Kwanini CBG, CBN na CBA hawaruhusiwi kusoma udaktari

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,657
20,940
mi naona kama umuhimu wa physics kwenye udaktari umekuzwa sana. pia watu wa hizo comb huwa madaktari wazuri wa wanyama nini kitawazuia kuwa madaktari wazuri wa watu? nchi inamadaktari wachache sababu ya urasimu usio na msingi. mi naona hizo kozi waruhusiwe kusoma udaktari.
 
Hujamsikia waziri wa afya Ummy Mwalimu anasema madaktari wapo wa kutosha ila serikali haijari coz hawana pesa za kuwalipa...... na hata kama wataajiri basi si wote

Back to the point physics ni muhimu kwenye udaktari wa binadamu ndo maana vyuo vya udaktari vyote vinavyojielewa sio udaktari tu kozi yoyote ile inayohusiana na medicine kama huna physics sahau

"Physics rewards ONLY the best minds it has NO room for average ones"

Kuna vitu ving radiography, operating machines such as MRI and CT scan which require physics knowledge kuna pale MOI na cardiac institute muhimbili some big machines which runs through physics principles siyo Tanzania tu dunian kote medical entrance exams inafanywa na PCB tu nenda India leo hii without PCB udaktari sijui unesi utausikia tu kwenye bomba lets be realistic!
 
Mbona madaktari wengi hawajajiliwa? Nchi inakosaje madaktari wakati wako "kitaa"!
 
Kwani wanatakiwa watengeze hizo machine kuoperate hizo machine hata mtu ambaye hajasoma physics anaweza
 
Sio rahis kama unavyodhan kamaingekua hivyo kila mtu angfanya lakini kuna mahesabu pale na physics ya kutosha medical students MD na Nursing watakua wameyaona kwenye practocals zao za physiology kusoma ECG na calculations zake.
 
Mbona madaktari wengi hawajajiliwa? Nchi inakosaje madaktari wakati wako "kitaa"!
Hawaelewi wanazungumza nin8 hawa madaktari wengi mno kitaa kuanzia diploma m0aka degree nchi haiajili kwasababu haina Pesa za kuwalipa na hilo waziri wa afya alilisema wazi kwenye mkutano wa chama cha madaktari sasa anayesema nchi ina uhaba wa madaktari kivipi?
 
heee!! Mbona mnaniogopesha! Kwhy nisisome PCB. kwhy kazi gani sasa itakuwa na ajira?
 
Hujamsikia waziri wa afya Ummy Mwalimu anasema madaktari wapo wa kutosha ila serikali haijari coz hawana pesa za kuwalipa...... na hata kama wataajiri basi si wote

Back to the point physics ni muhimu kwenye udaktari wa binadamu ndo maana vyuo vya udaktari vyote vinavyojielewa sio udaktari tu kozi yoyote ile inayohusiana na medicine kama huna physics sahau

"Physics rewards ONLY the best minds it has NO room for average ones"

Kuna vitu ving radiography, operating machines such as MRI and CT scan which require physics knowledge kuna pale MOI na cardiac institute muhimbili some big machines which runs through physics principles siyo Tanzania tu dunian kote medical entrance exams inafanywa na PCB tu nenda India leo hii without PCB udaktari sijui unesi utausikia tu kwenye bomba lets be realistic!
hizo machine ulizotaja huwa zinaendeshwa na matechinician siyo madaktari.
 
Sio rahis kama unavyodhan kamaingekua hivyo kila mtu angfanya lakini kuna mahesabu pale na physics ya kutosha medical students MD na Nursing watakua wameyaona kwenye practocals zao za physiology kusoma ECG na calculations zake.
Unadhan hao waliosoma CBG au CBA wakienda kusoma BVM hawakutani nayo? BVM pia anasoma radiograph na pharmacology pia kuna calculation nyingi mno na wanazimud na wanafaulu huku wakiwa mabingwa wa taaluma zao japo hawakusoma PCB
 
Hawaelewi wanazungumza nin8 hawa madaktari wengi mno kitaa kuanzia diploma m0aka degree nchi haiajili kwasababu haina Pesa za kuwalipa na hilo waziri wa afya alilisema wazi kwenye mkutano wa chama cha madaktari sasa anayesema nchi ina uhaba wa madaktari kivipi?
Alisema lini mkuu tupe uhakika
 
Back
Top Bottom