Mrejesho Window 11

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Jan 13, 2016
984
1,000
Wakuu habari za masiku, majuzi nilikuja hapa jukwaani na nyuzi takribani 2 nikiomba msaada juu ya kusahihisha toleo la window 11 kwa pc yangu. Bahati nzuri nilifanikiwa juu ya hilo sasa nilikuwa napenda kushare nanyi kasoro kadhaa nilizoziona.

Kama wewe PC yako unatumia kwa ajili ya shughuli za ufundi simu kama mimi unaweza pata changamoto kwa wale watumiaji wa crack mimi natumia miracle crack version 2.82 kwenye upande wa kupiga file haimalizi miracle itajifunga yenyewe. Pia ukitumia aladin ukiwa unataka kuweka file inajifunga yenyewe.

Kingine Web browser ya Edge hutoweza kuperuzi ishu nyingine tofauti na za microsoft hata kudownload. Ndizo kasoro nimeona mpaka sasa mambo mengine yapo vizuri na upande wa update na pata update mpya kama kawaida pia kingine kizuri ni app za android natumia kama kawaida kwenye whatsapp napata video call nimeweza kudownload instagram na twitter
 

Mwalimu wa Zamu Tz

JF-Expert Member
Jan 2, 2021
640
1,000
Ndio mkuu kwenye shughuli za Ufundi simu SIKUSHAURI kutumia window 11 na kuhusu kuzingua kwa baadhi ya software ni kwa7b software husika hazijatolewa/update latest version ya Window 11 kwahiyo nyingi zinapata ugumu kufanya kazi kwenye W11 na kuhusu Edge microsoft walitaka kuisitisha kabsa isiwe browser sijui waliishia wapi
 

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Jan 13, 2016
984
1,000
Ndio mkuu kwenye shughuli za Ufundi simu SIKUSHAURI kutumia window 11 na kuhusu kuzngua kwa baadhi ya software ni kwa7b software husika hazijatolewa/update latest version ya Window 11 kwaio nying znapata ugumu kufanya kazi kwenye W11 na kuhusu Edge microsoft walitaka kuisitisha kabsa isiwe browser cjui waliishia wila mimi kwangu nimeshughulikia now naona baadhi ya crack zimeanza kufanya kazi vizuri. Kama kutakua na tatizo nitaendelea leta mrejesho
 

Uwezo wa Kawaida

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
871
1,000
Wakuu habar za masiku majuzi nilikuja hapa jukwaani na njuzi takribani 2 nikiomba msaada juu ya kusahihisha toleo la window 11 kwa pc yangu. Baati nzuri nilifanikiwa juu ya hilo sasa nilikua napenda kushare nanyi kasoro kadhaa nilizoziona.

Kama wew pc yako unatumia kwa ajili ya shughuli za ufundi simu kama mimi unaweza pata changamoto kwa wale watumiaji wa crack mimi natumia miracle crack version 2.82 kweny upande wa kupiga file haimalizi miracle itajifunga yenyewe. pia ukitumia aladin ukiwa unataka kuweka file inajifunga yenyewe.

Kingine Web browser ya Edge hutoweza kuperuzi ishu nyingine tofauti na za microsoft hata kudownload. Ndizo kasoro nimneona mpaka sasa mambo mengine yapo vizuri na upande wa update na pata update mpy kama kawaida pia kingine kizuri ni app za android natumia kama kawaida kwenye whatsapp napata video call nimeweza kudownload instagram na twitter
Mkuu umepataje kuweka app za android
 

Teenager

JF-Expert Member
Jun 28, 2020
2,079
2,000
Windows inapoelekea inataka kuwa kama apple vizuizi vingi visivyokuwa na maana.
Mimi nitabaki in the past na windows 10.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom