Kwanini Bastola hazioneshi kuwasaidia wamiliki?

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
1,049
Reaction score
773
Bastola.jpg

Watu wengi wanaomiliki silaha za kujlinda hasa Bastola hazioneshi matokeo chanya!

Tazama.1.Aliyekuwa mchumba wa Mwandishi wa ITV Ufoo alijiua na kuua mama mkwewe kwa kutumia bastola yake.
2.Dk Mvungi alivamiwa na majambazi na kupigwa mapanga akiwa na bastola (nafikiri walimvizia)-Haikumsaidia na hatimaye ametangulia mbele ya haki
3.Jana mtu mwingine ameua watu 2 na kujipiga risasi mwenyewe kwa bastola yake
4.Mwaka jana rafiki yangu kipenzi askari mmoja mkoni kagera alivamiwa na wananchi wenye hasira akapigwa,akacharangwa mapanga akiwa na bastola mfukoni.

Na matukio mengi ya namna hiyo.

Swali-Hivi ni lini zitatusaidia katika masuala chanya?

UPDATE -Taarifa ya jeshi la polisi juu ya suala hili iliyolewa hii leo
Taarifa kutoka jeshi la polisi hii leo juu ya hili suala

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
JESHI LA POLISI TANZANIA

Anuani ya Simu "MKUUPOLISI" Ofisi ya

Inspekta Jenerali wa Polisi,Simu : !""# "$$!%&' Makao Makuu ya Polisi,(a) *a+ !""# "$&- S+L+P+ .$'$,Unapo/i0u tafa12ali ta/a: 3A4 5S SALAAM
+
20 Novemba, 2013.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Katika siku za hivi karibuni, imebainika kuwa, baadhi ya watu waliomilikishwa silaha kihalali wamekuwa wakitumia silaha hizo kinyume na malengo mazuri ya umilikishwaji.

Baadhi yao wamekuwa wakitoa vitisho kwa wanan[FONT=MingLiU_HKSCS][/FONT]hi kwa kutumia silaha hizo bila sababu za msingi wawa!o katika maeneo mbalimbali, kama vile kwenye mabaa, kumbi za starehe na hata kuli!izana visasi, jambo ambalo ni kinyume [FONT=MingLiU_HKSCS][/FONT]ha sheria na malengo ya umilikishwaji.

Ku"uatia hali hiyo, #eshi la $olisi n[FONT=MingLiU_HKSCS][/FONT]hini linatoa onyo kali kwa wote wenye tabia hiyo kua[FONT=MingLiU_HKSCS][/FONT]ha mara moja na badala yake wanatakiwa kuzingatia sheria na masharti waliyo!ewa wakati wa umilikishwaji.

%idha, #eshi la $olisi linaanza o!eresheni kali ya kuwabaini wote wanao"anya vitendo hivyo, ikiwa ni !amoja na kuwanyang&anya silaha hizo wale watakaobainika kwenda kinyume [FONT=MingLiU_HKSCS][/FONT]ha sheria na matumizi ya silaha zao.

#eshi la $olisi linatoa wito kwa wanan[FONT=MingLiU_HKSCS][/FONT]hi wote wazalendo na wenye ma!enzi mema na n[FONT=MingLiU_HKSCS][/FONT]hi yetu, kutoa taari"a zitakazosaidia kuwabaini watu hao wanaojihusisha na vitendo hivyo ili waweze kukamatwa na ku"ikishwa kwenye vyombo vya sheria ku!itia namba ya simu 0754785557 au namba za simu za makamanda wa mikoa au kwenye kituo [FONT=MingLiU_HKSCS][/FONT]ho[FONT=MingLiU_HKSCS][/FONT]hote [FONT=MingLiU_HKSCS][/FONT]ha $olisi.

+metolewa na[FONT=MingLiU_HKSCS][/FONT]-%dvera [FONT=MingLiU_HKSCS][/FONT]enso - [FONT=MingLiU_HKSCS][/FONT]$/semaji wa #eshi la $olisi.

Desemba 8,2013.Mmoja auawa kwa bastola Bukoba.
Tukio la matumizi mabaya ya bastola Bukoba.More updates to come!

blogger-image-1686157629.jpg

Ndg Hassan Munjari maarufu kwa jina la Hans(picahni) ameuawa kwa kupigwa risasi na mtu asiyejulikana,tukio hilo limetokea majira ya saa 4 usiku wa Jumamosi Dec 7,2013 maeneo ya BUKOBA CUP HOTEL (Zamani yaasila hotel) mjini bukoba.
​
Jeshi la Polisi bado linaendeleana uchunguzi wa kifo hicho. ​
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi amen!
credit.Bukoba wadau
​

Update😀esemba 16-Kada wa CCM Mabina auawa na wananchi wenye hasira baada ya kutumia bastola!
Taarifa za jana na leo ni juu ya kifo cha aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa mawanza clement mabina kuua na wananchi wenye hasira baada ya kutumia bastola.kwa mara nyingine bastola haikumsaidia!Nasisitiza hapa kwamba bastola bado hazonieshi kuwasaidia wamiliki! ama ataua au kuuawa!

1471895_713097872041940_440424421_n.jpg

Hapo juu ni mwili wa mabina baada ya kuawa jana na wananchi.
 
Tatzo wengi wanamiliki silaha kwa fashion tu! kumbuka yule dada wa arusha aliyepigwa riasai kwa kiburi tu pale benk eti anawatishia polisi wenye AK 47 kwa ki bastola chake,akalambwa ya mkono,hivi sasa bado yuko hospital
 
Watu wengi wanaomiliki silaha za kujlinda hasa Bastola hazioneshi matokeo chanya!

Tazama.1.Aliyekuwa mchumba wa Mwandishi wa ITV Ufoo alijiua na kuua mama mkwewe kwa kutumia bastola yake.
2.Dk Mvungi alivamiwa na majambazi na kupigwa mapanga akiwa na bastola (nafikiri walimvizia)-Haikumsaidia na hatimaye ametangulia mbele ya haki
3.Jana mtu mwingine ameua watu 2 na kujipiga risasi mwenyewe kwa bastola yake
4.Mwaka jana rafiki yangu kipenzi askari mmoja mkoni kagera alivamiwa na wananchi wenye hasira akapigwa,akacharangwa mapanga akiwa na bastola mfukoni.

Na matukio mengi ya namna hiyo.

Swali-Hivi ni lini zitatusaidia katika masuala chanya?

unatumia muda mwingi kuilinda bastola kuliko inavyokulinda wewe.......jaribu siku moja nenda kituoni waambie polisi umepoteza bastola yako.......
 
Kila siku wakaka wanatutambia na bastola zao club! siku hizi ni za kutongozea tu! nyingine hazin ahata risasi
 
Wanaowapa hawawapi mafunzo ya kuzitumia, wanafikili kuwa nayo tu tayari ni ulinzi tosha hawajui kuwa kwanza ni kesi kushika silaha bila kujua matumizi yake na wapi unatakiwa kuwa nayo, wewe umesema hayo lakini ushagai kuona wengine wanazining'iniza kama funguo za magari kwenye suruali?
 
Umeleta hoja nzuri Mathias Byabato. Jibu jepesi ni kuwa wanaoomba kumiliki bastola ni watu wenye pesa au kipato katika jamii, na ni ukweli ulio wazi kuwa watu wengi (sio wote) wenye pesa tz hawajazipata kihalali hivyo hiyo ikileta picha halisi kuwa bastola hizo pia hawakupaswa kuwa nazo. Fuatilia hili na utagundua ukweli maana tulipokosea ni kuchukua sababu zile zile wanazozitumia (mfano) Wamarekani kumilikishwa hizi zana huku tukisahau kuwa wenzetu kwa asilimia kubwa wanaishi kwa vipato visivyo na utata.
 
Wewe unaona haziwasaidii, ila wao zinawasaidia sana tu. Aliyeua hiyo ilikuwa ni mpango yake na bastola yake IKAMSAIDIA.
 
Watu wengi wanaomiliki silaha za kujlinda hasa Bastola hazioneshi matokeo chanya!

Tazama.1.Aliyekuwa mchumba wa Mwandishi wa ITV Ufoo alijiua na kuua mama mkwewe kwa kutumia bastola yake.
2.Dk Mvungi alivamiwa na majambazi na kupigwa mapanga akiwa na bastola (nafikiri walimvizia)-Haikumsaidia na hatimaye ametangulia mbele ya haki
3.Jana mtu mwingine ameua watu 2 na kujipiga risasi mwenyewe kwa bastola yake
4.Mwaka jana rafiki yangu kipenzi askari mmoja mkoni kagera alivamiwa na wananchi wenye hasira akapigwa,akacharangwa mapanga akiwa na bastola mfukoni.

Na matukio mengi ya namna hiyo.

Swali-Hivi ni lini zitatusaidia katika masuala chanya?

bastola inatakiwa ujue kuitumia ....niguse mimi uone kama utanyoosha hata mkono na hilo panga ...yaani sekunde tu bandama ana maini yako nje
 
Umeleta hoja nzuri Mathias Byabato. Jibu jepesi ni kuwa wanaoomba kumiliki bastola ni watu wenye pesa au kipato katika jamii, na ni ukweli ulio wazi kuwa watu wengi (sio wote) wenye pesa tz hawajazipata kihalali hivyo hiyo ikileta picha halisi kuwa bastola hizo pia hawakupaswa kuwa nazo. Fuatilia hili na utagundua ukweli maana tulipokosea ni kuchukua sababu zile zile wanazozitumia (mfano) Wamarekani kumilikishwa hizi zana huku tukisahau kuwa wenzetu kwa asilimia kubwa wanaishi kwa vipato visivyo na utata.

Vipi kuhusu ulimbukeni wa kumiliki bastola hasa kwa vijana! hasa baada ya kuwa na uwepo fulani wa kifedha!
 
Umeleta hoja nzuri Mathias Byabato. Jibu jepesi ni kuwa wanaoomba kumiliki bastola ni watu wenye pesa au kipato katika jamii, na ni ukweli ulio wazi kuwa watu wengi (sio wote) wenye pesa tz hawajazipata kihalali hivyo hiyo ikileta picha halisi kuwa bastola hizo pia hawakupaswa kuwa nazo. Fuatilia hili na utagundua ukweli maana tulipokosea ni kuchukua sababu zile zile wanazozitumia (mfano) Wamarekani kumilikishwa hizi zana huku tukisahau kuwa wenzetu kwa asilimia kubwa wanaishi kwa vipato visivyo na utata.

kwani kwenye masharti ya bastola wamesema uwe na kipato gani ndio upewew???
 
Bastola.jpg

Watu wengi wanaomiliki silaha za kujlinda hasa Bastola hazioneshi matokeo chanya!

Tazama.1.Aliyekuwa mchumba wa Mwandishi wa ITV Ufoo alijiua na kuua mama mkwewe kwa kutumia bastola yake.
2.Dk Mvungi alivamiwa na majambazi na kupigwa mapanga akiwa na bastola (nafikiri walimvizia)-Haikumsaidia na hatimaye ametangulia mbele ya haki
3.Jana mtu mwingine ameua watu 2 na kujipiga risasi mwenyewe kwa bastola yake
4.Mwaka jana rafiki yangu kipenzi askari mmoja mkoni kagera alivamiwa na wananchi wenye hasira akapigwa,akacharangwa mapanga akiwa na bastola mfukoni.

Na matukio mengi ya namna hiyo.

Swali-Hivi ni lini zitatusaidia katika masuala chanya?

Mimi ilishanisaidia sana sema kwasababu sikuua mtu ndo maana hukuipata hii story, kuna siku walikuja Majambazi nyumani kwangu, nilishtuka wakati grill la chuma linakatwa nilipochungulia dirishani nikaona watu kama wanne wameshika mapanga na wengine nisiojua idadi walikuwa wapo mlangoni, nilichokifanya nikarusha risasi kama tatu dirishani wakasepa je haikunisaidia?

Baada yawananchi na polisi kuja ndo tukafungua mlango kumbe wale washenzi walishafungua kabisa hata Geti kubwa la fence ili iwawie rahisi wakati wa kuondoka usije ukadhani nilikuwa sina mlinzi, ishu ni kwamba Mlinzi kumbe alikuwa anasepa tunapoenda kulala na kwasababu alikuwa anaruhusiwa kuondoka saa11 alfajiri hatukuwahi kumstukia kwamba halali kazini
.

Ninaamini ile siku wangefanikiwa kuingia leo hii nisingekuwa nn-comment kwenye hii thread
 
Mimi ilishanisaidia sana sema kwasababu sikuua mtu ndo maana hukuipata hii story, kuna siku walikuja Majambazi nyumani kwangu, nilishtuka wakati grill la chuma linakatwa nilipochungulia dirishani nikaona watu kama wanne wameshika mapanga na wengine nisiojua idadi walikuwa wapo mlangoni, nilichokifanya nikarusha risasi kama tatu dirishani wakasepa je haikunisaidia?

Sawa na hongera .
Lakini hoja hapa ni wanaosaidiwa na bastola kama wewe (kama ni kweli) ni wachache sana ukilinganisha na wale wanaokufa nazo! Na je unamiliki bastola kwa kujilinda tu na hao vibaka?
 
Back
Top Bottom