Yes Mkuu inawezekana kuna barua za wahisani confidential za mashinikizo wameanza kupokea, nimewaza tu.Halafu inasemekana hata wahisani huwa wanakubali kuchangia bajeti kuu ya serikali baada ya kupata maoni ya kambi ya upinzani.
Kwa staili hii hiyo kambi ya upinzani wataipatajeee
Tuwaachie bunge lao kama walivyokuwa wanataka!Kabisa Mkuu...watawalamba sana miguu kama sio kuwanunua...wameanza na Bawacha...
Hzo stori mnaandika wenyewe na jana bavicha walienda ofc za nec kutaka viti maalum, hao ccm wamelilia wapi? Umesikia tamko toka ccm wakiongea kuhusu hilo? Acheni uzushi chapeni kazi muda unaenda
Halafu kweliHzo stori mnaandika wenyewe na jana bavicha walienda ofc za nec kutaka viti maalum, hao ccm wamelilia wapi? Umesikia tamko toka ccm wakiongea kuhusu hilo? Acheni uzushi chapeni kazi muda unaenda
Nimesoma kutoka twitter kwenye akaunti ya kamandana mmoja akiandika kuwa Job anawapigia simu baadhi ya wanawake wa CHADEMA waliowahi kuwa wabunge akiwataka wakubali nafasi za viti maalamu
CCM ilivuruga uchaguzi bila kuona hilo?Nimesoma kutoka twitter kwenye akaunti ya kamandana mmoja akiandika kuwa Job anawapigia simu baadhi ya wanawake wa CHADEMA waliowahi kuwa wabunge akiwataka wakubali nafasi za viti maalamu
Kwa sababu wapate kuwatumia kuhalalisha uchafuzi wao.Habari
Kila mmoja wetu ni shahidi kwamba tangu alipoingia madarakani bwana John Joseph pombe magufuli kauli zake na vitendo vyake ilikuwa ni kuua upinzani hasa chadema.
Tumekuja mpaka 2020 kwenye uchaguzi mkuu tukashuhudia ambayo kila mmoja wetu anajua pamoja na kauli tata kwamba wapinzani ndio wanachelewesha maendeleo ya watanzania.
Hatimaye uchaguzi ukaisha na ccm wakaibuka kidedea kwa mbinu wanazojua wao. Ndugu zetu upande wa pili/chadema wakaamua kujiweka pembeni ili serikali ya ccm iweze kuharakisha maendeleo kwa wananchi, ila cha ajabu kuna kilio kikubwa kutoka ccm kuhusiana na jambo hili.
Yani viongozi wetu pamoja na sisi wafuasi wa chadema tumejiweka pembeni kuhusiana na jambo hili ila ccm wanahangaika sana kulikoni?
Naombeni mnisaidie nipate kuelewa nini kiko nyuma ya kilio hiki cha ccm wakati mahubiri yao siku zote ni kwamba wapinzani hawafai, wapinzani wanachelewesha maendeleo ya wananchi, wapinzani wanashirikiana na mabeberu, upinzani umekufa na maneno mengi ya namna hiyo.
Hata hapa jamiiforums tunaona vijana wa ccm wakijitahidi kuanzisha mada za kuwaomba viongozi wetu wakubali kupeleka wabunge wa viti maalum, wamefika mbali hadi kuleta nukuu za makada wa ccm wakitaka chadema wakubali kupeleka wabunge wa viti maalum.
Je, kuna nini nyuma ya pazia?
Mkuu embu nifafanulie hapa, kwani viti maalumu lazima wapewe cdm si wanaweza kutoa hivyo viti kwa vyama vingine pinzani? Tz kuna vyama zaidi ya 15. Naomba ufafanuziHabari
Kila mmoja wetu ni shahidi kwamba tangu alipoingia madarakani bwana John Joseph pombe magufuli kauli zake na vitendo vyake ilikuwa ni kuua upinzani hasa chadema.
Tumekuja mpaka 2020 kwenye uchaguzi mkuu tukashuhudia ambayo kila mmoja wetu anajua pamoja na kauli tata kwamba wapinzani ndio wanachelewesha maendeleo ya watanzania.
Hatimaye uchaguzi ukaisha na ccm wakaibuka kidedea kwa mbinu wanazojua wao. Ndugu zetu upande wa pili/chadema wakaamua kujiweka pembeni ili serikali ya ccm iweze kuharakisha maendeleo kwa wananchi, ila cha ajabu kuna kilio kikubwa kutoka ccm kuhusiana na jambo hili.
Yani viongozi wetu pamoja na sisi wafuasi wa chadema tumejiweka pembeni kuhusiana na jambo hili ila ccm wanahangaika sana kulikoni?
Naombeni mnisaidie nipate kuelewa nini kiko nyuma ya kilio hiki cha ccm wakati mahubiri yao siku zote ni kwamba wapinzani hawafai, wapinzani wanachelewesha maendeleo ya wananchi, wapinzani wanashirikiana na mabeberu, upinzani umekufa na maneno mengi ya namna hiyo.
Hata hapa jamiiforums tunaona vijana wa ccm wakijitahidi kuanzisha mada za kuwaomba viongozi wetu wakubali kupeleka wabunge wa viti maalum, wamefika mbali hadi kuleta nukuu za makada wa ccm wakitaka chadema wakubali kupeleka wabunge wa viti maalum.
Je, kuna nini nyuma ya pazia?
Viti maalum vina patikana kutokana na idadi ya wingi wa kura je wewe ni CCM ili niweze kukuelimisha vizuriMkuu embu nifafanulie hapa, kwani viti maalumu lazima wapewe cdm si wanaweza kutoa hivyo viti kwa vyama vingine pinzani? Tz kuna vyama zaidi ya 15. Naomba ufafanuzi
Chama kinachopata kura nyingi za ubunge ndo kinapewa viti vingi maalumu kikifatiwa na kilichofuata. Hivyo chadema ndo kina sifa hiyo kwani kura walizopata wabunge wao ni nyingi kuliko za wale wa vyama vingine vya mageuziMkuu embu nifafanulie hapa, kwani viti maalumu lazima wapewe cdm si wanaweza kutoa hivyo viti kwa vyama vingine pinzani? Tz kuna vyama zaidi ya 15. Naomba ufafanuzi
wewe weka ushahidi hapa,nani anakubembeleza wewe mwana wa mbeligiji😂😂😂😂Habari
Kila mmoja wetu ni shahidi kwamba tangu alipoingia madarakani bwana John Joseph pombe magufuli kauli zake na vitendo vyake ilikuwa ni kuua upinzani hasa chadema.
Tumekuja mpaka 2020 kwenye uchaguzi mkuu tukashuhudia ambayo kila mmoja wetu anajua pamoja na kauli tata kwamba wapinzani ndio wanachelewesha maendeleo ya watanzania.
Hatimaye uchaguzi ukaisha na ccm wakaibuka kidedea kwa mbinu wanazojua wao. Ndugu zetu upande wa pili/chadema wakaamua kujiweka pembeni ili serikali ya ccm iweze kuharakisha maendeleo kwa wananchi, ila cha ajabu kuna kilio kikubwa kutoka ccm kuhusiana na jambo hili.
Yani viongozi wetu pamoja na sisi wafuasi wa chadema tumejiweka pembeni kuhusiana na jambo hili ila ccm wanahangaika sana kulikoni?
Naombeni mnisaidie nipate kuelewa nini kiko nyuma ya kilio hiki cha ccm wakati mahubiri yao siku zote ni kwamba wapinzani hawafai, wapinzani wanachelewesha maendeleo ya wananchi, wapinzani wanashirikiana na mabeberu, upinzani umekufa na maneno mengi ya namna hiyo.
Hata hapa jamiiforums tunaona vijana wa ccm wakijitahidi kuanzisha mada za kuwaomba viongozi wetu wakubali kupeleka wabunge wa viti maalum, wamefika mbali hadi kuleta nukuu za makada wa ccm wakitaka chadema wakubali kupeleka wabunge wa viti maalum.
Je, kuna nini nyuma ya pazia?
Nijibu tu bila kujali itikadi za kichamaViti maalum vina patikana kutokana na idadi ya wingi wa kura je wewe ni CCM ili niweze kukuelimisha vizuri
Asante sasa nimeelewa, nimepita viunga vya Twitter nimeona tayari bawacha wamejipeleka nec. Japo mwenyekiti wetu amesimamia msimamo wake wa NOChama kinachopata kura nyingi za ubunge ndo kinapewa viti vingi maalumu kikifatiwa na kilichofuata. Hivyo chadema ndo kina sifa hiyo kwani kura walizopata wabunge wao ni nyingi kuliko za wale wa vyama vingine vya mageuzi
Hzo stori mnaandika wenyewe na jana bavicha walienda ofc za nec kutaka viti maalum, hao ccm wamelilia wapi? Umesikia tamko toka ccm wakiongea kuhusu hilo? Acheni uzushi chapeni kazi muda unaenda
Kabisa wameiba Ng'ombe na kengele yake ...Wameiba ng'ombe na kengele yake