Kwanini call recorder yangu ina record sauti yangu tu

Kwanini call recorder yangu ina record sauti yangu tu

MANDEVUMENGI

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2018
Posts
1,356
Reaction score
3,620
Guys mambo vp,

Ishu iko hivi huwa napenda kurecord mazungumzo ninayoongea kwenye simu automatically kwa matumizi ya baadae, hasa sometime mnakubaliana na mtu jambo fulani unaweza kurecord kama USHAHIDI hapo baadae.

Mwanzo nilikuwa natumia simu yenye android 8 na nilikuwa narecord vizuri kabsa kwa kupitia app ya ACR CUBE,but unfortunatelly sasa nikirecord huwa nasikia sauti yangu tu,ya ninayeongea nae SI-ISIKII nimejaribu kuangalia google lkn ishu ni kuwa wao wenyewe google wame-restrict kurecord call voice kwenye android 10...

Je nifanyeje niweze kurecord hata kwa kutumia app nyingine?na kama naweza kufix hii ishu kwa kucheza na setting za kwenye hii app ninayoitumia nitafurahi nijulishwe cc CHIEF MKWAWA
 
Kama ulivyosema ni wenyewe google, hizo app za kurecord zina njia mbalimbali za kubypass umejaribu zote?

Kama umejaribu zote na imeshindikana ni mpaka uroot simu mkuu.
Kubypass vp mkuu?
 
Guys mambo vp,

Ishu iko hivi huwa napenda kurecord mazungumzo ninayoongea kwenye simu automatically kwa matumizi ya baadae, hasa sometime mnakubaliana na mtu jambo fulani unaweza kurecord kama USHAHIDI hapo baadae.

Mwanzo nilikuwa natumia simu yenye android 8 na nilikuwa narecord vizuri kabsa kwa kupitia app ya ACR CUBE,but unfortunatelly sasa nikirecord huwa nasikia sauti yangu tu,ya ninayeongea nae SI-ISIKII nimejaribu kuangalia google lkn ishu ni kuwa wao wenyewe google wame-restrict kurecord call voice kwenye android 10...

Je nifanyeje niweze kurecord hata kwa kutumia app nyingine?na kama naweza kufix hii ishu kwa kucheza na setting za kwenye hii app ninayoitumia nitafurahi nijulishwe cc CHIEF MKWAWA
ULISHAWAHI KUTUMIA TRUE CALLER PREMIUM? INA RECORD CALLS VIZURI TU
 
Kubypass vp mkuu?
Mfano app yako hio Ar cube kwenye Android 10 inatumia bypass hii

Please make sure that Cube app is up to date and that ‘Cube ACR App Connector’ is switched on in the app settings - miscellaneous.

Set phone recording audio source to ‘voice recognition (software)’ and increase the recording clarity in the app settings - recording. In the same menu, also enable ‘force in-communication mode’. If this does not help, change the audio source to ‘voice call (software)’ and try again.

H
ivyo hapo hakikisha unaenda setting kisha miscellaneous kupata hio Cube ACR app connector then fuata maelekezo inayokupa.
 
Yaan kuna records nyingi sana ambazo ni za umuhimu nasikia sauti ýangu,lkn katka kutafuta tafuta mtandaoni nimeona hii kitu kwamba naweza kurestore sauti ya upande wa pili,msaada wakuu cc Chief-Mkwawa
Screenshot_20220804-161720_Chrome.jpg
 
JIBU NI KWAMBA ; HAIWEZEKANI

Hiyo option iloshaondolewa katika simu za Android kutokana na malalamiko ya kisheria.
Kwa hiyo hata hizo third party applications haziwezi kurecord sauti ya upande wa pili kwa sababu ni Illegal.
 
Call recording haiwezekani,Google wameondoa API ya call recording kwenye android kutokana na mambo ya kulinda privacy.ila baadhi ya simu zenye os 12 features ya call recording IPO ila uki recording ina mwamba pia Yule unayeongea naye kuwa hiyo call ina recordiwa
 
Technically hii inawezekana sababu ni kama unaweka loud speaker halafu utafute kifaa chengine kirecord.
Kwamba hyo sauti ya upande wa pili ambayo haiskiki itasikika i.e two voice conservation?
 
Back
Top Bottom