Mseleleshaji
Member
- Jun 9, 2020
- 96
- 111
Ivi wamemzidi Gadafi ktk nchi ya Libya, mbona na alipinduliwa?
Tatizo ni uongozi wa chuki na ubinafsi eti maendeleo hayana vyamaIpo chuki imeongezeka kwa chama Tawala ikianzia ndani ya chama na nje ya chama Cha mapinduzi. Wakati wakijinadi wameleta maendeleo wananchi wanakiri umaskini wa mtu mmoja mmoja umeongezeka, Haki kwa raia hakuna na hakuna utawala wa sheria.
Wapo wanaodai tunatakiwa tuumie tujifunze lakini wapo wanaodai ukishindwa kujiendeleza leo tambua huna Leo nyingine.
Je, kwanini wananchi wameacha kuthamini miradi inayoendelea na kuwachukia wanaowaletea hayo maendeleo?
Watanzania asilimia 80 wako vijijini, na hata hawajui fulayi ova, stigilazi goji ni nini, wengi maisha ni magumu sana hata msosi tabu, wewe unamwambia habari za bombardia au Dirimulaina, atakuelewa? Haya ongeza na hii habari ya kuuwa watu hovyo eti kisa tuu tofauti za kisiasa kweli?Natambua wananchi wanathamini sana hii miradi iliyoanzishwa au kuendeleza na serikali chini ya J.P.Magufuli.Hasa kwa wale wanaopenda Maendeleo.
Usidanganyike na serikali ya CHADEMA ya mtandaoni ambayo makao makuu yao yapo Twitter!!
Refer, Taarifa za CHADEMA ya Mtandaoni kipindi cha CORONA hasa kutuhusu sisi wakazi wa Dar es salaam. Utatambua hawa jamaa wapo kuexaggerate any Fact.
Watanzania asilimia 80 wako vijijini, na hata hawajui fulayi ova, stigilazi goji ni nini, wengi maisha ni magumu sana hata msosi tabu, wewe unamwambia habari za bombardia au Dirimulaina, atakuelewa? Haya ongeza na hii habari ya kuuwa watu hovyo eti kisa tuu tofauti za kisiasa kweli?
Maendeleo ya Tozo?Ipo chuki imeongezeka kwa chama Tawala ikianzia ndani ya chama na nje ya chama Cha mapinduzi. Wakati wakijinadi wameleta maendeleo wananchi wanakiri umaskini wa mtu mmoja mmoja umeongezeka, Haki kwa raia hakuna na hakuna utawala wa sheria.
Wapo wanaodai tunatakiwa tuumie tujifunze lakini wapo wanaodai ukishindwa kujiendeleza leo tambua huna Leo nyingine.
Je, kwanini wananchi wameacha kuthamini miradi inayoendelea na kuwachukia wanaowaletea hayo maendeleo?
CCM kingekuwa kinaleta "maendeleo" kingekuwa kimeshatoka madarakani zamani sana.Ipo chuki imeongezeka kwa chama Tawala ikianzia ndani ya chama na nje ya chama Cha mapinduzi. Wakati wakijinadi wameleta maendeleo wananchi wanakiri umaskini wa mtu mmoja mmoja umeongezeka, Haki kwa raia hakuna na hakuna utawala wa sheria.
Wapo wanaodai tunatakiwa tuumie tujifunze lakini wapo wanaodai ukishindwa kujiendeleza leo tambua huna Leo nyingine.
Je, kwanini wananchi wameacha kuthamini miradi inayoendelea na kuwachukia wanaowaletea hayo maendeleo?
Unaishi Tanzania, gani ? Kama wewe unaichukia CCM kwa hiyo ndio Tanzania yote? CCM ipo leo na itaendelea kuwapo kesho na milele.Ipo chuki imeongezeka kwa chama Tawala ikianzia ndani ya chama na nje ya chama Cha mapinduzi. Wakati wakijinadi wameleta maendeleo wananchi wanakiri umaskini wa mtu mmoja mmoja umeongezeka, Haki kwa raia hakuna na hakuna utawala wa sheria.
Wapo wanaodai tunatakiwa tuumie tujifunze lakini wapo wanaodai ukishindwa kujiendeleza leo tambua huna Leo nyingine.
Je, kwanini wananchi wameacha kuthamini miradi inayoendelea na kuwachukia wanaowaletea hayo maendeleo?
Unaishi Tanzania, gani ? Kama wewe unaichukia CCM kwa hiyo ndio Tanzania yote? CCM ipo leo na itaendelea kuwapo kesho na milele.
Chama bora kabisa Africa, na inafahamika duniani kote.
Miradi yote wanayodai ni ya maendeleo imejaa ufisadi wa kutisha sana, na pia chuki imezidi baada ya utawala huu kuwa na tabia mbovu za kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani, kuwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara kwa kuwatumia TRA , kuiba trilion. 1.5 kisha wakamtoa CAG kafara, ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge na ufisadi kwenye miradi yote mikubwa
Ipo chuki imeongezeka kwa chama Tawala ikianzia ndani ya chama na nje ya chama Cha mapinduzi. Wakati wakijinadi wameleta maendeleo wananchi wanakiri umaskini wa mtu mmoja mmoja umeongezeka, Haki kwa raia hakuna na hakuna utawala wa sheria.
Wapo wanaodai tunatakiwa tuumie tujifunze lakini wapo wanaodai ukishindwa kujiendeleza leo tambua huna Leo nyingine.
Je, kwanini wananchi wameacha kuthamini miradi inayoendelea na kuwachukia wanaowaletea hayo maendeleo?
Ni kwa kuwa wanatawala bila ridhaa ya umma wa watanzania.Je, kwanini wananchi wameacha kuthamini miradi inayoendelea na kuwachukia wanaowaletea hayo
Hata Hitler alichukiwa japo alileta maendeleo makubwa kwa Germany!Ipo chuki imeongezeka kwa chama Tawala ikianzia ndani ya chama na nje ya chama Cha mapinduzi. Wakati wakijinadi wameleta maendeleo wananchi wanakiri umaskini wa mtu mmoja mmoja umeongezeka, Haki kwa raia hakuna na hakuna utawala wa sheria.