Watu wengi wanaomiliki silaha za kujlinda hasa Bastola hazioneshi matokeo chanya!
Tazama.1.Aliyekuwa mchumba wa Mwandishi wa ITV Ufoo alijiua na kuua mama mkwewe kwa kutumia bastola yake.
2.Dk Mvungi alivamiwa na majambazi na kupigwa mapanga akiwa na bastola (nafikiri walimvizia)-Haikumsaidia na hatimaye ametangulia mbele ya haki
3.Jana mtu mwingine ameua watu 2 na kujipiga risasi mwenyewe kwa bastola yake
4.Mwaka jana rafiki yangu kipenzi askari mmoja mkoni kagera alivamiwa na wananchi wenye hasira akapigwa,akacharangwa mapanga akiwa na bastola mfukoni.
Na matukio mengi ya namna hiyo.
Swali-Hivi ni lini zitatusaidia katika masuala chanya?