Kwanini CHADEMA inamuogopa Lowassa?

Kwanini CHADEMA inamuogopa Lowassa?

kwa hiyo kule rombo fisadi mramba sio mkristo wala mkaskazini????????
Mramba mission yake alishaikamilisha ya maisha bora kwa warombo! Barabara nzuri, maji na shule za maana! Wakaona wampumzishe kwanza
 
Tumuogope kwani aliowapa sumu ni CHADEMA au magamaba menziye?......Huko ugambani kwenyewe hawamtaki sisi tumpendee nini?
Mkuu umenena vema. Cdm haimwogopi EL hata punje, hatakiwi na watanzania wengi mimi mmoja wapo wa siomtaka kabisa. Kwanza ni mdini, atafanya ndugu zetu waislam waishi kwa shida sana kwenye nchi yetu sote. Hatutaki mdini aongoze hii nchi
 
Mramba mission yake alishaikamilisha ya maisha bora kwa warombo! Barabara nzuri, maji na shule za maana! Wakaona wampumzishe kwanza
barara ni makubaliano ya EAC na sio ujanja wa mramba

vipi felix mrema aliyekuwa mbunge wa Arusha???
Vipi kwa mbowe alikuwepo ant-kaskazini na muislam ndio maana walimuondoa wakamweka mbowe???
 
Mkuu umenena vema. Cdm haimwogopi EL hata punje, hatakiwi na watanzania wengi mimi mmoja wapo wa siomtaka kabisa. Kwanza ni mdini, atafanya ndugu zetu waislam waishi kwa shida sana kwenye nchi yetu sote. Hatutaki mdini aongoze hii nchi
lowassa ana ubora na mapungufu mengi ila hana hata chembe ya udini.
tumuhukumu lowassa kwa makosa mengine ila hamna kosa la udini.

wewe ni kingeza wa ubongo kumhusisha lowassa na udini.
 
Mzito K, heshima kwako. EL si mdini, ni propaganda za JK/Misikit

Mkuu Mnyisansu tunakubaliana na kwenda sawa kwenye mengi ila hili la EL mkuu utanisamehe. Mimi wala sijali wizi wake kwa kuwa hakuna mwanasiasa asiye Mwizi. Mimi simtaki Lowassa kwasababu akili yake yote tangu kipindi kile anampigia chapuo Mkuwere alitumia jukwaa la dini na hata sasa ameanza kujiimarisha kupitia mlango wa dini na mbaya zaidi anaeleweka huyu bwana kuwa ni bora umsulubishe kuliko kuwasaidia waislam, ana chuki na uislam huyu mi nakwambia hafai. Tunamtaka Rais atakae balance kotekote kwa waislam na kwa wakristo
 
lowassa ana ubora na mapungufu mengi ila hana hata chembe ya udini.
tumuhukumu lowassa kwa makosa mengine ila hamna kosa la udini.

wewe ni kingeza wa ubongo kumhusisha lowassa na udini.
Wewe unaemfahamu EL kwa kumwona kwenye tv na magazetini ndo unaweza kuongea utapia mlo kama huo, tunaomfahamu kwa kufanya nae kazi na kusiriki nae propaganda tunamwelewa. Naelewa filosofia yake na anachoamini. Nakuhakikishia Lowassa ni Mdini wa kutisha. Mimi ni Mkristo lakini simtaki huyu kwa sababu hatajenga mwafaka wa kitaifa
 
Umaarufu wa lowassa umebaki jamii forum tu ndiko angalau hata some folks wanamuongelea ongelea otherwise the guy is a dead person politicallykwanza na pia kiafya...

mtaa hamna mtu anahabari nae kabisa, ni great thinkers naona ndo ilee tunamzungumzia. Ila huyu bandugu ni noma,hajistukii kabisa, anaroho ngumu. namuombea uzima na afya anakitu atakuja kuuambia umma wa tz very soon. Huwezi ukashuppalia mambo namna hii,kwani hata angeacha siasa kama kina karamagi na msabaha angepoteza nini!? lakini naona anakomaa tu, kuna kitu lazima na ataongea na vyombo vya habari,otherwise watammwakyembe nae! mkate wa kila siku anao aisee, anakomalia nini!? uraisi! hapana, anamaishu yake lazima
 
kumbe ndio mana watu wanasema chadema ni chama cha watu wa kaskazini,kumbe hata lowassa na yumo asante sana kwa taarifa kijana,leo umefanya kazi nzuri sana ya kuturahisishia hata sisi wachache tuliokuwa tunabisha kwamba chadema ni chama cha watu wa kaskazini tu.

cdm ni chama cha kaskazini!? njoo ufanyaiwe maombi, njoo uombeweee, utakuwa unamapepo
 
Mkuu Mnyisansu tunakubaliana na kwenda sawa kwenye mengi ila hili la EL mkuu utanisamehe. Mimi wala sijali wizi wake kwa kuwa hakuna mwanasiasa asiye Mwizi. Mimi simtaki Lowassa kwasababu akili yake yote tangu kipindi kile anampigia chapuo Mkuwere alitumia jukwaa la dini na hata sasa ameanza kujiimarisha kupitia mlango wa dini na mbaya zaidi anaeleweka huyu bwana kuwa ni bora umsulubishe kuliko kuwasaidia waislam, ana chuki na uislam huyu mi nakwambia hafai. Tunamtaka Rais atakae balance kotekote kwa waislam na kwa wakristo
Mkuu, unaweza kuuthibitisha huo udini wa Lowassa kwa sababu UDINI NI UBAGUZI. Pia mkuu, JK anampiga vita Lowassa kwa sababu JK anataka CCM wamsimamishe Mzanzibar 2015 kumbe lengo lake anataka mwislam aingie ikulu 2015! Ok, tuyaache coz hayo ni mambo ya magambani.
 
Washabiki na wanachama wengi wa CHADEMA hupata homa endapo watasikia Lowasa atashiriki kikamilifu katika ushindani wa kisiasa dhidi yao akiisimamia CCM. Hofu na homa hii ya CHADEMA dhidi ya Lowasa ya nini na inatoka wapi?

Lowasa ni corrupt hivyo ni mahiri wa kutoa rushwa
 
Huenda mwenye hii thread anamuogopa lowasa na anafikiri hata cdm inamugopa kati wa wana ccm wanaoigopa cdm mmojawapo ni lowasa ndio maana hupata wakati mgumu kujibu hoja zao anapokuwa anashutumiwa na akifuatwa na waandishi husema atawaita aongee nao mwisho wa siku akiwaita anawaponda waandishi wenyewe badala ya kujibu hoja.
Sikio la kufa ***
 
Dr Slaa aliwahi kusema EL si fisadi na hahusiki na Richmond.

You Must be crazy,Aliyeanza kuwataja mafisadi kwenye hii nchi ktk LIST OF SHAME"
pale mwembe yanga ni nani kama siyo Dr Slaa,na kwenye hiyo list E.L fisadi wenu
alikuwemo,acha uzandiki.FISADI MKUBWA!!!!!
 
Washabiki na wanachama wengi wa CHADEMA hupata homa endapo watasikia Lowasa atashiriki kikamilifu katika ushindani wa kisiasa dhidi yao akiisimamia CCM. Hofu na homa hii ya CHADEMA dhidi ya Lowasa ya nini na inatoka wapi?

hakuna anaye mwogopa el bali hofu za watu wake ndizo hofu za maisha yao.je mwofu na mwema waweza kuwekwa ktk chungu kimoja?el anaweza kupambana na ubongo wa lissu?au mnyika? acheni umbea.
 
Kama kuna mtu hapa duniani anamuogopa Lowasa basi ni Jakaya Mrisho Kikwete, mpaka kamuundia zengwe la kutaka rais kijana.Ila nitafurahi sana siku moja nikiwaona hawa watu watu wawili JK na EL wote wakiwa wamevaa zile sare za rangi ya chungwa na vichwani wamebeba makarai ya kokoto kule gereza la maweni. Nawachukuia sana mafisadi pacha hawa,
 
yule ni fisadi wanamuogopa kwa maana ya kuifilisi nchi na sivinginevyo hana sera za kucompete na chadema wanaomuogopa ni vibaraka wake na hata mkuu wa nchi yenu nae mchovu pale
 
Wapi Lowassa aliposhiriki kikamilifu akiisimamia ccm dhidi ya cdm na cdm wakamuogopa Lowassa?me najua mfano mmoja tu Lowassa aliisimamia c.c.m dhidi ya cdm,napo ni Arusha mjini,aibu aliyoipata yeye na chama chake na mtu wake wanaijua wenyewe!toa mifano hai minne tu kusupport kauli yako,otherwise utakua empty brain,domokaya mropokaji bila kufikiri!
Kisu kimegusa mfupa, mtu amehamaki
 
Kama kuna mtu hapa duniani anamuogopa Lowasa basi ni Jakaya Mrisho Kikwete, mpaka kamuundia zengwe la kutaka rais kijana.Ila nitafurahi sana siku moja nikiwaona hawa watu watu wawili JK na EL wote wakiwa wamevaa zile sare za rangi ya chungwa na vichwani wamebeba makarai ya kokoto kule gereza la maweni. Nawachukuia sana mafisadi pacha hawa,

Mnategemea nini aru meru yaani kushindwa kwa sioi ni kumshinda lowassa
kwani huyu ni mtoto wake na lowassa na baba yake sasa unategemea nini
 
Mkuu Waberoya,
Nafikiri EL atagombea urais 2015 kupitia CCM. Namuonea huruma sana JK maana EL ana nguvu sana ndani ya chama, sioni namna gani wanaweza kumtosa!

Ungeongezea na huoni ni jinsi gani CHADEMA wanavyweza kumshinda
 
Back
Top Bottom