AirTanzania
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 1,139
- 1,035
Nimesikitishwa sana na Huduma zinazotolewa na bank za hapa nchini, huduma zao ni mbovu zisizojali wateja na wafanyakazi wa bank wanadharau utafikiri huduma hiyo ni ya bure kumbe unalipia all transaction na isitoshe pia kuwa mishahara yao inatokana na wateja kuweka au chukuwa pesa. Isitoshe ukiingia bank utamuona mfanyakazi wa bank anachezea kasimu kake kana kwamba wameajiriwa kuchezea simu. Ukiomba kukutana na Meneja ili utoe malalamiko utazungushwa na kuulizwa maswali utafikiri umekamatwa na polisi kwa kosa la kuua. Kwa nyie Mameneja na vibaraka wenu mnaofanyakazi za bank kuweni wastaarabu kwa kuwasiliza wateja. Ninavyojua mimi kuwa Bank hairuhusiwi kuzungumza na simu wala kuchezea simu ikiwa na maana kuwa kama mtu amekuja kuchukuwa pesa halafu kama unawaambia vibaka nje kuwa mtu amevaa ngu rangi hiyo amechukuwa kiasi hicho, kutumia simu Bank ni uhalifu hasa kama mfanyakazi wa ndani. Kwa kweli sifurahiwi na huduma zenu.
Nenda KCB wako kiKENYA KENYA!
Nenda KCB wako kiKENYA KENYA!
mm nilishaacha kutumia benki za benki, pesa zangu zote nazichimbia home tu hakuna usumbufu shwari kabisa!
kaka nakushauri kama una pesa bongo ziwekeze kwemye miradi au ukishindwa fukia chini home kwako kwani benki za bongo ni full maumivu hakuna hata benki moja inayojali wateja! pesa za kwako lakini maumivu unayopata hayana maelezo.
CRDB nadhani kwa sasa wamepata kiburi baada ya kuwa na wateja wengi mno...., ni masharobaro wa kufa mtu!
Jambo la kwanza linaloniboa sana mimi ni kitendo cha kuwa na vibanda 6 vya tellers, halafu unakuta cashiers wako wawili tu, vibanda vingine viko empty!...Natamani niingie kule ndani wanakozunguka zunguka na kuwakwida kuwapeleka kwenye vibanda vya cashier.
Hata cashier anayekuwa kibandani unakuta anajigeuzageuza tu, wala hajali fioleni iliyo mbele yake!
Kwakweli dawa ni kufunga account tu!
Mkuu hapo umenena benki zote bongo ni maumivu. Customer service is below ZERO. Yaani we acha tu.
EXIM Bank ndio balaa tupu
Exim Bank Tawi gani mkuu? Kuna matawi karibu 22 sema Tawi gani mkuu?
CRDB nadhani kwa sasa wamepata kiburi baada ya kuwa na wateja wengi mno...., ni masharobaro wa kufa mtu!
Jambo la kwanza linaloniboa sana mimi ni kitendo cha kuwa na vibanda 6 vya tellers, halafu unakuta cashiers wako wawili tu, vibanda vingine viko empty!...Natamani niingie kule ndani wanakozunguka zunguka na kuwakwida kuwapeleka kwenye vibanda vya cashier.
Hata cashier anayekuwa kibandani unakuta anajigeuzageuza tu, wala hajali fioleni iliyo mbele yake!
Kwakweli dawa ni kufunga account tu!
Nimesikitishwa sana na Huduma zinazotolewa na bank za hapa nchini, huduma zao ni mbovu zisizojali wateja na wafanyakazi wa bank wanadharau utafikiri huduma hiyo ni ya bure kumbe unalipia all transaction na isitoshe pia kuwa mishahara yao inatokana na wateja kuweka au chukuwa pesa. Isitoshe ukiingia bank utamuona mfanyakazi wa bank anachezea kasimu kake kana kwamba wameajiriwa kuchezea simu. Ukiomba kukutana na Meneja ili utoe malalamiko utazungushwa na kuulizwa maswali utafikiri umekamatwa na polisi kwa kosa la kuua. Kwa nyie Mameneja na vibaraka wenu mnaofanyakazi za bank kuweni wastaarabu kwa kuwasiliza wateja. Ninavyojua mimi kuwa Bank hairuhusiwi kuzungumza na simu wala kuchezea simu ikiwa na maana kuwa kama mtu amekuja kuchukuwa pesa halafu kama unawaambia vibaka nje kuwa mtu amevaa ngu rangi hiyo amechukuwa kiasi hicho, kutumia simu Bank ni uhalifu hasa kama mfanyakazi wa ndani. Kwa kweli sifurahiwi na huduma zenu. [/COLInstead, try to understand us and help usLike we did when you were young.Help us to walk.Help us to live the rest of our life with love and dignity.We will pay you with a smile and by the immense loveWe have always had for you in our hearts.OR]
Mi napokwenda bank nikikutana na CC mwanaume mwenzangu at least huwa na breath a sigh of relief lakini si vile vinuka mkojo vilivyomaliza form six juzi na vi simu vyao vya mchina!