Kwanini British Airways waliondoka bongo. Je, tuwarudishe!?

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,207
Reaction score
12,509
Ndiyo tuwarudishe. Uingereza ni nchi ambayo watu wake wanaifahamu Tanzania uzuri. Kurejeshwa kwa safari za British Airways sambamba na zile za Shirika la Ujeremani la Luftansa kutaleta watalii wengi sana na wa Uhakika hapa Tanzania. Kusema ukweli utalii upo down sana. Nipo hapa Tellamande Lodge Sakina Arusha miaka ya 2013 haka kalodge kalikuwa kanajaa kama option ya watalii sasa hivi hakuna kitu...

Juzi nimeshinda Mount Meru Hotel moja ya mahoteli makubwa kabisa kwenye corridor hii ya Kaskazini wageni wa ulaya wachache sana...

Wizara ya Utalii, Mambo ya Nje, TANAPA na mamlaka nyingine za kiserikali tufanye kushawishi haya mashirika yarudishe safari zao Tanzania ATCL lijikite Asia.

We need tourists sana kukuza uchumi wetu. Royal Tour iende sambamba na hili suala...

Uwanja wa ndege Dar traffic ya international flights kwa macho tu unaona siyo kubwa kama ilivyokuwa zamani terminal II.

Best of Luck
 
Itakuwa vyema sana , uchumu utachangamka kiasi katika sekta ya utalii
 
Hili dude ni balaa..kwa mara ya kwanza kulipanda nilijiona kama nipo kariakoo,sio kwa nyomi ile mle ndani! Nilihisi halitaweza kunyanyuka.
Kwa hali hii ni

download (1).jpg
 
Ndiyo tuwarudishe. Uingereza ni nchi ambayo watu wake wanaifahamu Tanzania uzuri. Kurejeshwa kwa safari za British Airways sambamba na zile za Shirika la Ujeremani la Luftansa kutaleta watalii wengi sana na wa Uhakika hapa Tanzania. Kusema ukweli utalii upo down sana. Nipo hapa Tellamande Lodge Sakina Arusha miaka ya 2013 haka kalodge kalikuwa kanajaa kama option ya watalii sasa hivi hakuna kitu...

Juzi nimeshinda Mount Meru Hotel moja ya mahoteli makubwa kabisa kwenye corridor hii ya Kaskazini wageni wa ulaya wachache sana...

Wizara ya Utalii, Mambo ya Nje, TANAPA na mamlaka nyingine za kiserikali tufanye kushawishi haya mashirika yarudishe safari zao Tanzania ATCL lijikite Asia.

We need tourists sana kukuza uchumi wetu. Royal Tour iende sambamba na hili suala...

Uwanja wa ndege Dar traffic ya international flights kwa macho tu unaona siyo kubwa kama ilivyokuwa zamani terminal II.

Best of Luck
Hawa jamaa hawatasahaulika. 9 hrs ngosha upo Dar au Heathrow! No time to waste kabisa…
 
Tangu immirates , Ethiopian na turkey air lines waanze safari zao Tz, ambao wako very cheap kulinganisha na British airlines.
 
Kwanini lufthansa, sabena, aeroflot nao waliondoka bongo????

Ova
 
Si ATCL itaanza safari za Brussels na UK, mwakani,
Mnataka nn tena,
China, India, UK, EU, Texas/NewYork. Zote zinarudi Kwa Kasi from 2023.
Patachangamka Tu, ombeni COVID-19 iendelee kupotea tu
 
Ndiyo tuwarudishe. Uingereza ni nchi ambayo watu wake wanaifahamu Tanzania uzuri. Kurejeshwa kwa safari za British Airways sambamba na zile za Shirika la Ujeremani la Luftansa kutaleta watalii wengi sana na wa Uhakika hapa Tanzania. Kusema ukweli utalii upo down sana. Nipo hapa Tellamande Lodge Sakina Arusha miaka ya 2013 haka kalodge kalikuwa kanajaa kama option ya watalii sasa hivi hakuna kitu...

Juzi nimeshinda Mount Meru Hotel moja ya mahoteli makubwa kabisa kwenye corridor hii ya Kaskazini wageni wa ulaya wachache sana...

Wizara ya Utalii, Mambo ya Nje, TANAPA na mamlaka nyingine za kiserikali tufanye kushawishi haya mashirika yarudishe safari zao Tanzania ATCL lijikite Asia.

We need tourists sana kukuza uchumi wetu. Royal Tour iende sambamba na hili suala...

Uwanja wa ndege Dar traffic ya international flights kwa macho tu unaona siyo kubwa kama ilivyokuwa zamani terminal II.

Best of Luck
Lugha ya malkia ilikuwa kikwazo, miaka ya 60 kulikuwa na PanAm, BAC, Lufthansa, Sabena na baba lao German Cargo, siku hizi wabongo wanaelekea China.
 
Back
Top Bottom