Kwanini CCM wanatamani CHADEMA ife?

Kwanini CCM wanatamani CHADEMA ife?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,162
Reaction score
48,433
Tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kupita, harakati za kuisambaratisha CHADEMA zimekuwa nyingi.

Ingawa sasa harakati hizo zimechukua mkondo mwingine na kuwa za kiwango cha juu, lakini ni jambo ambalo limeshazoeleka na kuwa sehemu ya siasa zetu Tanzania.

Nakumbuka wakati fulani Mzee Steven Wassira wakati huo akigombea ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, alisema achaguliwe kwa kuwa anao uwezo wa kuiua CHADEMA.

Kwani CCM itafaidika nini kama CHADEMA itakufa na uwepo wa CHADEMA unaleta kikwazo gani kwa CCM?
 
Siyo kwamba CCM wanatamani CHADEMA ife, bali CHADEMA imeshakufa, saa hizi wametandika mikeka na tanga anaanua tarehe 29/ 10/ 2025
 
Endelea kujitekenya na kucheka
Mlifanya makosa makubwa kumpa Tundu UWENYEKITI wa CHADEMA na Heche maana wale wote 2 ni vichwa maji. Hakuna mwenye utulivu wa akili ambaye angeweza kumshauri vinginevyo mwenzie. Nawaona kama majuha. Walishindwa kuusoma mchezo wa Samia.

Lissu anaropoka kuanzisha uasi mwezi April 2025 na baada ya mwezi 1 anakamatwa na kuwekwa ndani.

Mwezi mmoja baadaye Msajili wa vyama anaitisha kikao cha kusaini kanuni za maadili, naye Heche anagoma KUSAINI. Tundu kachonga jeneza la CHADEMA na Heche kapigilia misumari.

Wenzenu wanakwenda kwenye uchaguzi nyinyi CHADEMA mnakwenda Mahakamani. Wenzenu wanafanya fundraising nyinyi akina Allen Kilewella mnakesha kuandika nyuzi za kuponda.
 
Mbona unaandika kama vile CHADEMA Iko hai wakati wewe ulisema ilishakufa? Au unaandika huku unaendesha baiskeli ya mitano tena?
 
Mlifanya makosa makubwa kumpa Tundu UWENYEKITI wa CHADEMA na Heche maana wale wote 2 ni vichwa maji. Hakuna mwenye utulivu wa akili ambaye angeweza kumshauri vinginevyo mwenzie. Nawaona kama majuha. Walishindwa kuusoma mchezo wa Samia.

Lissu anaropoka kuanzisha uasi mwezi April 2025 na baada ya mwezi 1 anakamatwa na kuwekwa ndani.

Mwezi mmoja baadaye Msajili wa vyama anaitisha kikao cha kusaini kanuni za maadili, naye Heche anagoma KUSAINI. Tundu kachonga jeneza la CHADEMA na Heche kapigilia misumari.

Wenzenu wanakwenda kwenye uchaguzi nyinyi CHADEMA mnakwenda Mahakamani. Wenzenu wanafanya fundraising nyinyi akina Allen Kilewella mnakesha kuandika nyuzi za kuponda.
Wanaotaka kuiua chadema ni Dola Wala sio hao uliowatajà mkuu...
 
Nilipomwona Seth Singh pale Mlimani City nikamkumbuka Seth Mwamoto wa Majembe Auction Mart

Iringa ni chimbuko la Wajanja wote wa Tanzania 😂😂😂
Hata Mwamposa,Lusekelo, Mwingira na Maboya, timing yao ya kuwa maarufu ilianzia Iringa.

Ukitaka uwe Nabii au mtume maarufu, wekeza Iringa
 
Back
Top Bottom