Klm yeye amewezaje, maana analeta dege lake lile boeing 777 - 300er kila siku na linajaza, na nauli zake siku zote zipo juuMoja ya sababu ni kuwa awamu ya nne walipewa offer na Emirates, viongozi wakuu wa serikali wakisafiri waliacha kupanda BA, first class na business class zilikosa wateja.
KLM inabeba maua kutoka Arusha kuna faida ya maua wanapata.Klm yeye amewezaje, maana analeta dege lake lile boeing 777 - 300er kila siku na linajaza, na nauli zake siku zote zipo juu
Hili dude ni balaa..kwa mara ya kwanza kulipanda nilijiona kama nipo kariakoo,sio kwa nyomi ile mle ndani! Nilihisi halitaweza kunyanyuka.Klm yeye amewezaje, maana analeta dege lake lile boeing 777 - 300er kila siku na linajaza, na nauli zake siku zote zipo juu
Pakulala utaperuzDocumentary ya samia ilikumbuka kweli suala la malazi kwa mliyoiona
Au ni mbuga na wanyama tu mahala pa kulala watukatana navyo huku huku
Kwa hali hii niHili dude ni balaa..kwa mara ya kwanza kulipanda nilijiona kama nipo kariakoo,sio kwa nyomi ile mle ndani! Nilihisi halitaweza kunyanyuka.
Hawa jamaa hawatasahaulika. 9 hrs ngosha upo Dar au Heathrow! No time to waste kabisa…Ndiyo tuwarudishe. Uingereza ni nchi ambayo watu wake wanaifahamu Tanzania uzuri. Kurejeshwa kwa safari za British Airways sambamba na zile za Shirika la Ujeremani la Luftansa kutaleta watalii wengi sana na wa Uhakika hapa Tanzania. Kusema ukweli utalii upo down sana. Nipo hapa Tellamande Lodge Sakina Arusha miaka ya 2013 haka kalodge kalikuwa kanajaa kama option ya watalii sasa hivi hakuna kitu...
Juzi nimeshinda Mount Meru Hotel moja ya mahoteli makubwa kabisa kwenye corridor hii ya Kaskazini wageni wa ulaya wachache sana...
Wizara ya Utalii, Mambo ya Nje, TANAPA na mamlaka nyingine za kiserikali tufanye kushawishi haya mashirika yarudishe safari zao Tanzania ATCL lijikite Asia.
We need tourists sana kukuza uchumi wetu. Royal Tour iende sambamba na hili suala...
Uwanja wa ndege Dar traffic ya international flights kwa macho tu unaona siyo kubwa kama ilivyokuwa zamani terminal II.
Best of Luck
Hapana ,, nchi kukosa Emirates , Qatar Airways na Turkish Airlines ndio aibuNchi kukosa British airways na lufthansa ni aibu kubwa
Lugha ya malkia ilikuwa kikwazo, miaka ya 60 kulikuwa na PanAm, BAC, Lufthansa, Sabena na baba lao German Cargo, siku hizi wabongo wanaelekea China.Ndiyo tuwarudishe. Uingereza ni nchi ambayo watu wake wanaifahamu Tanzania uzuri. Kurejeshwa kwa safari za British Airways sambamba na zile za Shirika la Ujeremani la Luftansa kutaleta watalii wengi sana na wa Uhakika hapa Tanzania. Kusema ukweli utalii upo down sana. Nipo hapa Tellamande Lodge Sakina Arusha miaka ya 2013 haka kalodge kalikuwa kanajaa kama option ya watalii sasa hivi hakuna kitu...