Kwanini CHADEMA haina marafiki na nchi za kiarabu?

Kwanini CHADEMA haina marafiki na nchi za kiarabu?

Status
Not open for further replies.
Kwanini CHADEMA haina marafiki na nchi za kiarabu?

Rafiki wa CHADEMA kwa sasa ni;-

Ujerumani: wapenda Vita na kuitawala dunia

Marekani: Wababaishaji wa Demokrasia

WAZUNGU KWA UJUMLA NDIO WALIOFILISI TANZANIA HADI KUFIKIA UMASKINI HUU.
Wazungu kwa ujumla ndio waliofilisi Tanzania hadi kufikia umaskini huu,ndio wanaoiba rasilimali zetu kama Gesi na dhahabu na kutuachia mashimo.


Mi sipendi kuwa na rafiki yeyote si mwarabu, mhindi wala mzungu. Ni miaka mia tu toka waache kutuuza kama punda ni miaka 33 toka waache kututawala (Zimbabwe) South Africa bado mpaka leo wanatuamulia seriakli zetu sekta zetu za kifedha nk. Nadhani tunaweza ishi bilwa wao, Si CDM, wala CUF wala CCM wanatakiwa kuwa na marafiki. THINK MKUU RAFIKI WA FAMILIA YAKO NI NANI? UNAMUHITAJI WA NINI.
 
Umechambua vizuri ILA una kitu nyuma ya uchambuzi wako!Nchi za KIARABU ZILITUDHALILISHA SANA WAKATI WA BIASHARA YA UTUMWA! Ukikumbuka hilo utaenda mbele ukiwa macho wazi!Kwani mbona Tanzania haina UBALOZI Israel?N i kwa sababu CCM wana-mahusiano na nchi za Kiarabu?! TUACHE UPUUZI!

Siyo kweli kwamba ni waarabu pekee waliyofanya biashara ya utumwa, pole sana kwa kuishia kusoma historia iliyoandaliwa na mkoloni kwa faida yao binafsi. Hebu angalia namna weusi walivyowengi huko Marekani (Black Americans) hapo ndipo utakapoelewa ni nani aliefanya biashara hii ya utumwa. Waafrika walichukuliwa huko katika New Land yani Marekani kwa ajili ya kulima mashamba ya miwa huko na ndio maana hata leo hii unaona weusi wengi sana huo Marekani tofauti na nchi zingine.

Wazungu kwa kutambua dhambi hii wakaamua kuharibu historia hiyo na kufanya waarabu waonekane ndio waliokua wakifanya biashara hiyo. Sikatai kuwa waarabu nao walishiriki katika biashara hiyo lakini jaribu kuangalia main players wa hii biashara mkuu.

Mkuu nakushauri uisome vizuri historia uende mbali zaidi na ulivyofundishwa darasani. Sielewi hao wazungu wamekupa nini na kuamua kuwaunga mkono bila kwanza kuelewa ukweli wa mambo.

Nakusihi kama Mtanzania mwenzangu hebu fanya utafiti, jaribu kusoma sana historia na hapo naamini utaamka na kuona namna wazungu hawa unaowasifia wewe walivyojivalisha ngozi ya kondoo wakati ni chui kabisa... very dangerous.

Kama utaona kusoma historia ya wakati huo ni ngumu basi jaribu hata sasa kufuatilia mienendo yao na utaona namna walivyokua na uchu na roho mbaya miongoni mwao.

Soma sana mkuu kuelewa mambo na si kukurupuka tu kama ufanyavyo sasa.
 
Kama hutaki kura za Zanzibar huwezi kuwapenda waarabu.
Chadema haiwatambui wazanzibar.
 
Mleta uzi naona anajaribu kutulisha sumu Watanzania!kunywa mwenyewe,ufe mwenyewe,uzikwe mwenyewe na zimwi lako la udini lililokushawishi kuwaandikia great thinkers tujadili ujinga wako.na upuuzwe mileleeeee.

BATTER AN UGLY FACE THAN UGLY MIND!!
 
Loading.......hivi hao Waarabu si ndo wamepelekea mgogoro wa ardhi kule Loliondo?
 
Mleta uzi naona anajaribu kutulisha sumu Watanzania!kunywa mwenyewe,ufe mwenyewe,uzikwe mwenyewe na zimwi lako la udini lililokushawishi kuwaandikia great thinkers tujadili ujinga wako.na upuuzwe mileleeeee.

BATTER AN UGLY FACE THAN UGLY MIND!![/QUOTE
Look further down you will see those unfortunetly ones watumwas
Walioenda kwa Allah countries wali hasiwa sababu kubwa ni udini. Kuna Hadith inanasema ukimfananisha mtume Muhamad ASW na mtu mweusi adhabu ni kifo(prove your self, ask maalim)
Lakini ushahidi wa America north,south,Caribbean ni ushahidi kinyume na mungu wako unayemuamini alivyo wafanyia black people
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom