Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,736
- 287,627
Kulikuwa na sababu gani ya kufuta amtokeo ya uchaguzi kama CUF walikuwa wachache? Acha longolongo za kiCCM.Zanzibar ni Ccm
Wachache walikuwa CUF ila walirudi Ccm baada ya kuuzwa na Maalim seif
Kulikuwa na sababu gani ya kufuta amtokeo ya uchaguzi kama CUF walikuwa wachache? Acha longolongo za kiCCM.
Zanzibar ni Ccm
Wachache walikuwa CUF ila walirudi Ccm baada ya kuuzwa na Maalim seif
Naona tunaongea lugha tofauti kabisa-toka lini mshindi akataka uchaguzi ufutwe? Nani alikuwa na kiherehere cha kurudia uchaguzi baada ya kuufuta. Nani waliahidi kuchukua hatua halafu wakamute. Unawakumbuka MCC?CUF Ndio walitaka yafutwe kwa hofu ya kushindwa
Kaenda kufanya nini ?kwahiyo we hupendi aende pemba unampangia sehemu za kwenda?
Mkuu hawa watu wa lumumba sometimes usihangaike kiwajibu ni washenzi tu wanatia hasiraNaona tunaongea lugha tofauti kabisa-toka lini mshindi akataka uchaguzi ufutwe? Nani alikuwa na kiherehere cha kurudia uchaguzi baada ya kuufuta. Nani waliahidi kuchukua hatua halafu wakamute. Unawakumbuka MCC?
Mbona mlimpangia Lema sehemu ya kwendakwahiyo we hupendi aende pemba unampangia sehemu za kwenda?
Vichwa vya wenzio vimejaa ubongo,wewe bichwa lako limejaa ugoro mtupuCUF Ndio walitaka yafutwe kwa hofu ya kushindwa
Nina hakika masoma ya History na Political Science ulipata +A kama una degree ni ile ya with Honour mkuuCUF Ndio walitaka yafutwe kwa hofu ya kushindwa
Nina hakika masoma ya History na Political Science ulipata +A kama una degree ni ile ya with Honour mkuu
Big up sana