kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Ipo chuki imeongezeka kwa chama Tawala ikianzia ndani ya chama na nje ya chama Cha mapinduzi. Wakati wakijinadi wameleta maendeleo wananchi wanakiri umaskini wa mtu mmoja mmoja umeongezeka, Haki kwa raia hakuna na hakuna utawala wa sheria.
Wapo wanaodai tunatakiwa tuumie tujifunze lakini wapo wanaodai ukishindwa kujiendeleza leo tambua huna Leo nyingine.
Je, kwanini wananchi wameacha kuthamini miradi inayoendelea na kuwachukia wanaowaletea hayo maendeleo?