Kwanini CHADEMA inamuogopa Lowassa?

Wapi Lowassa aliposhiriki kikamilifu akiisimamia ccm dhidi ya cdm na cdm wakamuogopa Lowassa?me najua mfano mmoja tu Lowassa aliisimamia c.c.m dhidi ya cdm,napo ni Arusha mjini,aibu aliyoipata yeye na chama chake na mtu wake wanaijua wenyewe!toa mifano hai minne tu kusupport kauli yako,otherwise utakua empty brain,domokaya mropokaji bila kufikiri!

hapo arusha alisimama kwa mguu mmoja coz hata yeye alikua na mchakato kwake
 
Washabiki na wanachama wengi wa CHADEMA hupata homa endapo watasikia Lowasa atashiriki kikamilifu katika ushindani wa kisiasa dhidi yao akiisimamia CCM. Hofu na homa hii ya CHADEMA dhidi ya Lowasa ya nini na inatoka wapi?
Sio kuwa CDM wanapata homa kuhusu huyo jamaa. Ninachokiona ni CCM ndo wanapata homa kuona kuwa mtu wanaejitahidi kumchafua usiku na mchana anawazidi nguvu na hawana cha kumfanya zaidi ya kuacha apeperushe bendera. Kweli chama ni legelege, ndo mana na serikali ni mdebwedo.
 
Dr Slaa aliwahi kusema EL si fisadi na hahusiki na Richmond.

Duh ndugu yangu...! Unaikumbuka ile first eleven ya mafisadi (list of shame!) iliyoorodheshwa na Dr. Slaa katika mkutano uliofanyika Mwembe Yanga, Temeke tarehe 15 Septemba, 2007. Niruhusu nikukumbushe!

1. Jakaya Mrisho Kikwete - Raisi kupitia CCM
2. Benjamin W. Mkapa - Raisi mstaafu kupitia CCM.
3. Edward Lowassa - Mbunge kupitia CCM, Monduli.
4. Rostamu Azizi - sasa Mbunge mstaafu kupitia CCM, Igunga.
5. Andrew J. Chenge - Mbunge kupitia CCM, Bariadi.
6. Dr. Daudi T.S. Balali - sasa marehemu ?
7. Nimrod Mkono - mgombea ubunge kupitia CCM, Musoma vijijini
8.
Nazir Karamagi - Waziri mstaafu.
9.
Patrick P. R. Rutabanzibwa - Katibu Mkuu
10.
Basil P. Mramba - Mbunge kupitia CCM, Rombo.
11. Gray S. Mgonja - Kaibu Mkuu mstaafu, Hazina.

Aprili 16, 2011 akiwa Tabora Dr. Slaa aliongezea majina sita likiwemo jina la Waziri wa Ujenzi, John Pombe Magufuli, kwenye orodha ya mwanzo ya mafisadi na KUFIKISHA jumla ya watu 17.

Sasa MNYISANSU, hilo dai lako unalitoa wapi?
 
Kanuni namba wani ya kupumbaza mpinzani juu ya hoja au mtu anayedhamiriwa kusimamishwa katika mpambano i wazi;
kwamba, nyamaza kimya au shabikia endapo kinachodhamiriwa ni hafifu kuliko ulicho nacho wewe endi vaisi vesa!
 
Duh ndugu yangu...! Unaikumbuka ile first eleven ya mafisadi (list of shame!) iliyoorodheshwa na Dr. Slaa katika mkutano uliofanyika Mwembe Yanga, Temeke tarehe 15 Septemba, 2007. Niruhusu nikukumbushe!

1. Jakaya Mrisho Kikwete - Raisi kupitia CCM
2. Benjamin W. Mkapa - Raisi mstaafu kupitia CCM.
3. Edward Lowassa - Mbunge kupitia CCM, Monduli.
4. Rostamu Azizi - sasa Mbunge mstaafu kupitia CCM, Igunga.
5. Andrew J. Chenge - Mbunge kupitia CCM, Bariadi.
6. Dr. Daudi T.S. Balali - sasa marehemu ?
7. Nimrod Mkono - mgombea ubunge kupitia CCM, Musoma vijijini
8.
Nazir Karamagi - Waziri mstaafu.
9.
Patrick P. R. Rutabanzibwa - Katibu Mkuu
10.
Basil P. Mramba - Mbunge kupitia CCM, Rombo.
11. Gray S. Mgonja - Kaibu Mkuu mstaafu, Hazina.

Aprili 16, 2011 akiwa Tabora Dr. Slaa aliongezea majina sita likiwemo jina la Waziri wa Ujenzi, John Pombe Magufuli, kwenye orodha ya mwanzo ya mafisadi na KUFIKISHA jumla ya watu 17.

Sasa MNYISANSU, hilo dai lako unalitoa wapi?

mwambie na wewe labda atacha uropokaj
 
Sio kama wanamuopa Lowassa, ndani ya Chadema kwenyewe kuna mapandikizi wa Lowassa.
Ili kuthibisha kuwa wewe sio mdaku, mwana mipasho, na duni wa kufikiri hebu tuwekee hapa list ya mapandikizi wa lowasa ndani ya CDM ili tuweze kuchambua profile zao na utuonyeshe matendo yao yanayowafunganisha na lowassa,otherwise as normal you remain a tabula rasa
 
Washabiki na wanachama wengi wa CHADEMA hupata homa endapo watasikia Lowasa atashiriki kikamilifu katika ushindani wa kisiasa dhidi yao akiisimamia CCM. Hofu na homa hii ya CHADEMA dhidi ya Lowasa ya nini na inatoka wapi?

Fungua website ya Chadema Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) halafu angalia katuni ya wiki kwenye home page ndipo utakapoelewa kama swali lako ni sahihi au sio na pia kama ni sahihi utapata jibu lake. Pia swali lako ingekuwa Je, Chadema wanamwogopa Lowassa? Halafu majibu yangefuata badala ya kutumia supposition!
 
Washabiki na wanachama wengi wa CHADEMA hupata homa endapo watasikia Lowasa atashiriki kikamilifu katika ushindani wa kisiasa dhidi yao akiisimamia CCM. Hofu na homa hii ya CHADEMA dhidi ya Lowasa ya nini na inatoka wapi?

Hata ccm wanamuogopa, Mafia type
 
Kamuulize Chilligati na Msekwa watakueleza kwa nini tunamuogopa.

chadema mnyang'anyeni kadi huyu mtu,sio chadema mwenzenu huyu kutokana na matendo kauli na kampeni zake za wazi na za kudumu kwa kada wa ccm..chadema ndio maana inachelewa kufanikiwa kutokana na kuwa na watu wengi wa aina ya huyu jamaa,wanaojifanya wapinzani kumbe wanaipenda ccm kimtindo,watu kama hawa ndio walioikwamisha hata NCCR miaka ile,ni mapandikizi ya magamba ndani ya upinzani,unawezaje kumpigia ngoma nzito namna hii kada wa chama adui?
 
EL anaweza kuwa mgombea urais kupitia chadema 2015,subiri wazee waseme

namwonea huruma JK na mafisadi wenzake

Kwa hiyo unataka kutuambia lowassa siyo fisadi na wewe!!!hii nchi ina mijitu ya ajabu sana aisee,hivi anawapa nini huyu lowassa mpaka hata mkajitoa akili kiasi hiki??hili swali hata rafiki yangu kubenea namuuliza pia,hana majibu.
 
Back
Top Bottom