Kwanini CCM inachukiwa wakati imeleta maendeleo?

JamiiForums844291276.jpg
 
Natambua wananchi WANATHAMINI sana hii miradi iliyoanzishwa au kuendeleza na serikali chini ya J.P.Magufuli.Hasa kwa wale wanaopenda Maendeleo.

Usidanganyike na serikali ya CHADEMA ya mtandaoni ambayo makao makuu yao yapo twitter!!

Refer, Taarifa za CHADEMA ya Mtandaoni kipindi cha CORONA hasa kutuhusu sisi wakazi wa Dar es salaam. Utatambua hawa jamaa wapo kuexaggerate any Fact.
Chama wakala wa Mbeligiji, nacho kinataka uongozi wa nchi.
 
Ipo chuki imeongezeka kwa chama Tawala ikianzia ndani ya chama na nje ya chama Cha mapinduzi. Wakati wakijinadi wameleta maendeleo wananchi wanakiri umaskini wa mtu mmoja mmoja umeongezeka, Haki kwa raia hakuna na hakuna utawala wa sheria.

Wapo wanaodai tunatakiwa tuumie tujifunze lakini wapo wanaodai ukishindwa kujiendeleza leo tambua huna Leo nyingine.

Je, kwanini wananchi wameacha kuthamini miradi inayoendelea na kuwachukia wanaowaletea hayo maendeleo?
CCM ya Jana ni KANU ya Leo. Nasema ni Leo maana ni mwezi huu. JAMBO LETU ni 28/10/2020.
 
We suppose to focus according our direction, according our environment, that's only way we can help our peoples. No body should come and say that his there to save the problems of our peoples, we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Mkuu Bujibuji hii umeitoa wapi,mbona Kama huu mwandiko ni wa malaika mkuu🤣
 
Ipo chuki imeongezeka kwa chama Tawala ikianzia ndani ya chama na nje ya chama Cha mapinduzi. Wakati wakijinadi wameleta maendeleo wananchi wanakiri umaskini wa mtu mmoja mmoja umeongezeka, Haki kwa raia hakuna na hakuna utawala wa sheria.

Wapo wanaodai tunatakiwa tuumie tujifunze lakini wapo wanaodai ukishindwa kujiendeleza leo tambua huna Leo nyingine.

Je, kwanini wananchi wameacha kuthamini miradi inayoendelea na kuwachukia wanaowaletea hayo maendeleo

Ipo chuki imeongezeka kwa chama Tawala ikianzia ndani ya chama na nje ya chama Cha mapinduzi. Wakati wakijinadi wameleta maendeleo wananchi wanakiri umaskini wa mtu mmoja mmoja umeongezeka, Haki kwa raia hakuna na hakuna utawala wa sheria.

Wapo wanaodai tunatakiwa tuumie tujifunze lakini wapo wanaodai ukishindwa kujiendeleza leo tambua huna Leo nyingine.

Je, kwanini wananchi wameacha kuthamini miradi inayoendelea na kuwachukia wanaowaletea hayo maendeleo?

NI SHETANI TU ANAWAPITIA WATANZANIA WAONE CHEUPE KUWA CHEUSI KWA ULOZI KUTOKA KUZIMU !
 
Kama wewe sio mtoto wa rushwa huwezi ipenda CCM 80% wanao ipenda CCM ni walio zaliwa na rushwa na kulelewa na rushwa na kuishi kwa rushwa
 
Ipo chuki imeongezeka kwa chama Tawala ikianzia ndani ya chama na nje ya chama Cha mapinduzi. Wakati wakijinadi wameleta maendeleo wananchi wanakiri umaskini wa mtu mmoja mmoja umeongezeka, Haki kwa raia hakuna na hakuna utawala wa sheria.

Wapo wanaodai tunatakiwa tuumie tujifunze lakini wapo wanaodai ukishindwa kujiendeleza leo tambua huna Leo nyingine.

Je, kwanini wananchi wameacha kuthamini miradi inayoendelea na kuwachukia wanaowaletea hayo maendeleo?

Logic iko hivi...
Ktk watu elfu moja, mia tisa sitini wakiamua kukaa kimya alafu sitini wakaamua kupiga kelele tena kwa mavuvuzela ni wazi hao kumi ndio watasikika...landslide victory ktk chaguzi speaks volumes! Rom local elections to general elections!
Kama una walau akili ya darasa la pili comment hii itaeleweka..
 
Ipo chuki imeongezeka kwa chama Tawala ikianzia ndani ya chama na nje ya chama Cha mapinduzi. Wakati wakijinadi wameleta maendeleo wananchi wanakiri umaskini wa mtu mmoja mmoja umeongezeka, Haki kwa raia hakuna na hakuna utawala wa sheria.

Wapo wanaodai tunatakiwa tuumie tujifunze lakini wapo wanaodai ukishindwa kujiendeleza leo tambua huna Leo nyingine.

Je, kwanini wananchi wameacha kuthamini miradi inayoendelea na kuwachukia wanaowaletea hayo maendeleo?
Inaleta maendeleo tangu mwaka 1961 hadi leo ? Mbona hayo maendeleo hayafiki? CCM ni ukoo wa panya . ninasubiri 28 Oct.
 
Inashangaza jinsi CCM wanavyoongoza nchi kidikteta na kuharibu mshikamano wa watanzani kwa kuingiza ukabila, ubaguzi, nk. Pia kuna ufisadi mkubwa umetendeka wakati wa awamu hii. Ukweli ni kwamba magu hajafanya chochote cha maana ila kelele zimekuwa nyingi mno na wapo watu wameshurutishwa kupiga kelele kuonesha mambo makubwa yamefanywa ila sasa watu wamegundua ni uongo mtupu hakuna la ajabu.
👊👊
 
Kwani pesa ni mali ya ccm au yetu walipa kodi?!
CCM wakwapuzi.
 
Tukisema ni ukoo wa panya bado wengi hawatafahamu.ili kufahamu mwaka huu fuatilia majina yafuatayo; 1. Dogo James
2. Dogo biteko
3. Kutwa Biteko
4. Medard Kalemani
5.philip mpango
6. Bwana Kabudi
7......

Ipo chuki imeongezeka kwa chama Tawala ikianzia ndani ya chama na nje ya chama Cha mapinduzi. Wakati wakijinadi wameleta maendeleo wananchi wanakiri umaskini wa mtu mmoja mmoja umeongezeka, Haki kwa raia hakuna na hakuna utawala wa sheria.

Wapo wanaodai tunatakiwa tuumie tujifunze lakini wapo wanaodai ukishindwa kujiendeleza leo tambua huna Leo nyingine.

Je, kwanini wananchi wameacha kuthamini miradi inayoendelea na kuwachukia wanaowaletea hayo maendeleo?
 
Ipo chuki imeongezeka kwa chama Tawala ikianzia ndani ya chama na nje ya chama Cha mapinduzi. Wakati wakijinadi wameleta maendeleo wananchi wanakiri umaskini wa mtu mmoja mmoja umeongezeka, Haki kwa raia hakuna na hakuna utawala wa sheria.

Wapo wanaodai tunatakiwa tuumie tujifunze lakini wapo wanaodai ukishindwa kujiendeleza leo tambua huna Leo nyingine.

Je, kwanini wananchi wameacha kuthamini miradi inayoendelea na kuwachukia wanaowaletea hayo maendeleo?
CCM ni kikwazo cha maendeleo, miaka karibia sitini ya uhuru bado watu wanaahidiwa kupatiwa maji ya bomba na wanafunzi wanakaa chini. Kwa hali ya hewa tuliyonayo na utulivu wa kisasa uliopo, tulipaswa tuwe level za Afrika Kusini au Nigeria.
 
Kiingereza hiki kinatokana na Big Results Now (BRN)
Hiki ni Kingereza cha kutokana na elimu Bora au Bora elimu?

"We suppose to focus according our direction, according our environment, that's only way we can help our peoples. No body should come and say that his there to save the problems of our peoples, we are the one we are leader we suppose to change the direction"
 
Maendeleo ya vitu yasiyogusa maisha ya watu ni kuumiza wananchi
 
Hakuna maendeleo wala mradi wowote wa maana wenye levo ya kitaifa hata mmoja.

Tunalipa kodi hatuoni chochote kilichofanywa na CCM miaka 60 sasa ni utopolo mtupu.

Hakuna wizara hata moja wala secta moja wanayoweza wakajivunia kwa miaka 60.

Badala yake CCM imejikita kwenye.
1. Kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari.
2.kunyima uhuru na hakk za raia kutoa maoni.

3kupigwa wanasia risasi.
4.kuua akina Akwiina.
5.Kuteka akina mo roma nk.
6. Kuharibu diplomasia ya nchi.
7.miili ya watu waliouwawa na kutupwa ufukweni mwa bahari.
8. Mtu mmoja anakaichezea nchi atakavyo.
.

Hakuna kitu ccm imefanya kwa Miaka 60 wana
Katiba ya nchi hii inatakiwa ibadilishwe mapema sana,imechangia manyanyaso mengi kwa wananchi kwa hii miaka mitano ya Magu.
Mkuu Wa wilaya ana uwezo Wa kukuweka ndani Massa 24bila kesi, kissa tu umempita bila kumsalimia.
 
Vipaumbele vyingi awamu hii si vya wananchi Bali ni vya watawala.

Siku wananchi watakaposhirikishwa waamue vipaumbele vyao ndipo nchi itasonga.

Unapoleta maendeleo ni lzm uwashirikishe watu wao ndio ujua kipi ndo kianze. Mfano machinga complex awakushirikishwa machinga wakatoa mawazo yao thus jengo limedoda hitaji sahihi la pale ni kupageuza kuwa hostel za wanafunzi wanaohangaika na sehemu ya malazi mjini.

Linaweza mudu wanafunzi 5000 Mara laki 2 kwa mwezi ni faida kubwa kuliko kuweka machinga
 
Ipo chuki imeongezeka kwa chama Tawala ikianzia ndani ya chama na nje ya chama Cha mapinduzi. Wakati wakijinadi wameleta maendeleo wananchi wanakiri umaskini wa mtu mmoja mmoja umeongezeka, Haki kwa raia hakuna na hakuna utawala wa sheria.

Wapo wanaodai tunatakiwa tuumie tujifunze lakini wapo wanaodai ukishindwa kujiendeleza leo tambua huna Leo nyingine.

Je, kwanini wananchi wameacha kuthamini miradi inayoendelea na kuwachukia wanaowaletea hayo maendeleo?
Kwani wakoloni hawakuleta maendeleo? Shule, makanisa, reli, barabara na huduma za afya
 
Natambua wananchi wanathamini sana hii miradi iliyoanzishwa au kuendeleza na serikali chini ya J.P.Magufuli.Hasa kwa wale wanaopenda Maendeleo.

Usidanganyike na serikali ya CHADEMA ya mtandaoni ambayo makao makuu yao yapo Twitter!!

Refer, Taarifa za CHADEMA ya Mtandaoni kipindi cha CORONA hasa kutuhusu sisi wakazi wa Dar es salaam. Utatambua hawa jamaa wapo kuexaggerate any Fact.
Lakini mbona ile slogan yetu ya nchi ya viwanda haisikiki tena? Au lilikuwa changa la macho.
 
Back
Top Bottom