Kwanini British Airways waliondoka bongo. Je, tuwarudishe!?

Kwanini British Airways waliondoka bongo. Je, tuwarudishe!?

Wanachanganya maua na watu au kwenye ndege napo kuna buti
Ndege ni kama tube. Nusu ya juu ndio wanakaa abiria,nusu ya chini kuko wazi ndio kuna sehemu ya kuhifadhi mizigo kuanzia mbele Hadi nyuma. Kwenye mabawa ndio wameweka na matenki ya mafuta. Kwahio ndege ya abiria inapakia mizigo mingi kuzidi hata uzito wa abiria na mizigo ndio inawapa pesa nyingi.
 
Moja ya sababu ni kuwa awamu ya nne walipewa offer na Emirates, viongozi wakuu wa serikali wakisafiri waliacha kupanda BA, first class na business class zilikosa wateja.
Hiki ndio kinatuponza wananchi, tumewakabidhi nchi wachumia tumbo, watu wabinafsi, wenye kujali wanapata nini sio Tanzania inapata nini..

Watanzania tunastahiki lawama kubwa.
 
Moja ya sababu ni kuwa awamu ya nne walipewa offer na Emirates, viongozi wakuu wa serikali wakisafiri waliacha kupanda BA, first class na business class zilikosa wateja.
Pia gharama za landing na parking ndo chanzo.
 
Kama walivyokimbia BP ndivyo walivyokimbia BA the Same factor
 
Watalii wenyewe wakija mnawaomba simu na viatu na mazingira sio mazuri hivyo watalii wengine kurudi inakuwa ngumu mpaka tupate watalii,
wapya kila siku halafu kwenye suala la advertisement ni zero Rwanda wanakwambia VISIT RWANDA kwenye jezi za arsenal na hawana vitu vya maana kama sisi na yule jamaa alienda kuwapa simba VISIT TANZANIA maajabu kweli haya.
 
Moja ya sababu ni kuwa awamu ya nne walipewa offer na Emirates, viongozi wakuu wa serikali wakisafiri waliacha kupanda BA, first class na business class zilikosa wateja.
brit.JPG

luft.JPG

Kuna mashirika kibao yana fanya safari za moja kwa moja tokea tanzania kuelekea Duniani, mashirika zaidi ya 20 ukiondoa Turkish, Ethiop, etihad, Oman, Qatar etc

Kuna mashirika ya moja kwa moja kwenda ktk nchi kama
1. GER
2. BELG
3. ITALY
4. USWISS
5. UKRAINE
6. FRANCE
ETC...

Haya ni moja kwa moja mpka ktk hizo nchi na zipo nyingi...

hachana na mashirika ambayo sija orodhesha kama Britsh, KLM, TURK etc...

Ukiwa na safari au ukiwa na wageni au ukiwa upo ktk shughuli/biashara za utalii utaelewa zaidi ukizingatia kalenda za watalii kuja na kuondoka...

N'yadikwa mrangi makaveli10 elvischirwa dist111 RRONDO Tajiri Kichwa Chemical Engineer ubarinolutu LOLA70 jebs2002 Kiokotee kina kirefu Undetectable 6Was9 raraa reree Mchizi utah jazz bolivia FaizaFoxy
 
Hawa jamaa hawatasahaulika. 9 hrs ngosha upo Dar au Heathrow! No time to waste kabisa…
Kabisa nakumbuka marehemu mzee wangu alipandaga hili dude miaka ya 1990 mwanzoni akienda London in less than 12 hour akawa ameshafika alitusimulia... warudishe yaani kwenda ulaya mpaka uunganishe mandege meengi why!>?
 
View attachment 2219070

View attachment 2219077

Kuna mashirika kibao yana fanya safari za moja kwa moja tokea tanzania kuelekea Duniani, mashirika zaidi ya 20 ukiondoa Turkish, Ethiop, etihad, Oman, Qatar etc

Kuna mashirika ya moja kwa moja kwenda ktk nchi kama
1. GER
2. BELG
3. ITALY
4. USWISS
5. UKRAINE
6. FRANCE
ETC...

Haya ni moja kwa moja mpka ktk hizo nchi na zipo nyingi...

hachana na mashirika ambayo sija orodhesha kama Britsh, KLM, TURK etc...

Ukiwa na safari au ukiwa na wageni au ukiwa upo ktk shughuli/biashara za utalii utaelewa zaidi ukizingatia kalenda za watalii kuja na kuondoka...

N'yadikwa mrangi makaveli10 elvischirwa dist111 RRONDO Tajiri Kichwa Chemical Engineer ubarinolutu LOLA70 jebs2002 Kiokotee kina kirefu Undetectable 6Was9 raraa reree Mchizi utah jazz bolivia FaizaFoxy
na hawa BA na Luftansa nk waje
 
Moja ya sababu ni kuwa awamu ya nne walipewa offer na Emirates, viongozi wakuu wa serikali wakisafiri waliacha kupanda BA, first class na business class zilikosa wateja.
British Airways ni ghali sana kwa watu wa kawaida ukilinganisha na Emirates na iliyokuwa Gulf Air. Halafu hakuna wateja wengi Watanzania katika kipindi kile.

Nilipokuwa mwanafunzi nikienda Uingereza ilikuwa rahisi kupanda Gulf Air kuliko British Airways.
 
Klm yeye amewezaje, maana analeta dege lake lile boeing 777 - 300er kila siku na linajaza, na nauli zake siku zote zipo juu
Kwanza linabeba abiria wazungu kutoka sehemu zote za Ulaya mpaka Marekani. Pili lina biashara ya ubebaji wa maua na mboga mboga kwa ajili ya soko la Ulaya.
 
Back
Top Bottom