Kwanini CHADEMA haina marafiki na nchi za kiarabu?

Status
Not open for further replies.
Kwanini chadema haina marafiki na nchi za kiarabu?

RAFIKI WAKUBWA WA CHADEMA KWA SASA

Ujerumani: wapenda Vita na kuitawala dunia

Marekani: Wababaishaji wa Demokrasia

WAZUNGU KWA UJUMLA NDIO WALIOFILISI TANZANIA HADI KUFIKIA UMASKINI HUU.
ndio wanaoiba rasilimali zetu kama GESI NA DHAHABU NA KUTUACHIA MASHIMO

AU WATAIKERA KUNA MKATABA KATI YA CDU NA CHADEMA YA KUWATAKA WASIKANYAGE NCHI ZA KIARABU?:

Chama akinaga urafiki na nchi bali ni vyama kwa vyama. Ungetutajia ni vyama gani huko USA na Germany at leat tungekuelewa. Urafikiwa baina ya nchi ni wa kiserikali zaidi ingawa kama vyama vinaweza kuufanya mkubwa zaidi. May be ututajie marafiki wa CCM huko nchi za Kiarabu basi.

By the way, Kikwete alipodai amekuwa Rais wa kwanza Afrika kusalimiana na Obama na jinsi alivyokuwa Kipenzi wa Bush yameishia wapi sasa ..................... No woder safari za US zimepungua.
 
Tatizo ni CCM ndiyo inayogawa rasilimali zetu kwa wazungu, Dhahabu (Canada), Almasi, Tanzanite (Ulaya), Wanyama (Uarabuni) Meno ya Tembo (China). Kutoka Marekani CCM inatuletea Vyandarua na kutoka china CCM wanatuletea madawa ya kulevya na inawapa mikataba ya mamilioni. Hakuna sababu ya kulalamika fanya kila linalowezekana ukitokomeze Chama cha Majambazi (CCM)
 
Kwanini chadema haina marafiki na nchi za kiarabu?

RAFIKI WAKUBWA WA CHADEMA KWA SASA

Ujerumani: wapenda Vita na kuitawala dunia

Marekani: Wababaishaji wa Demokrasia

WAZUNGU KWA UJUMLA NDIO WALIOFILISI TANZANIA HADI KUFIKIA UMASKINI HUU.
ndio wanaoiba rasilimali zetu kama GESI NA DHAHABU NA KUTUACHIA MASHIMO

AU WATAIKERA KUNA MKATABA KATI YA CDU NA CHADEMA YA KUWATAKA WASIKANYAGE NCHI ZA KIARABU?:

tatizo lako umekariri vby. tunajua unachotaka kutuaminisha lakin kwa taarifa yako kuna waarabu WAKRISTO. usichanganye uarabu na uislamu boya ww.. kuna uislamu kama dini na uarabu kama lugha tu.
 
hata hivyo si lazima kuwa na urafiki na nchi za kiarabu.
lakini pia wewe umethibitishaje kuwa hawana URAFIKI na nchi hizo?
wewe unawajua marafiki wote wa chadema nje ya tanzania?
 
Kwanini chadema haina marafiki na nchi za kiarabu?

RAFIKI WAKUBWA WA CHADEMA KWA SASA

Ujerumani: wapenda Vita na kuitawala dunia

Marekani: Wababaishaji wa Demokrasia

WAZUNGU KWA UJUMLA NDIO WALIOFILISI TANZANIA HADI KUFIKIA UMASKINI HUU.
ndio wanaoiba rasilimali zetu kama GESI NA DHAHABU NA KUTUACHIA MASHIMO

AU WATAIKERA KUNA MKATABA KATI YA CDU NA CHADEMA YA KUWATAKA WASIKANYAGE NCHI ZA KIARABU?:

kama hao ni wakubwa basi wadogo mbona hujatutajia?
 
tatizo lako umekariri vby. tunajua unachotaka kutuaminisha lakin kwa taarifa yako kuna waarabu WAKRISTO. usichanganye uarabu na uislamu boya ww.. kuna uislamu kama dini na uarabu kama lugha tu.

Nashangaa sana kuona waakirsto WA TZ wanaichukia Palestina na Kuiunga Mkono israel huku wakijua WAPELESTINA PIA WAPO WAKIRISTO
 
Nashangaa sana kuona waakirsto WA TZ wanaichukia Palestina na Kuinga Mkono israel huku wakijua WAPELESTINA PIA WAPO WAKIRISTO

Aliyekwambia wakristo wa tz wanawachukia wa palestina nani?!
 
Kwanini chadema haina marafiki na nchi za kiarabu?

RAFIKI WAKUBWA WA CHADEMA KWA SASA

Ujerumani: wapenda Vita na kuitawala dunia

Marekani: Wababaishaji wa Demokrasia

WAZUNGU KWA UJUMLA NDIO WALIOFILISI TANZANIA HADI KUFIKIA UMASKINI HUU.
ndio wanaoiba rasilimali zetu kama GESI NA DHAHABU NA KUTUACHIA MASHIMO

AU WATAIKERA KUNA MKATABA KATI YA CDU NA CHADEMA YA KUWATAKA WASIKANYAGE NCHI ZA KIARABU?:

Maeneo yote walikowahii kaa waraabu kuna umaskini wakutisha, na watu wake wako duni sana kielimu!
 
Kwanini CHADEMA haina marafiki na nchi za kiarabu?

Rafiki wa CHADEMA kwa sasa ni;-

Ujerumani: wapenda Vita na kuitawala dunia

Marekani: Wababaishaji wa Demokrasia

WAZUNGU KWA UJUMLA NDIO WALIOFILISI TANZANIA HADI KUFIKIA UMASKINI HUU.
Wazungu kwa ujumla ndio waliofilisi Tanzania hadi kufikia umaskini huu,ndio wanaoiba rasilimali zetu kama Gesi na dhahabu na kutuachia mashimo.

acha kula utumbo wa kitimoto
 
hawana kwa sababu hawajataka kuwa nao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom