ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,685
MKJJ: Chadema haijatumia umaarufu wa viongozi wake kujiimarisha kitaasisi na hasa kimapato, au niweke hivi: viongozi maarufu wa chadema hawajatumia vizuri umaarufu wao kuiimarisha chadema kitaasisi na kifedha ili kuondokana na utegemezi wa watu wachache. Tunaelekea kufanya kosa walilofanya akina Mrema-walijiimarisha wao bila kuimarisha NCCR institutionally kiasi kwamba walipobomoka wao kitaswira na NCCR nayo ikabomoka kitaasisi.
Nafikiri ni muhimu sana upaaji wa kisiasa wa viongozi uende sambamba na upaaji wa chama kitaasisi maana binadamu hupita lakini taasisi zinabaki. Kwa utaratibu uliopo sasa hivi ina maana siku viongozi wanaokisaidia chama ikitokea wakayumba kifedha na kitaswira ina maana kuna uwezekano mkubwa chama nacho kikayumba! Yours was a big challenge and I do hope it will be taken up somewhere in chadema's deliberation forums!
QUOTE]
Sema wewe kiazi.
Mnapewa idea nzuri zifanyieni kazi. Mkiendelea kudhani kufungua matawi nje ni "upuuzi" mjue mnakosea. Take this example, kila mwanachama wa CCM London anatoa pound 30 kila mwaka kwa ajili ya Chama. Kukiwa na shughuli watu huc´hangishana pia. Hivyo basi siku kukiwa na mahitaji watu wako standby kukisaidia chama. Huo ndio umuhimu wa tawi, ni tofauti na kufuata mtu mmoja mmoja.Jifunzeni toka CCM.
Dr. Slaa anaonyesha moyo wa kuwa tayari kujifunza toka kwa CCM anapotoa mfano wa wana TANU walipokuwa wanajitolea, lakini inabidi akumbuke kuwa TANU ilikufa tangu mwaka 1977 sasa CHADEMA wajifunze kwa CCM ya sasa sio TANU, hii ni karne nyingine.Acheni kulalamika, jifunzeni mtaona njia.

Wapi Asha kasema tunakaa Ulaya na kunyoosha vidole?
pembeni ya Ulaya au Mbagala!
Na sisi wa omurshaka je?
pembeni ya Ulaya au Mbagala!
uongo gani huo ina maana wale wabunge wa kuteuliwa sita wa tano hawatoki kirimanjaro.??No offence meant jamani. I take my words.
I meant wote tu wanaokaa tu vidole juu, wawe ulaya au mbagala wote sawa. Unaweza kuchangia CHADEMA kama we ni mwanaCHADEMA au mpenzi wa siasa za demokrasia na maendeleo hata ukiwa mbiguni. Au unaweza kuandika makala.
By the way, mbona sijaona ukichambua masuala haya kwenye makala zako za jumatano? Hizi ni hoja zinazokosa mtetezi matokeo yake Habari za Balille za kupikwa kwenye mtanzania na Rai ndio zinawafanya wananchi waamini kuwa Chacha ni Shujaa aliyesimamishwa kama Vile Zitto alivyosimamishwa na CCM. Kumbe Chacha is a piece of crap. Nikikutana nae nitampasha maneno yake na nitawaletea mazungumzo yake nami kwenye http://ashawazenj.blogspot.com. This guy is eating his own flesh for no apparent reasons! Kila mwanachama ana haki ya kukosoa lakini hakuna mwenye haki ya kusambaza uwongo, uzushi na majungu.
Asha
uongo gani huo ina maana wale wabunge wa kuteuliwa sita wa tano hawatoki kirimanjaro.??
pembeni ya Ulaya au Mbagala!
kwi kwi kwi,
Hii kali kabisa.
We Kuhani nawe....kazi yako kuangalia vimakosa vidogo vidogo na kukosoa.....
Si kweli.
Hii ishu ya kunyoosha vidole kutoka Ulaya ni muhimu kwa Mwanakijiji kwa sababu ndio karata jokeli wanayoitumia critics wake na wote walioko nyumbani wanaokosolewa na Watanzania walioko nje. (Nadhani hata mawaziri washawahi sema hicho kitu.)
Lakini kwa hapa sijaona Asha Abdala kasema tunanyoosha vidole kutoka Ulaya. Amesema tunanyoosha vidole, lakini hajasema kutoka Ulaya. Concern ya Mwanakijiji hata mimi nai appreciate lakini hapa fairly speaking Asha hajasema tunanyoosha vidole toka Ulaya. It's all about striving to apply unbiased and consistent standards. That's all.
Kuhusu kokosoa vitu vidogo vidogo, uliwahi ku raise hii ishu na Pundit, akakuelewesha umuhimu wake, na mwishoni ukajibu umemuelewa. Sasa hapa naona kama una apply a different standard kwangu au una backtrack from ulichokubali awali. Kwamba kusahihishana hata kwa madogo kuna umuhimu wake. Unakumbuka ule mjadala?

Nyani.. unakuja columbus au ndio maneno tena...!!?
Mzee nina ugeni mzito sana wiki hii na siwezi ku-afford kutokuwepo hapa mjini maana inaweza nisipate tena ugeni wa namna hii kwa muda mrefu sana.....
alisema kukaa pembeni, na tafsiri yangu Ulaya na pembeni kwingine... na yeye akafafanua kuwa yawezakuwa Ulaya au Mbagala...