Kwanini BAVICHA wanakwenda Dodoma?

Kwanini BAVICHA wanakwenda Dodoma?

Mtakufa na stress za kujitakia...subirini kwanza hilo linalodhaniwa kuwa ni kosa lifanyike ndipo muaanze kuhukumu. Leo ndiyo kwanza tar 3 July lkn povu linawatoka kana kwamba ni tar 21 July.
 
Jasiri 1 said:
Mh uyu nae imekuguxaeimekugusae
Lugha za vitoto vya Facebook, huku wapo baba zao magreat thinkers unatukosea adabu
 
Hata kupiga honi kunasaidia kufikisha taarifa kwa sisi wasafiri wa kila siku!
 
Huwo co mkutano wa kisiasa ujue. Alafu ccm wanaukumbi wao wa kufanyia hiyo mikutano. Lingine ni kama hamjipenndi vijana wa Cdm mkavuruge, fundi viatu waongezeke, na lupango ndo ucseme. Cpati picha cku hiyo sero zijaa sana yangu macho.
 
Naviona virungu hivyoooooooooooooooooooooooooo.....! lkn msijali mlisha zoaea kufanya haya.
**** Fumbo mfumbie mjinga *** mwelevu ataling'amua****
 
Huwo co mkutano wa kisiasa ujue. Alafu ccm wanaukumbi wao wa kufanyia hiyo mikutano. Lingine ni kama hamjipenndi vijana wa Cdm mkavuruge, fundi viatu waongezeke, na lupango ndo ucseme. Cpati picha cku hiyo sero zijaa sana yangu macho.


Kama siyo mkutano wa kisiasa Ni mkutano wa nini?, halafu polisi walipiga marufuku hadi mikutano ya ndani ya ukumbi
 
1467570447404.jpg
 
Kabla hujaenda kudai demoklasia kwa jirani yako, hebu angalia kwanza kwako ipo? Mi huwa nawashangaa sana wanafunzi wa vyuo wazazi wanatoa pesa ktk mazingira magumu, wengine mpaka wanalima vibarua ili wakusomeshe, mwisho wa siku mtu anaacha masomo anaenda ktk maendamano. Toka muanze kuandama kuna tija yeyote iliyopatikana?
 
Walichotakiwa chadema kufanya ni wao pia kuitisha mkutano wa ndani,siku hiyohiyo tena ikiwezekana dom hapohapo,halafu waone kama watazuiwa ama vipi

Walishachagua katibu Mwanza kwenye mkutano wao mkuu na sasa watulie kama wananyolewa. Kima anayetaka kutenguliwa kiuno alete shobo na waziri mkuu alishawaambia sio hao watakao kuwa front mpaka waliowatuma.
 
Kwa mtazamo wangu nchi yetu imeingia kwenye mgogoro mkubwa kabisa wa kikatiba ambao haujawahi kuikumba nchi hii tokea kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini mwaka 1992.

Kwa kuwa kitendo cha Rais kutangaza hadharani kuwa anapiga marufuku shughuli zozote za kisiasa hadi mwaka 2020, ni uvunjaji wa wazi wa Katiba ya nchi yetu Ibara ya 3.

Sasa pengine bila kujua impact yake, inawezekana Magu wakati anatangaza zuio hilo la shughuli za vyama vya siasa hadi mwaka 2020, pengine aliamini kuwa, ana mamlaka ya kiutawala ya kupiga marufuku shughuli za siasa za vyama vya upinzani na kuruhusu shughuli za siasa za chama chake cha CCM!

Sasa hapo ndipo ninapouona mgogoro mkubwa kabisa wa kikatiba utakapoibuka iwapo Rais wa nchi anayo mamlaka ya kupiga marufuku shughuli za kisiasa za vyama vya upinzani na hapo hapo kuruhusu shughuli za kisiasa ziendelee kwa chama chake cha CCM.....
 
hao bavicha ni waoga balaa, ni majasiro nyuma ya keyboard!! hakuna hata bavicha mmoja atayeenda Dodoma siku hyo
Bavicha wakienda Dodoma simply kwa lengo la kuziia mkutano wa CCM, itakuwa hawanazo! Mwl Nyerere angalisema siyo upumbavu ila ni ujinga wao siyo polisi wala jeshi na ni uchokozi kwa kuingilia mkutano halali wa chama kingine.
 
Acha uongo wewe! Kama mngejiona mna hadhi ya kupewa ridhaa na Watanzania ya kuongoza nchi basi msingechakachua rasimu ya Warioba na hivyo kuipitisha ili kupata Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi, lakini kwa sababu mnajua chama chenu cha wahuni, wezi, majangili, mafisadi, wapokea rushwa n.k. mkaona ili kuendelea kung'ang'ania madaraka ni lazima muichakachue rasimu ya Warioba.

CCM ndio chama kilichopewa ridhaa na wananchi kuongoza nchi. Ni chama dola. Na ndio maana mambo yanayoandaliwa na CCM na Serikali yake yanaenda vizuri. Maonesho ya sabasaba yanaendelea. Yanga wamecheza na TP Mazembe hawajazuiliwa. Kagame kawasili nchini. Ukiwa mtawala maana yake unatawala kila kitu. Nyie Bavicha Nendeni Dodoma mkavunjwe miguu
 
Back
Top Bottom