comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,952
wapenda haki tupige kelele kuvunjwa kwa agizo la polisi
wapenda amani tupige kelele kuvunjwa agizo la mh. rais
naunga mkono wananchi wote
tujitokeze kupiga kelele mjini Dodoma KUHUSU UTII WA SHERIA BILA SHURUTI.
AMANI NI TUNDA LA
HAKI
I will believe in double standard, huku yes kule no how comes!!!!!!?Labda atatengua kauli xaxa mikutano rukxa lasivyoo itonekana picha kweli hakuna haki apa yani mikutano ndo iruhuciwe kwamaccm tu haa kichekesho ichoo
I agree with you they are empty heads. But if that's the case why use so much force to control empty heads?hizi ndio akili zinazotaka kushika mamlaka ya nchi. empty heads.
Kwa hiyo kama Rais aliagiza wanasiasa wakafanye siasa kwenye majimbo yao, iweje hiyo tarehe 23 mwezi huu wanasiasa wa CCM more than 90% wafanye siasa Dodoma hiyo tarehe 23, ambako siyo jimbo lao?Hao BAVICHA wao ni polisi wawe na uwezo wa kuzuia CCM? Maana ake wanaenda kufanya fujo, wao wadeal na polisi sio chama kingine cha siasa, rais hakukataza wanasiasa aliwaomba wafanye Katika majimbo yao weka video yake tuone, kama nyie ni wagumu kuelewa peke enu sio wote
Inaitwa chaga demaMimi kuna kitu uwa sielewi hivi kuwa kiongozi chadema lazima utokee kaskazini?
Mwenyekiti Mbowe wa huko huko, mwenyekiti baraza wanawake Mdee wa huko huko.. Jana nimeshangaa huyo mwenyekiti wa Bavicha kavaa kimasai kabisa yani hiki chama na yule dogo aliyekuwa mwenyekiti wa kuchaguliwa ni kama kapinduliwa tayari majukumu yote sasa kapewa mkaskazini mwenzao.
Aisee awa jamaa wakigusa Dodoma hakuna rangi wataacha kuiona watataja koo zao zote za mareale mushi msuya ndossi mpaka ukoo wa mleta mada malisa.
dah..mkuu kwani ccm ni chama cha nini? huo ni mkutano wa siasaHuwo co mkutano wa kisiasa ujue. Alafu ccm wanaukumbi wao wa kufanyia hiyo mikutano. Lingine ni kama hamjipenndi vijana wa Cdm mkavuruge, fundi viatu waongezeke, na lupango ndo ucseme. Cpati picha cku hiyo sero zijaa sana yangu macho.
niwakumbushe ninyi watumishi wa Kikristo....Yesu alipoingia jijini Yerusalemu na kukuta watu wanafanya biashara ndani ya hekalu la Mungu - HAKUPIGA MAGOTI KUOMBA - bali alipandwa na ghadhabu na kufurusha vijimeza vya biashara kule!
Nakupongeza kwa thread ya nguvu ya hoja, cha msingi ni HAKI itendeke na sio double standard ambayo itapandikiza chuki na ghadhabu. Umeandika vyema, wajipime!!
Ainisha hizo tofauti za chama tawala na vyama vingine.. Jaribu kuangalia kwa mapana ktk taswira ya Vyama vya SiasaCHAMA Tawala ni tofauti na vyama vingine.Chenyewe kina dola vingine vinaganga njaa ya ruzuku tu.Huwezi jilinganisha na chama tawala ukasema sisi sote ni vyama tuko sawa nyoooooooooo!
Kwaio ndo wavunje sheriaCCM ni chama Tawala chenye Serikali yake! Acheni kuilinganisha na Vyama Uchwara!
Mkuu Tukiacha ushabiki wa kivyama hata CCM haipaswi kufanya mikutano ya kisiasa kwa sababu mikutano hiyo imezuiwa. Lakini hilo siyo la msingi sana kwangu. Ninachotaka kusema ni kwamba haya mambo watu tusiyachukulie juu juu. Mipasuko katika jamii huanza hivi hivi na isipotafutiwa ufumbuzi mapema, basi tegemea madhara makubwa. Huwezi kujua nini kiko nyuma ya BAVICHA. Ni sawa unamkata mtoto au mke asifanye jambo fulani yeye anasema nitafanya tu. Katika Maisha tujifunze kuvumiliana, mkubwa kwa mdogo, mdogo kwa mkubwa, hayo ndo maisha. Kuna mwanafalsafa mmoja aliwahi kuandika hivi. "There may be times when we are powerless to prevent injustices, but there must never be a time when we fail to protest". Hiki ndicho BAVICHA wanaenda kukifanya. Tunajua CCM wana vyombo vya ulinzi na usalama, na hawata kubali mkutano wao uvunjwe au hawakotayari kusikia kitu hicho kinatokea. Watareact namna yoyote endapo wafuasi wa BAVICHA wataenda DODMA kweli. Sasa nini kitatokea, endapo msuguano kati ya BAVICHA na polisi ukianza. Tutegemee vifo, majeruhi, n.k. Je, itaishia hapo tu? huwezi kujua nini kiko nyuma ya BAVICHA kama nilivyosema mwanzo. Inaweza kuwa ndio mwanzo wa amani ya Tanzania kuisha. Je, Kweli Watanzania tumefikia hatua hiyo? Je, Taifa limekosa watu wenye Busara kusaidia mambo haya yasitokee? Je, huko polisi pamoja kwamba wao ni watu wa kutumia amri wameshindwa kuwaita Viongozi wa BAVICHA wakakaa chini kutafuta suluhu ili kuepusha vurugu? Je huko Chadema kumekosekana watu wenye busara na hekima kuwashauri BAVICHA wasifanye hivyo? Je, CCM haina wazee wenye busara na hekima wanaoona tunakoelekea siko? Tusishabikie mambo ya vyama, tuongee ukweli tu hapa. Hao BAVICHA ni ndugu zetu, rafiki zetu n.k tusikubali kutumika kwa maslahi ya wanasiasa. We must defeat the evil with the triumph of loveCCM ni chama Tawala chenye Serikali yake! Acheni kuilinganisha na Vyama Uchwara!
KAMA WANABISHA WATIE PUA DODOMA WAKIONE CHA MOTO NA UTOTO WAO UTAISHIA HAPO HAPO!!Mkuu Tukiacha ushabiki wa kivyama hata CCM haipaswi kufanya mikutano ya kisiasa kwa sababu mikutano hiyo imezuiwa. Lakini hilo siyo la msingi sana kwangu. Ninachotaka kusema ni kwamba haya mambo watu tusiyachukulie juu juu. Mipasuko katika jamii huanza hivi hivi na isipotafutiwa ufumbuzi mapema, basi tegemea madhara makubwa. Huwezi kujua nini kiko nyuma ya BAVICHA. Ni sawa unamkata mtoto au mke asifanye jambo fulani yeye anasema nitafanya tu. Katika Maisha tujifunze kuvumiliana, mkubwa kwa mdogo, mdogo kwa mkubwa, hayo ndo maisha. Kuna mwanafalsafa mmoja aliwahi kuandika hivi. "There may be times when we are powerless to prevent injustices, but there must never be a time when we fail to protest". Hiki ndicho BAVICHA wanaenda kukifanya. Tunajua CCM wana vyombo vya ulinzi na usalama, na hawata kubali mkutano wao uvunjwe au hawakotayari kusikia kitu hicho kinatokea. Watareact namna yoyote endapo wafuasi wa BAVICHA wataenda DODMA kweli. Sasa nini kitatokea, endapo msuguano kati ya BAVICHA na polisi ukianza. Tutegemee vifo, majeruhi, n.k. Je, itaishia hapo tu? huwezi kujua nini kiko nyuma ya BAVICHA kama nilivyosema mwanzo. Inaweza kuwa ndio mwanzo wa amani ya Tanzania kuisha. Je, Kweli Watanzania tumefikia hatua hiyo? Je, Taifa limekosa watu wenye Busara kusaidia mambo haya yasitokee? Je, huko polisi pamoja kwamba wao ni watu wa kutumia amri wameshindwa kuwaita Viongozi wa BAVICHA wakakaa chini kutafuta suluhu ili kuepusha vurugu? Je huko Chadema kumekosekana watu wenye busara na hekima kuwashauri BAVICHA wasifanye hivyo? Je, CCM haina wazee wenye busara na hekima wanaoona tunakoelekea siko? Tusishabikie mambo ya vyama, tuongee ukweli tu hapa. Hao BAVICHA ni ndugu zetu, rafiki zetu n.k tusikubali kutumika kwa maslahi ya wanasiasa. We must defeat the evil with the triumph of love