Kwanini CHADEMA haina marafiki na nchi za kiarabu?

Status
Not open for further replies.

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
2,653
Reaction score
270
Kwanini CHADEMA haina marafiki na nchi za kiarabu?

Rafiki wa CHADEMA kwa sasa ni;-

Ujerumani: wapenda Vita na kuitawala dunia

Marekani: Wababaishaji wa Demokrasia

WAZUNGU KWA UJUMLA NDIO WALIOFILISI TANZANIA HADI KUFIKIA UMASKINI HUU.
Wazungu kwa ujumla ndio waliofilisi Tanzania hadi kufikia umaskini huu,ndio wanaoiba rasilimali zetu kama Gesi na dhahabu na kutuachia mashimo.

 
Kwani kuna msemaji wa Chadema hapa? au umeambiwa ofisi za Chadema ziko JF?
Bangi nyingine hizi jamani
 

hivi aliyeanzisha gazeti la Kisiwa alikusudia nini?
 
Kwanini nchi za kiarabu hazina urafiki na chadema?

Hakuna duniani ukatili uliowahi kufanywa kwa mwafrika zaidi ya ule wa mwarabu wakati wa utumwa kwa kuwa tu eti kwa kumfanyia hivyo kafir unapata thawabu!Wengi waliogopa na kusilimu ili wapate unafuu kidogo!Sina hakika kama wamekwisha badili msimamo huo.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Malaria Sugu, ukiona hivi ujua kala ban
 
hivi aliyeanzisha gazeti la kisiwa alikusudia nini?
halafu ni jirani yangu kuanzia gari,nyumba na kwenye geti ni mabango ya kisiwa kisiwa namdharau sana yule bwana maana yanayoandikwa kwenye lile gazeti ni uchafu yaani ujinga ujinga tu bora hayo makaratasi wangechichelea taka kule vingunguti
 
thread nyingine bana. magamba jibuni hoja juu ya ahadi za jk ambazo hajatekeleza hadi leo.
 
Umechambua vizuri ILA una kitu nyuma ya uchambuzi wako!Nchi za KIARABU ZILITUDHALILISHA SANA WAKATI WA BIASHARA YA UTUMWA! Ukikumbuka hilo utaenda mbele ukiwa macho wazi!Kwani mbona Tanzania haina UBALOZI Israel?N i kwa sababu CCM wana-mahusiano na nchi za Kiarabu?! TUACHE UPUUZI!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…