Kwanini CHADEMA haina marafiki na nchi za kiarabu?

Kwanini CHADEMA haina marafiki na nchi za kiarabu?

Status
Not open for further replies.
ni kwa sababu nchi za kiarabu hazina demokrasia,vurugu kila leo
 
Kwanini CHADEMA haina marafiki na nchi za kiarabu?

Rafiki wa CHADEMA kwa sasa ni;-

Ujerumani: wapenda Vita na kuitawala dunia

Marekani: Wababaishaji wa Demokrasia

WAZUNGU KWA UJUMLA NDIO WALIOFILISI TANZANIA HADI KUFIKIA UMASKINI HUU.
Wazungu kwa ujumla ndio waliofilisi Tanzania hadi kufikia umaskini huu,ndio wanaoiba rasilimali zetu kama Gesi na dhahabu na kutuachia mashimo.

kwikwii, hivi kule kwa magaidi kuna demokrasia? Haaa haaa, mbavu sina!
 
sasa waarab wanajua nin?? Wazembe 2 hata buku hawapigi kazi udini 2.
 
Nashangaa sana kuona waakirsto WA TZ wanaichukia Palestina na Kuiunga Mkono israel huku wakijua WAPELESTINA PIA WAPO WAKIRISTO

Mkuu kuinga mkono Israel ni ibada kwa wakristo kama jinsi ilivyo ibada kwa waislamu kuchinja mnyama pia kamwe hakuna mkristo atakayeweza kuiunga mkono palestina na kuiacha Israel kwani ni amri toka kwa Mungu tuibariki Israel.
 
Respect ndugu yangu.Swali lako ni kwanini chadema compared with Ccm(serekali)na CUF haipati misaada kutoka nchi za kiarabu?unaimanisha ccm na Cuf ni vyama vya waislam na chadema ni chama cha wakristo?na kama ni hivyo basi ni vizuri kwasababu tatizo la udini mnalojidai kulipigia kelele wakati nyie ndio mliolianzisha kwasababu ya kutafuta kura za uraisi 2015 litakuwa limepata suluhu.wakristo wote nchini watajua ni chama gani wakipigie kura na waislam wote pia nao watajua ni chama gani wakipigie kura 2015.mnavyozidi kuforce na kudanganya wananchi kuhusu suala la ukristo kwenye chama cha Chadema mkifikiria kwamba mtapunguza idadi ya wafuasi na wapiga kura waslamu chadema mtasababisha Chadema nao waseme ccm na Cuf ni vyama vya waislamu.still mtashindwa tu 2015.be blessed!

Mkuu umenena.
 
Kwa sababu CDM hawajawapa waarabu Loliondo na yale meno ya lile limnyama
 
Je ni kwa nini mwenyekiti wa CCM yenye mahusiano ya karibu na nchi za Kiarabu ziara zake nyingi ni huko huko ughaibuni badala ya uarabuni?

Na je ni kwa nini waarabu wenyewe wanatafuta hifadhi ughaibuni na pale wanapotakiwa kurudishwa kwao wanapigana kufa na kupona na kungangania kubaki kwenye nchi za watu

Unaambiwa kama kusoma hujui hata picha uoni vua hiyo miwani ya mbao.
 
What is so special uarabuni?cuf wanamarafiki uarabuni?unataka kuwapa kitu nini mkuu?
 
Hakuna duniani ukatili
uliowahi kufanywa kwa mwafrika zaidi ya ule wa mwarabu wakati wa utumwa
kwa kuwa tu eti kwa kumfanyia hivyo kafir unapata thawabu!Wengi
waliogopa na kusilimu ili wapate unafuu kidogo!Sina hakika kama
wamekwisha badili msimamo huo.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Huyo aliekudanganya wewe amekuponza , amekuponza wewee , huyo aliekudanganya ujuwe amekupoonza amekuponza wewe nenda nenda KIBARAVUMBA nenda. Walimu wako history walikua na mgomo baridi!
 
Unataka kutuambia na
Tip Tipu naye alikuwa mzungu?????acha kujifanya umesoma peke yako humu
jf

Sasa kwa nini biashara ya utumwa ilikoma baada ya MAPINDUZI YA VIWANDA ULAYA ? VASCO DAGAMA ALIKUA MUARABU WA NCHI GANI? Nauliza tu lakin couse mm elimu yang ni ya akina feruz kwenye mkasa wa bos.
 
Hakuna duniani ukatili uliowahi kufanywa kwa mwafrika zaidi ya ule wa mwarabu wakati wa utumwa kwa kuwa tu eti kwa kumfanyia hivyo kafir unapata thawabu!Wengi waliogopa na kusilimu ili wapate unafuu kidogo!Sina hakika kama wamekwisha badili msimamo huo.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Thread sio ya dini, ni ya uhusiano wa kisiasa ya vyama, tafadhali usitupeleke kwenye Fitina. na for your information Mhe Mbowe anao uhusiano mwingi na wafadhili wa kiarabu, hata Balozi wa UAE alikuwa Rafiki yake mkubwa.
 
Rafiki siku zote ni kwa kujifunza mema na mazuri. Lengo la chama chochote cha siasa ni kushika hatamu ya Dola kupitia uchaguzi. Sasa wewe ulisikia nchi za kiarabu zikifanya uchaguzi?? ama wakifanya basi mizengwe lazima. Nadhani ndio maana hawaoni faida ya kuwa na rafiki huko Uarabuni ni mawazo yangu tuu.
 
Sijui kama umefika Dubai, AbuDhabi au Qatar

Dah bora umemjibu huyo mburula, anamwaga povu wakati hata border hajawai vuka! Ukifika dubai hata new york chamtoto! Unataka kutufananisha na nchi za kiarabu wakati kwetu "kajamba nani" uwe unanyamaza mara ingine!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom