaskazini, wakapingana? Hebu acheni kutugomanisha!!!!
 
EL anaweza kuwa mgombea urais kupitia chadema 2015,subiri wazee waseme

namwonea huruma JK na mafisadi wenzake

Mkuu Waberoya,
Nafikiri EL atagombea urais 2015 kupitia CCM. Namuonea huruma sana JK maana EL ana nguvu sana ndani ya chama, sioni namna gani wanaweza kumtosa!
 
Tumuogope kwani aliowapa sumu ni CHADEMA au magamaba menziye?......Huko ugambani kwenyewe hawamtaki sisi tumpendee nini?
 
Back
Top Bottom